uwezo

  1. R

    Changamoto wanayopitia mabinti wa chuo kutoka kwa baadhi ya walimu

    Lecturer hana tofauti sana na Mungu mtu kwa maisha ya chuoni, ana uwezo mkubwa wa kuamua kufanya maisha yako yawe magumu au yawe mepesi, kukufelisha au kukufaulisha Hata kama ni mke wako huna cha kumwambia mwalimu wake kwenye suala la marks. Wanafunzi wengi ni ngumu kuchomoa kwasababu kuu...
  2. Nadhani watu wanaopenda kula kula sana Huwa wanakuwa na uwezo mdogo wa kufikiria

    Sina uhakika sana na hili suala ila ni hisia zangu naonaga Kuna watu wanapenda kula kula Kama vile wajawazito yaani mtu anaweza mkala naye kitimoto ila baada ya nusu sana akiona kuku tayari ametamani kula baada ya nusu saa akikutana na samaki kanunua. Yaani kitu kile kile cha protein ila...
  3. Pombe mbaya sana, nili kuwa na uwezo mkubwa tu, ila nikataka kumuibia mdada niliyekaa naye

    Ilikuwa hivi. Hawa madem wanaotafuta kudanga akanikuta dem mweusi , mzuri si haba. Akaomba akae na mimi nikampa green card akakaa. Akawa anakunywa kinywaji chake baki. Kumbuka alikuwa akinywa. Tukakaa akawa anataka apewe kwa bili yangu. Akaletewa. Akawa amelewa flan akacheza sana mziki...
  4. U

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anayesifiwa kukicha anao 670,000 pekeyake

    Iran ana uwezo mkubwa kijeshi ana jumla ya askari 1,180,000 wakati Israel anao 670, 000 Wadau hamjamboni nyote? Takwimu zinaongea mayahudi wasithubutu kumchezea muiran hata siku moja kwani wataumia Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Israel has 170,000 active military personnel, along...
  5. Mwanaume ni sawa kuwa na wanawake wengi kama uwezo unaruhusu

    Tafiti za kisayansi zinasema Mwanaume mmoja anaweza kuzalisha wanawake 300 ndani ya mwaka mmoja . Wanaume wamepewa uwezo wa kumiliki wanawake . Kwa mwanaume ni halali kuwa na wanawake wengi ila mwanamke ameumbwa amilikiwe na mwanaume mmoja
  6. R

    Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  7. Waziri Mkuu Majaliwa: Wenye degree kasomeni ufundi VETA mjiajiri

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora. "Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA...
  8. Yanga wanafanya CAS watudharau na kuhoji uwezo wa kufiikiri wa watanzania wote

    Goli la Aziz Ki lilivyokataliwa eti wakaenda CAS kuomba pwenti tatu.ujinga wa hali ya juu. Nimeanza kufatilia mpira sijawahi kuona goli lililokataliwa na refa uwanjani akapewa mezani. Pia sijawahi kuona mechi ikiyoahirishwa na mamlaka inayosimamia mpira timu mojawapo ikaomba pointi...
  9. Waziri Jafo apata kigugumizi kuzungumzia bidhaa kuwekwa lebo kwa lugha za Kigeni huku watumiaji wakiwa hawajui lugha husika

    Wakuu tune Clouds FM radio Ili mpate kumsikiliza SELEMAN JAFO na hoja zake dhaifu kuhusu wachina
  10. Cha ajabu kuhusu huu ukata mkali ni kwamba vijana wenye tabu wanazidi kutaabika zaidi ila wenye uwezo wanazidi kuwanyonya wenye tabu

    Ndio ile unasikia mtu anafanya internship miaka 6 and out of no where anaambiwa na HR "kwa sasa hivi kampuni inapitia msoto wa kifedha kwa hio hatutaweza ku-afford kukuajiri, kwa hio kila la kheri ila nafasi zitakapo tokea tuta ku-consider wewe wa kwanza" Unaambiwa hivyo kumbe nafasi yako...
  11. Tuna bahari ila uwezo wa kupata samaki wa bahari mikoa mingine ni kama ndoto?

    Hivi hakuna tajiri ambaye mwenye uwezo wa kununua meli inayoweza kuvua tani kubwa za samaki. Sawa tuna serikali njia za reli ila zimeshindwa kuwa na mabehewa yenye friji kusambaza bidhaa hii ya samaki. Tuje kwa wawekezaji hakuna mtu ambaye ataweza kuonesha kumbe watu wa maziwa tunaweza kupata...
  12. K

    Yesu hakua na uwezo wa kupaa

    Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata ile siku yakupaa inaonesha alichukuliwa hakuwa na uwezo wa kupaa mwenyewe.
  13. R

    Ni kwanini ma genius wengi wa mambo ya computer wana changamoto ya ugumu wa kuchangamana na jamii / social skills ?

    Mark Zuckbereg - Facebook, Instagram, Whatsapp Bill Gates - Windows, Xbox, n.k. Elon Musk - Starlink,,cybertuck, n.k. Steve Jobs (RIP) - iPHONE Sam Altman - Chat GPT n.k. Ni nini kinachochangia hali hii? Je, ni hulka yao au ni mazingira wanayokulia? Je, kuna uhusiano nakazi...
  14. Isiwe feki,yenye uwezo mkubwa na ya kisasa.....

    Wakuu swalamaa...... Nina mpango wa kuanza kutengeneza content (yaani kuwa content creator)mwishoni mwa mwaka huu 2025, yaani baada ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Je;ni SIMU aina gani itanifaa(kupiga picha,sauti na video) katika ubora wa hali ya juu. Kuhusu bajeti sio tatizo,maana nadunduliza...
  15. S

    Kijana kama huna uwezo wa kuhudumia familia usioe

    Habari za asubuhi Wanajamiiforums. Leo nawakumbusha Vijana. Unakuta Kijana hata kujihudumia mwenyewe anashindwa ila kichwani ana hesabu za kuoa, Vijana ebu tuacheni huu uwendawazimu.
  16. Mchungaji anayeheshimika ameshindwa kujibu maswali yangu hata akanitoroka.

    Huyu Mchungaji watu wanamweshimu sana kutokana na uwezo wake wa kuangusha watu kwenye madhabahu Kwa maombi makali, pia alikuwa vizuri katika kunena Kwa lugha. Siku moja alitaka anifanyie toba ili nipate kuokoka nami nikamkubalia Kwa masharti ya kunijibia maswali kadhaa naye alinikubalia na...
  17. S

    Kwanini Mungu anakuzwa kuliko uwezo wake?

    Je, Ni watoto wangapi ni machokoraa mtaani, Je, Ni wagonjwa wangapi wapo hospitalini wakiugua kwa maumivu huku wakisubiria siku yao ya kufariki, Je, Ni Wanadamu wangapi wamefariki kwenye vita? Je, Ni watu wangapi wamezaliwa wakiwa vilema na wengine vipofu huku wakiishi maisha ya maumivu...
  18. Mwenye uwezo wa kufunga mipaka afunge chakula kinanunuliwa sana na majirani zetu na huu mwaka kutakuwa na njaa

    Habari za jumapili kwa mapenzi makubwa kwa taifa langu naomba taarifa hii imfikie mwenye uwezo wa kuzuia chakula kuuzwa Nnje ya nchi Kutokana na majirani zetu ususani Kenya na Congo kwa kipindi hiki wanauitaji mkubwa wa chakula kupelekea kununua kwa wingi mazao yalipatikana katika msimu...
  19. Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

    Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
  20. Watuamiaji wengi hapa bongo wa viagra wanadhani kuwa itawasaidia kuchelewa kumwaga na kuimarisha munkali lakini inaboresha uwezo wa mtalimbo kusimama

    Unapaswa kujua kwamba Viagra haiongezei libido au kushughulikia sababu za kisaikolojia zinazokusababishia uwezo mdogo wa kudinda. Viagra (sildenafil) haikufanyi "udumu zaidi" moja kwa moja kwa maana ya kuchelewesha kumwaga au kuongeza muda wa kujamiiana. Kazi yake ya msingi ni kuwasaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…