Mi ni mtu wa kipato cha Kati, nimewaza saidia Vijana kadhaa,
Mmoja aliosoma DMI. Na alipo maliza Chuo tulipambana kumtafutia kazi.
Mambo yakawa Heri akapata kazi
Sasa Yuko kijana yeye alimaliza form 4 na Ana Division 3, Toka nimemfahamu kwa siku ya kwanza ktk hizi Familia Zetu za kawaida...