uwekezaji

  1. Profesa Kitila Mkumbo: Kuwekeza sio mpaka uwe tajiri

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amewataka Watanzania kuondoa dhana kwamba uwekezaji ni wa watu wenye kipato kikubwa au wageni pekee, akisisitiza kuwa kila mmoja ana nafasi ya kuwekeza ndani ya nchi. Akizungumza mkoani Dar es Salaam siku ya Jumanne...
  2. UTT AMIS vs DSE – Ni ipi bora kwa uwekezaji? Nisaidiane kufahamu

    Wakuu, Nimekuwa nikijifunza kuhusu njia mbalimbali za uwekezaji hapa Tanzania, na nimekutana na majina mawili makubwa: UTT AMIS na DSE. Ningependa kuelewa tofauti zao, faida, na changamoto kabla sijafanya maamuzi. Nimefahamu haya 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  3. Rais Samia azindua miradi minne ndani ya wiki moja, adhihirisha kwamba Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Ndani ya wiki moja, Rais Samia Suluhu amezindua miradi minne ya uwekezaji yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla. 1. Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited 2. Uzinduzi wa usafirishaji wa mizigo kwa kutumia usafiri wa Treni ya umeme ya SGR 3. Uzinduzi wa...
  4. Kassim Majaliwa: ACTIF2025 itoe majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibiani. Amesema kuwa changamoto hizo zinapaswa kujadiliwa...
  5. Uwekezaji wa GSM kwa Yanga na uwekezaji wa Mo kwa Simba unanipa mashaka ambayo sasa naona majibu

    Kama ushawahi kuona wachimba madini wakiwekeza pesa nzuri na mwisho wa siku madini yakitoka hakuna la kushuku kwa mafanikio yao. Huyu mr dengu za pilipili zenye binzari kali napata mashaka ya uwekezaji wake Simba. Hakuna pesa nzuri ya kununua wachezaji wala kuonesha mabadiliko ya Simba zaidi...
  6. Uwekezaji wa mpira unahitaji watu kama hawa

    Hapo vip!! Huu ndio ukweli kama unataka mafanikio kwenye uwekezaji wa mpira na jambo lolote. Wahindi biashara zao ni viwanda vya pilipili, tomatoes, mikate, pipi na biscuit..mpira hapa nyota zao haziruhusu kwasababu wanaroho za kimaskini, uwekezaji wa mpira ni mzungu, mwafrika mweupe mweupe na...
  7. Hiyo bilioni tuiombe kwenye uwekezaji timu ya taifa

    Baada ya hicho kibunda kuwekwa kama timu ya taifa itaweza kutwaa kombe la Chan kili nikiitazama hakuna namna tunaweza kushinda hilo kombe . Hivyo hakuna namna hii pesa itapatikana badala yake tuionbe itumike kwenye uwekezaji wa kuboresha timu ya taifa kama kuboresha benji la ufundi kupata...
  8. Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  9. Uwekezaji wa Hotel, Hospital,kituo Cha mafuta,Yard ya Magari na Apartments.Ubungo Kibo

    Uwekezaji Uwekezaji Uwekezaji. Nakupa nyumba Za kuvunja zipo nyumba nne UBUNGO KIBO Nyumba 2 zinaangalia Morogoro Road 2 zipo nyuma. Hizi nyumba Ni Za familia moja wanauza Kwa pamoja. Hati za makazi. Hakuna mgogoro wowote ule. Bei ni Milion 900 mazungumzo yapo Kwa waanafamilia. Nipigie simu...
  10. S

    Kwa uwekezaji unaofanywa na GSM, ni vigumu sana Simba kutoboa

    These people are very serious in their planning, wamelivamia soka lenye mashabiki weng wakaingiza products zao na wamefanikiwa. Ili uweze kufanya vizuri kwenye biashara zako make sure una timu yenye kuleta ushindani na kuwapa furaha watanzania, pia hakikisha mpinzani wako unamdhoofisha. Yanga...
  11. Ardhi sio uwekezaji kwa mtu anayejitafuta

    Habari zenyu wana JF Kwa mtazamo wangu naona ardhi sio kitu cha kukimbilia kununua kwa kijana anayejitafuta kwani ni kama kuzika hela ambayo kama ukiwekeza kwenye kitu kingine ingekuwa na tija zaidi. Huo ni mtazamo wangu , wewe waonaje ?
  12. Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  13. ITrust Finance yazindua mfuko wa iDollar kwa Uwekezaji kwa Dola ya Marekani,

    Kampuni ya ITrust Finance imezindua rasmi Mfuko wa IDollar, mfuko wa pamoja wa soko la fedha unaotumia sarafu ya Dola ya Marekani (USD) Uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Julai 10, 2025 ambapo kampuni hiyo imeeleza kiwa mfuko huo umezinduliwa kwa ajili ya kuwawezesha Watanzania...
  14. Wekeza kwenye maisha yako

    Unapofanya jambo lolote, litazame kwa umakini sana, Uwekezaji unaoufanya Je unawekeza kwenye Maisha Yako au kwenye Mipango ya wengine. Maana ukikosea kufanya uwekezaji utajuta Maisha Yako Yote. Au kujutia ulichokifanya. Binadamu anabadilika mda wowote. Na Kuna watu ni Wajanja na waulanghai wa...
  15. Uwekezaji kupitia chama cha Siasa

    Habari Tanzania ! Hivi vyama vya siasa wana haki ya kuanzisha miradi ya kiuchumi - jamii kama chanzo cha mapato kwa lengo la kujiendesha? Natamani tuwapime kwa Uwekezaji ndani ya vyama vyao ndio sisi wananchi tuwe tunawapima uwezo wao kujiendesha na uwezo wa kiuongozi. Asante.
  16. N

    Kutoka Rambi Rambi hadi uwekezaji: wakati wa kubadili mtazamo wa Jamii yetu

    Kwa muda mrefu, jamii nyingi barani Afrika, ikiwemo Tanzania, zimejijengea utamaduni wa kuwa na vikundi vya kijamii vinavyolenga kusaidiana wakati wa matatizo kama vile misiba, magonjwa, au harusi. Ni jambo la kupongezwa kuona mshikamano huu wa kijamaa ukiendelea kushamiri, ambapo watu huungana...
  17. Fursa za Uwekezaji Zinazoibuliwa na Takwimu za Mauzo ya Nje ya Mazao ya Kilimo Tanzania (2023/24)

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
  18. Tengeneza kiinua mgongo chako Usije ukatoa laana kwa wanao

    Wapendwa katika Uchumi, Beberu J nimerudi tena, Salamu nimeacha mlangoni, ukizihitaji nenda kazifuate, Anyway, back to topic, leo naongea na wote mlio U40, mmejiandaaje na uzee? Umejiandaaje kuzeeka pindi ambapo mwili utakuwa hautaki tena kufanya kazi? Kipind ambacho trip za Hospital zitakuwa...
  19. Vigezo vinne vya kuanza uwekezaji wa Hisa, Bonds & Hatifungani

    Kila mtu anatamani kuanza kuwekeza ili pesa yake izalishe, lakini si kila fursa ni nzuri kwa kila mtu. Huo ni ukweli naomba uwekwe wazi. Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza kwenye hisa, bonds au vipande ni lazima ujipime kwanza. Je, uko tayari kiakili, kifedha, na kimtazamo? Makala hii...
  20. R

    Rais Mwinyi apewa Tuzo ya Kinara wa uhamasishaji uwekezaji Zanzibar

    Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imemtunuku tunzo ya kuwa mhamasishaji nambari moja wa masuala ya Uwekezaji nchini ambaye ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Hasaan Mwinyi kwa mchango wake huo, ulichangia kuinua sekta ya Uwekezaji jambo ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…