uwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania DC Makame: Vijana tambueni sababu ya uwepo wenu duniani

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo mkoani Morogoro, Jabiri Makame, amewataka vijana nchini kujiuliza na kutambua sababu ya uwepo wao duniani, akisisitiza umuhimu wa kila kijana kujiwekea malengo ya maana na kujiendeleza kwa bidii katika maisha. Akizungumza katika Kongamano la Uwezeshaji Vijana...
  2. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Maofisini kuna aina ya watu uwepo wao ni kero kwa wengine

    Jitahidi sana maisha yako yawe baraka kwa wengine hata ukitoka sehemu watu waone wamepungukiwa , kuna aina ya watu huwa wakitoka sehemu watu waliobakia wanasema afadhali hayupo , hii ipo sana maofisini kuna aina ya watu uwepo wao tu ni kero kwa wengine hadi wafanyakazi wenzake wanaomba dua...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Msisitizo uwepo kwenye kujenga intergrated refinery pale Lindi

    Ukiwa na integrated refinery unakua umeua ndege watatu kwa jiwe moja nikimaanisha natural gas refining, crude oil refining, na petrochemical plant zinaweza kuwa sehemu moja na wako ambao wameshafanya hivyo kama gujarat refining India na dangote refining nigeria
  4. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa G55 ndani ya CHADEMA kunaonesha tangu mwanzo mapandikizi yalikuwepo

    Salaam wakuu, Ninachokiona kwa sasa kuibuka kwa kundi la G55 ndani ya CDM inadhihirisha kulikuwepo na mapandikizi waliozoea kutumia chama kama mtaji kwa faida zao binafsi.
  5. Setfree

    JamiiForums Tanzania Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  6. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  7. aise

    JamiiForums Tanzania Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k Mtazamo huu ni potofu. Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya kidini, bali misingi yake ya utu, malezi na jamii inayomzunguka. Kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi...
  8. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni member gani hujamuona muda mrefu lakini umemisi uwepo wake humu jukwaani

    ugonile, Binafsi kuna members nimemiss sana uwepo wao humu jukwaani lakini kwa bahati mbaya sana humu uhuru umezidi, kuna wengine hawapo kwa sababu mbalimbali ikiwemo Ban, kubadili Id n.k Regardless ya hizo sababu napenda kutambua uwepo wa hawa members, you're missed so much Bill Lugano aka...
  9. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Goma: Raia waandamana kupinga uwepo wa MONUSCO na majeshi ya nje

    Leo hii, tarehe 17 Februari 2025, mjini Goma, asubuhi ya leo kumekuwa na maandamano; lengo likiwa wanajeshi wa UN waliopo Congo,hususani Goma, kwa zaidi ya miaka 20, waondoke, na kwamba usalama wao watahakikisha unatokana na wao wenyewe. Si MOUNUSCO tu, bali na jeshi la SAMIDRC(Afrika kusini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Msioamini uwepo wa kuzimu ya moto, jifunzeni kupitia uwepo wa volcano

    Salaam, shalom! Mwili unaonekana, NAFSI ,akili na Roho havionekani ila vipo ,Volcano chini ya ardhi inaonekana, kuzimu ya moto IPO ,haionekani Kwa macho ya nyama. Lava IPO inaonekana, pia kuzimu IPO ila havionekani Kwa macho ya nyama. Kuzimu Kuna moto, mtu na asikudanganye kwamba mwili wako...
  11. The mission 2017

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Rwanda wanakufa kwa wingi, Pamoja na Serikali ya Rwanda kukana uwepo wa majeshi yake DRC

    Habari wana bodi. Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda. Pia kinaeleza kua wazazi wa hao wanajeshi hawapewi taarifa za kina juu ya vifo vya watoto wao ila wanaambiwa "they died in a...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma: SGR inawahudumu kama Ndege, tutapata hasara waondolewe

    Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Musukuma amesema haina haja ya kuweka wahudumu wanaotoa huduma za ndani ya treni ya Mwendokasi (SGR) ili kuepuka shirika kupata hasara kwakuwa ndio kwanza mradi huo umeaanza hivyo haina haja ya kuweka gharama kubwa za uendeshaji. "Hakuna haja ya kuwa na...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa VITA duniani ni ishara pekee kuwa binadamu ni kiumbe ambaye ana akili ndogo , unatoka kwako kwenda kupigana kwa ajili ya mwanasiasa fulani!

    Huwa nawaambia binadamu ndo kiumbe ambaye hakupewa akili Ila baadhi ya watu wanabisha. Ebu jiulize hao M23 wanapambania nini ? Au vita ya Russia ma Ukraine ilisababishwa na nini. Mtu unakubali kwenda kuuliwa na hao M23 kisa umetumwa na hawa wanasiasa Vilaza na wajinga ambao wanapambania...
  14. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Rais Samia athibitisha uwepo wa Ugonjwa Marburg Tanzania

    Rais Samia akitoa taarifa kwa Mkurugenzi mkuu wa WHO jijini Dodoma amesema kuwa mmonjwa mmoja amekutwa na ugonjwa huo kutoka mkoa wa Kagera na wengine 25 waliopimwa baada ya kushukiwa hawakukutwa nao. Amesema serikali inaenelea kufaya uchunguzi zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=Atn0fKyOmu4
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Mpanda aagiza Mgodi wa Madini ufungwe kutokana na mlipuko wa Kipindupindu

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi, Jamila Yusuf amesitisha shughuli za uchimbaji madini katika Mgodi wa Lumuka uliyopo Kijiji cha Dirifu, Manispaa ya Mpanda kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu uliozuka katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo. Agizo hilo amelitoa mara baada ya...
  16. Shanily

    JamiiForums Tanzania Tunatamani uwepo wao lakini haiwezekani kuwa nao

    Tarehe kama ya Leo , Miaka 3 nyuma nilifanikiwa kumpata mwanangu wa kwanza (baby boy) lakini kwa kadari zake mungu hakuweza kuishi zaidi ya siku 1 pekee. Hakuna siku ambayo siyaacha kutamani uwepo wake lakini haiwezekani kuwa nae. Huwa nashangazwa na wanaotupa watoto ilihali Kuna wengine...
  17. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ni kweli uwepo wa Pyramids bado ni kitendawili hapa duniani ama kuna siri imefichwa?

    Kila nikifatilia historia juu ya majengo makubwa na yenye stori lukuki pale Egypt, yani pyramids napata mashaka ya nini kinachoendelea. Hususani kumekuwa na stori tofauti tofauti lakini bado hazijategua kitendawili!, vilevile uwepo wake hapa Africa na nikiambiwa kuwa waafrika ndio waasisi wa...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo cha uwepo wa demokrasia?

    Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TUGHE yalalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Nchi

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala ya wafanyakazi, jambo ambalo limekuwa kero na kuzuia ukuaji wa vyama hivyo pamoja na kudhoofisha hima...
  20. nasssen

    JamiiForums Tanzania Kosa la kuingilia msafara au kupita sehemu iliyozuiwa kupisha uwepo wa mtu mkubwa serikalini

    Ndugu wanajamvi, Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye...
Back
Top Bottom