uwezo

  1. Miki123

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Marais wa Tanzania kwa kuangalia ukuaji wa uchumi kwenye miaka mitano ya mwanzo (GDP per capita)

    Hii ni rank ya maraisi kutokana na ukuaji wa pato la mtu mmoja mmoja kipindi ambapo wameingia madarakani katika miaka yao mitano ya mwanzao, rank inaanza kwa mwenye pafomansi kubwa hadi mwenye ndogo (orodha hii imeondoa awamu ya kwanza na ya pili) 1. Rais Benjamin William Mkapa Kati ya mwaka...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ukifuatilia, Chawa karibu wote hata darasani walikuwa vilaza, yaani uwezo mdogo, Low battery!

    Mpo wazima! Awe Chawa wa CHADEMA! Awe Chawa wa CCM au chama chochote. Awe Chawa wa mtu yeyote Yule. Karibu wote ukiwafuatilia ni Low battery. Huwezi ukawa Chawa kama kichwa chako kinachaji ya kutosha. Hiyo haiwezekani. Fuatilia machawa wote alafu waambie wakupe matokeo Yao ya shuleni...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyeketi wa CHADEMA Mkoa Asema walimpa Lissu Nafasi ya Kugombea Urais Kwa sababu Alikuwa anaweza kuropoka dhidi ya Hayati Magufuli Lakini hana uwezo

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa . Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujijengea uwezo wa kusoma vitabu

    Wakuu kwa mwenye uelewa naomba nijuzwe namna ninavyoweza kujijengea uwezo wa kusoma vitabu kwa lengo la kupata maarifa tofauti tofauti. Kama inavyofahamika wengi katika watu ni wavivu wa kusoma habari za maana zenye kujenga uelewa.
  5. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenye uwezo wa kutunza mke wa ziada na familia ni baraka kwenye jamii; kumzuia ni jambo la kishetani

    Siwazungumzii wale wanaoongeza mke na kutelekeza familia za mwanzo, kundi hili kuna mstari mwembamba unaowatofautisha na wazinzi wanaoingia kwenye ndoa kwa tamaa za kimwili. Kataa kubali uhalisia ni kwamba Mwanaume ndie provider kwa wanawake, ndie kichwa cha familia, Ndio maana mwanaume ndie...
  6. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi

    NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Jitahidi utafute kiwanja maeneo ya wenye connections, huduma muhimu hubanwa mitaa ya wasiojiweza ili kuhudumia wenye sauti

    Jaribu kujenga sehemu iliyojaa watu wenye connections aidha wamejaa waajiriwa wa serikali kuanzia ngazi za kati au wafanyabiashara wa kuanzia vipato vya kati, n.kl., haimaanishi wawe matop sana ila si haba wawe na uwezo flani sauti,kuwa nakaji uwezo hata kwa mbali kanakoweza ku influence...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu ana uwezo wa kudai urithi wakati baba yake akiwa hai, familia ya Mzee Antipas ijihadhari

    Imagine mtu kaanza kujaza fomu za makamu Mwenyekiti mwaka jana, leo kaibukia kwenye uenyekiti, ni nini kinamsibu Lissu? Tamaa?
  9. I

    JamiiForums Tanzania Israel ilivyo angamiza uwezo wa Iran kutengeneza makombora

    Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na kuharibu uwezo wa Iran wa kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa mwaka mmoja. Ndege za...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Hatuhitaji tena ubunge wa viti maalumu, sio suala la ukomo tena, wanawake sasa wana uwezo

    Tundu Lissu pamoja na kupendekeza ukomo wa viongozi katika chama cha CHADEMA amependekeza suala la ukomo wa ubunge na udiwani, Viti maalum CHADEMA. Lissu anasema ubunge wa viti maalum ilikuwa kuwajengea uwezo wanawake wa kushiriki katika siasa lakini kwa ubovu wa katiba yetu haikuweka ukomo...
  11. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sababu zipi zinazoweza kuelezea kupungua kwa uwezo wa single moms wa kisasa kulea watoto wa kiume?

    Muhimu: Tatizo hili lipo hata wakiwepo wazazi wote au baba pekee lakini kwa kwa single moms ni kiwango kikubwa zaidi na haimaanishi ni wote Ni tofauti na zamani, haikuwa shida sana kwa kina mama kulea watoto hasa kimaadili na uwajibikaji. Hali ya sasa imekuwa tofauti sana kwa single moms toleo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Programmers ni kweli tunafeli ni kweli hatuna uwezo wapi tunapokwama, nini kifanyike?

    Aisee nimeshaona mijadala Mingi saana ikisema Tanzania hakuna developer mara ujanja ujanja mwingi... hapa nitaelezea sababu kuu tatu ambazo ndo zinapelekea haya mambo. 1.Ufahamu wa Technology (Elimu) yaani ni zaidi ya 60% ya watanzania wanamiliki simu janja lakini swala la matumizi sahihi ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Fundi Welding mwenye uwezo wa kutengeneza spiral stair cases

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi welding mwenye uzoefu wa kutengeneza Spiral staircase. Material kwa maana ya chuma, welding sticks, grinder discs kulingana na size grinder size atakayo kuwa nayo. Fundi atachaji gharama ya fundi tu. Kazi itafanyika nyumbani kwangu. Kama...
  14. Gol D Roger

    JamiiForums Tanzania Top 20 countries zenye uwezo mkubwa wa kivita. Je, Tanzania tupo nafasi gani?

    Source: Gobal Firepower Link; 2024 Military Strength Ranking Top 20 countries; 1. United States of Ameirca 2. Russia 3. China 4. India 5. South Korea 6. United Kingdom 7. Japan 8. Turkey 9. Pakistan 10. Italy 11. France 12. Brazil 13. Indonesia 14. Iran 15. Egypt 16. Australia 17. Israel 18...
  15. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Russia yaitwanga Ukraine na RS 26 ICBM lenye uwezo wa kubeba nyuklia

    🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Mtoto ka utaka acha apakatwe atulie. Jeshi la Urusi limeanza kuitwanga Ukraine kwa makombora tiifu ya RS 26 linaloweza kusafiri bara moja hadi Jingine bila kuzuiliwa lenye kasi march 5 ambayo hakuna air defence yoyote ya NATO iliyopo Ukraine inaweza ku puch...
  16. jmushi1

    JamiiForums Tanzania US Admiral: Kutoa silaha kwa Ukraine na Israel, kunapunguza uwezo wa kupambana na China!

    Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina… Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na China. "Sasa inakula katika hifadhi," alisema Jumanne ya usafirishaji wa silaha za hali ya juu...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Mkuu: Aliechangisha milioni 37 za maafa asidhuriwe na sheria serikali imuajiri kwenye kamati ya maafa ana uwezo wa kuhamasisha

    Leo Waziri mkuu katembelea eneo ambalo ajali imetokea huko Kariakoo na baadae akateta na wananchi na viongozi mbalimbali wa mkoa na serikali akiwemo waziri alie chini yake William Lukuvi. Lakini ukweli wabakia kuwa ni uleule kwamba bado wapo watu wamekwama huko chini ya kifusi na hatima yao ya...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mbwa wakitaka kufa huanza kukosa uwezo wa kunusa

    Ni baada ya lema kusema kuwa CCM inafanya mpango na ACT WAZALENDO ili kukifanya kiwa chama kikuu cha upinzani USSR
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

    Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni. Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
  20. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini 2025. Tujifunze jambo kwa Wamarekani kukataa kuongozwa na mwanamke licha ya uwezo wake

    Wamarekani walionekana kumkubali sana mwanamama Kamala Haris. Ila lilipofika suala la kupiga kura ya urais, wakatafakari mara ya pili. Kuwa Mwanamke aongoze nchi? Inawezekana? Hapo ndipo wakatulia na kupata majibu,wakamtosa wakamchagua kaburu Trump. Watanzania tuwe na la kujifunza hasa...
Back
Top Bottom