uwezo

  1. G

    JamiiForums Tanzania Ujumbe muhimu kwenu mnaochelewa kutafuta watoto wakati uwezo mnao

    Wito wangu, kama uwezo upo jitajidi kupata mtoto mapema, unapofika 50 at least awe mtu mzima Kwanini miaka 50 ? ni umri inaobidi uwe na mtoto anaeweza kujitegemea, anaeweza kuwa na upevu wa akili ya kupewa majukumu ya kifamilia kwa wadogo zake au biashara (kama zipo), kupunguza gharama za kulea...
  2. Baba wa mbingu

    JamiiForums Tanzania Wana JF kuna 15000Tsh kwa atakaejibu swali hili.

    Toa\taja tofauti tano (5) kati ya 1)Aliyeona akikusimulia na, 2)aliyesikia akikusimulia Mimi nitaanza kwa kujibu tofauti ya kwanza. A} ALIYEONA AKIKUSIMULIA B} ALIYESIKIA AKIKUSIMULIA 1.Alikuwepo eneo la tukio 1.Hakuwepo eneo latukio 2. 3. 4. 5.
  3. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kwa Ule Mjengo wa Boniface Jacobo: Hakuna Polisi Mwenye Uwezo wa Kujenga

    Jana nilivyoona stori za mmoja ya mwanaharakati wa chadema kakamatwa na polisi kwenda kukagua nyumbani kwa jamaa naamini kabisa wale polisi waliokua wanakagua Ile nyumba na polisi wengine Kwa ujumla hamna ambaye anamjengo kama ule wa huyu boni yai polisi ni masikini sana aisee Kuna anaebisha...
  4. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Sio Tanzania tu, hakuna nchi yoyote Afrika yenye uwezo wa kupambana na Magharibi

    Niweke ukweli ili hata wenye tuakili tudogo wajue sio tu Tanzania hapa Africa nzima hakuna nchi yenye uchumi stable wa kuweza kupambana na kutingishana na magharibi. Bila hata vita za silaha hakuna nchi Africa ya kuweza kupambana na ulimwengu wa magharibi. Ulimwengu wa magharibi ukiamua nchi...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas na Houth wasema wana uwezo wa kuendeleza vita na Israel kwa muda mrefu ujao.

    Siku moja tu tangu wanamgambo wa Houth wavurumishe kombora la ballistic katikati ya Israel,mmoja ya wasemaji wao amesema wana makombora ya kutosha ya masafa marefu kuendeleza vita na Israel. Msemaji huyo amesema wana aina 4 za makombora hayo ,lile walilorusha jana ni aina moja wapo tu kati ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kadri umri unavosogea napoteza uwezo wa kusikia kinachoendelea around napokuwa usingizini

    WAKUU nachukia na nashindwa kukubaliana na UKWELI na hali halisi. Nilijigundua nina uwezo flani tangu nilipokuwa o level. Kifupi ni kwamba ninauwezo wa kuskia kinachoendelea napokuwa nimelala/kusinzia. Uwezo huu ulikuwa mkubwa kipindi nipo chuo yani kuna siku washkaji hawakuanini nilikuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba?

    1: Je mbegu za mwanaume huchukua siku ngapi kukomaa ili ziwe na uwezo Wa kutungisha mimba? Maana nilisikia kwamba huwa kila siku zinatengenezwa. 2: Je zinazo tengenezwa leo haziwezi kutungisha mimba leo leo ? Naombeni msaada Wa kufafanuliwa vizuri hii imekaaje.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Imedhihirika Hakuna kiongozi wa Upinzani Mwenye uwezo wa Kufanya Mdahalo na Balozi Dkt. Emmanueli Nchimbi

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa mnaweza kuelewa ni kwanini Edwin Odemba alilia na kububujikwa machozi hadharani kama mtoto mdogo pale alipoona Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ameshindwa kufika na kuhudhuria kwenye mdahalo kutokana na kutingwa na majukumu ya chama ,ambapo alikuwa anaendesha vikao vya...
  9. BKT

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fundi mwenye uwezo wa kufuta DPF kwenye Mazda

    Habari wana JamiiForums. Nimejipiga piga hapa nikajikung'uta kila kitu nikanunua Mazda CX5 sasa nilikuwa naomba mwenye kujua garage nzuri yenye mafundi wa Mazda
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari wa Tanzania wanaoshiriki Mkutano Nchini Marekani wajengewa uwezo katika upigaji wa shabaha

    Katika kuhakikisha askari wa Kike wanakuwa imara na mahiri katika kila nyanja wanazohudum Suala la kujengewa umahiri katika ulengaji wa Shaba kwa askari hao likatolewa na wabobezi wa shabaha (Sniper) kutoka Jeshi la Polisi Nchini Marekani. Miongoni mwa askari wa kike waliopata mafunzo ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Namuona Damas Ndumbaro jukwaani. Ila sijaona mchezaji mwenye uwezo binafsi kama Sanifu Lazaro Tingisha.

    Kimbiza , finya, mwaga jalo. Kwa ufupi hatuna timu na wachezaji kama miala ya ile.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kamati ya usajili Simba iwaangalie wachezaji hawa wana uwezo mkubwa wa kuchezea timu yoyote nchini na Afrika na wakaanza First Eleven

    Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo. Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana. Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Yanga wana uwezo wa kubeba Ndoo ya Afrika, wamekosa Nusu Fainali au Fainal labda zifanyike figisu

    Mkakati wao wa kushinda mechi ya leo ulianzia airport jana, sisi tunaojua fitna za nje tuliona, hakuna aliyeona hii, mganga wao aliwaambia mechi vs Kagera ni ngumu cha kufanya pale airport kila mtu atoke kwake kivyake mkutane pale, msipande basi la pamoja, mitego inaanzia airport, ndo maana kila...
  15. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya Elimu inavyo wafanya watoto kupoteza uwezo wa kuuliza na kuhoji

    Habarini wadau na wazazi wote katika jukwaa hili... Ukizungumza na watoto wadogo waliopo madarasa ya awali, utakutana na wengi wao wakiwa na hulka au ushawishi wa kujua mambo mengi ya kisayansi na mazingira. Na wanauliza maswali muhimu, wanauliza " ndoto ni nini, kwanini tunalala usingizi...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hospitali zote zaagizwa zihudumie wagonjwa ndani ya masaa matatu, je hospitali zetu zimejengewa uwezo huu?

    HOSPITALI ZOTE NCHINI ZAAGIZWA KUHUDUMIA MGONJWA KWA MASAA YASIYOZIDI MATATU Na WAF - Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amezitaka Hospitali zote na vituo vya Afya nchini kuhudumia wagonjwa wa nje wanaofika kupata huduma kwa masaa yasiyozidi matatu. Waziri Jenista amesema hayo leo...
  17. Nakimbizwa

    JamiiForums Tanzania Binadamu Tunapaswa Kuwa Jamii yenye uwezo wa Kusafiri Angani, nje ya dunia

    I appreciate all of you reading this. Katika karne hii ya maendeleo ya kisayansi na kiteknolojia, wazo la kuwa jamii yenye uwezo wa kusafiri angani limekuwa suala lenye umuhimu mkubwa. Licha ya changamoto nyingi zinazohusiana na usafiri wa anga za mbali, kuna umuhimu binadamu tuweze kusafiri...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya tanzania havina uwezo wa utanuzi wa mawazo mpaka kwa wanao wafundisha

    Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza. Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa. Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu hakuna la maana kwenye ofisi ni shot kwenda mbele.
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kuweka akiba ni tabia au uwezo wa kipato?

    Kuweka akiba ya fedha kumeongezeka umaarufu katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na sababu kama ongezeko la gharama za maisha, maendeleo ya huduma za kifedha, elimu ya fedha, upatikanaji wa habari na mengine. Hata hivyo, kwa mtazamo wa mazingira yetu, wengi wanaona kuweka akiba kuwa...
  20. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
Back
Top Bottom