uwezo

  1. B

    JamiiForums Tanzania Nilitarajia Katibu Mwenezi Paul Makonda awe ameshafika Hanang na kutoa maelekezo. Uwezo wake uko kwenye nini hasa?

    Anajulikana kama mpenda watu na yeye watu wanampenda. Ndivyo tunavyoaminishwa. Kutokana na janga la kiasili lililowatokea wenzetu nilitarajia kuona ule uwezo wanaosema Katibu MMwenezi wa NEC anao uwe umeshaleta nafuu kwa wwahanga wa Mafuriko na janga la Mvua. Ccm kamachama Doka kina...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani ina uwezo wa kupigana na Houthi kuilinda Israel?

    Wengine wanaweza kusema swali hilo ni kichekesho, lakini hali ilivyo sasa ni swali linalokwenda na wakati na kutaka kupatiwa jibu lake. Tangu wanamgambo wa Houthi waanze kuingia kwenye mapambano kuwasaidia wenzao wa Gaza, Marekani imekuwa ikikasirika sana na hata kuwahi kusema Yemen ni rogue...
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Iran kwa mara ya kwanza imefanya jambo kwa US ambalo China na Russia hawajawahi kuonyesha uwezo wa kufanya

    Iran imerusha drones zake na kurekodi misafara ya meli kubwa za kivita za Marekani. https://x.com/EbneHava/status/1729892586578452954?s=20 Wachambuzi wanasema huu ni mwanzo wa kufeli kwa ubabe wa US kwenye maji. Kama drone zimekaribia na kuchukua picha kwa kuzoom karibu muda mrefu, basi...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Rais Samia

    Pamoja na mapungufu yao, lakini ni wazi vijana wa Hayati Magufuli ndio pekee wenye uwezo wa kumpambania Samia ki siasa. Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo wenye uwezo hata wakuaminika na Wananchi ama kwa kukemea ufisadi na mafisadi ama kuthubutu kwa uwazi kabisa...
  5. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Wananchi kuteleza sio kuanguka mnao uwezo mkubwa wa kubadili mambo, belouzdad wamewaamsha rasmi!

    Naweza kusema kwenye mpira uwa Kuna siku mbaya kazini Kila kitu kinaweza kwenda tofauti na mipangilio ya siku zote, na Jana yanga walikuwa na siku mbaya kazini! Timu ili icheze vizuri inatakiwa Kila mchezaji awe timamu kimwili na kiakili na Kila mchezaji atimize majukumu yake ipasavyo lakini kwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana. Katika kitu kinanivutia...
  7. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania CWT dude lenye nguvu linaloisumbua Rais na kuchanganya sana walimu. Kwa nguvu ya pesa linaogopwa sana na maafisa utumishi

    Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu. Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
  8. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Tanzania Mwanaume Vs Mwanamke: Uchambuzi wa Ubongo wa Mwanadamu

    Tafiti nyingi zimepambanua utofauti wa namna akili ya mwanaume na mwanamke; majibu ni kama yafuatavyo. 1. KUFANYA KAZI NYINGI. Wanawake wana Ubongo wenye michakato mingi. Akili za wanawake iliyoundwa ili kuzingatia kazi nyingi kwa wakati mmoja. Wanawake wanaweza Kutazama TV na Kuzungumza...
  9. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Dani Cadena kocha bingwa wa figisu asiye na uwezo aliyeivuruga Azam. Kaweza kuzuia Mgunda lakini hatashinda gemu hata moja

    Viongozi wa simba waamini kwenye rangi nyeupe kurubuni washabiki na kwenye upigaji. kocha katoka azam na mazoezi ya video. Licha ya kuwa na sifa ya mazoezi ya kisasa. Hutoa mazoezi mengi sana na kuchosha makipa na mwisho wa siku huaribu viwango vya makipa. Toka aje simba kiwango cha makipa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Fursa kwa wana IT: Wateja wanahitaji Kariakoo ya mtandaoni inayofanana na Alibaba.Com, kama una uwezo chukua hatua bila kusita

    Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo. Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo kwenda mikoa yote Tanzania na nchi jirani kwa mda sasa. Katika hizi harakati mara nyingi nimekuwa...
  11. sammosses

    JamiiForums Tanzania Vita vya kuviziana, mwenye uwezo wa kumvika paka kengele bado hajazaliwa

    Maamuzi mengi ya serikali yanapitia kwenye Baraza la Mawaziri chini ya Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa. Uwajibikaji wa serikali unamlenga waziri mkuu kwa kuwa ndiye msimamizi mkuu wa kazi zote za serikali,na waziri Mkuu huyu atapokea maelekezo toka kwa Rais na si vinginevyo. Drama...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala, Kodi za Vinywaji Vikali kugharamia Bima ya Afya kwa Wote

    Akiwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni baada ya kukwama mara mbili, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema baada ya Serikali kutakiwa kueleza chanzo cha Fedha zitakazoendesha Bima ya Afya kwa Wote, Wizara ya Fedha imeridhia kuhamisha baadhi ya Kodi na Tozo kwenda kwenye mfuko huo...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Makonda (CCM), John Mrema (CHADEMA), na Shaibu (ACT) - wanalingana uwezo?

    Nafuatilia hawa wasemaji wa vyama kila mmoja ktk chama chake. # Paul Makonda (CCM); # John Mrema (CHADEMA); na # Salim Bimani wa ACT Wazalendo. Hivi kweli vingunge hawa hata mtoto asiyejua au kufuatilia mambo ya siasa unaona wanalingana uwezo? Binafsi namwona Paul Makonda akiwaacha mbali sana...
  14. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Hivi ni nani alotudanganya kuwa wasiwasi ndio akili? Sio kweli, udadisi ndio akili

    Unataka kuwa na akili? Tena kimsingi sio kutaka kuwa na akili, bali ni je? Unataka kuzitumia akili ambazo tayari unazo? Na je Unataka mwanao aweze kutumia akili alizojaaliwa kwa kuzaliwa tu akiwa Homo sapiens a wise humanoid? Je unataka awe mwenye uwezo wa kujifunza? Ni kweli matumizi...
  15. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Utafiti na Vithibitishi vya Uwezo wa Kusafiri katika Muda (TIME TRAVEL)

    Jambo hili wengi tumezoea kuliona katika Movie nyingi na hudhaniwa kuwa ni jambo la kufikirika, Lakini kwa miaka ya karibuni kumekuwa na maneno mengi sanaa juu ya uwezo wa kusafiri katika muda. 1. Ufunguzi wa Daraja la SOUTH FORK 1941 Kama tunajua kwa miaka hiyo bhana vitu vingi vilikuwa...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili Chadema hadi ikaomba poo,ni Makonda,Nchimbi,Happi na Sabaya.

    Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza. Hatimae yametimia,upele umepata...
  17. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Walikuwa na Nguvu, Ari, na Kasi ya Ushindi ila Hawakuwa na Uwezo

    Timu hii ya Simba inayo kazi moja tu, Kujenga Uwezo wa kushinda game. Sisi zote ni mashahidi, kwenye timu hii, nia ipo, nguvu ipo, ari ipo, kasi ipo, tatizo ni uwezo mdogo sijui ni wa kufikiri au kocha na wachezaji!
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwa njia za kawaida, uwezo huo hauna. Ila kiheshima, eti unao….

    Naona kama vile kuna watu hapa nchini waonao mtu kupewa ule udaktari wa heshima ni sawa na ule wa kuusomea. Ukweli ni kwamba, si sawa hata kidogo. Juzi hapa Rais wenu kapewa tena udaktari wa heshima huko India. Tayari sasa katika utambulisho wake, watu wameshaanza kumwita eti Dr. Samia Suluhu...
  19. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Fahamu mashirika ya ujasusi yenye uwezo mkubwa duniani

     Ujasusi ndio 'kiini tete' cha kila nchi na ujasusi wake wa nje na wa ndani unazingatia masilahi na usalama wa kitaifa. Shirika la Kitaifa la Ujasusi ndilo ulinzi wa kwanza wa taifa, na ndilo shirika linalohusika na kupata taarifa za siri, na dhana za udukuzi zinazofanywa na nchi, lakini si...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni kichekesho kushindanisha uwezo wa viongozi wa CHADEMA na wale wa kubebwa wa CCM

    Natoa mwongozo kwa wale wasiojua na labda wangependa kujifunza kupitia andiko hili , ni hivi , Ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema unapaswa kuonyesha uwezo wako haswa , Viongozi wa Chadema hawabebwi kwa mbeleko za chuma , ili kuwa kiongozi ndani ya Chadema lazima ukubali gharama ya mateso ya...
Back
Top Bottom