Asante sana kwa ushauri ninauchukua ili nianze kuufanyia kazi!Ninachokuomba ni namna ya kuifahamu benki yenye mkono wa serikali na watu,hapo ndiyo ningeomba unielimishe zaidi kama hutojari!Angalia hizi sehemu tatu ambazo ni mawasiliano, Benki (siyo Kila Benki, angalia Benki zenye mkono wa serikali na watu) manufacturing..option ya mwisho ni Investment fund (hii ni ya mwisho kabisa)....soko letu la hisa halijachangamka vizuri but kuna potential Fulani hivi ipo baadae...Kwa uchumi wetu option zile tatu juu naona ni za kuanzia.
CRDB,NMB nyingine ni Mkombozi, nyingine ni Maendeleo na MuCoba ambazo sijaziangalia vizuri, kama zina potential unaziwekea unatulia, Kwa banks ndo ninazofahamu...cha muhimu ni potential.Asante sana kwa ushauri ninauchukua ili nianze kuufanyia kazi!Ninachokuomba ni namna ya kuifahamu benki yenye mkono wa serikali na watu,hapo ndiyo ningeomba unielimishe zaidi kama hutojari!
Asante sana ndugu,hapo umenipa mwanga na sehemu ya kuanzia!CRDB,NMB nyingine ni Mkombozi, nyingine ni Maendeleo na MuCoba ambazo sijaziangalia vizuri, kama zina potential unaziwekea unatulia, Kwa banks ndo ninazofahamu...cha muhimu ni potential.
Na benki ya walimu (MCB)?CRDB,NMB nyingine ni Mkombozi, nyingine ni Maendeleo na MuCoba ambazo sijaziangalia vizuri, kama zina potential unaziwekea unatulia, Kwa banks ndo ninazofahamu...cha muhimu ni potential.
Je hisa zao ziko DSE?Mwanga Bank is the best in Town now days. Management ya hii bank wanapaswa kupewa zawadi. Hongereni sana. Mkiendelea hivi miaka 10 ijayo mtaanza kuwa na Matawi Nairobi, Bujumbura, Kinshasa, Kampala, Kigali etc
DSE Hakuna Mwanga BankJe hisa zao ziko DSE?
Nimefuatilia performance ya Mabenki Tzn karibu yote yanafanya vizuri yanapata faida zaidi ya 50%.CRDB,NMB nyingine ni Mkombozi, nyingine ni Maendeleo na MuCoba ambazo sijaziangalia vizuri, kama zina potential unaziwekea unatulia, Kwa banks ndo ninazofahamu...cha muhimu ni potential.
Sasa hizo hisa za Mwanga bank ziko wapi?DSE Hakuna Mwanga Bank
You can enjoy hisa ila mikopo yao imekaa ki kabaila sana kwa watu wa hal ya chinMwaka huu nimejipanga kununua NMB na CRDB, Huo ni uwekezaji wa uhakika, kuna hizo bank zina potential kubwa sana na growth yake iko consistency
Kwa nini usinunue hisa za bank moja yenye faida kubwa.Mwaka huu nimejipanga kununua NMB na CRDB, Huo ni uwekezaji wa uhakika, kuna hizo bank zina potential kubwa sana na growth yake iko consistency
Nunua zote coz NMB itakupa stability coz hisa zake hazina mawimbi makubwa, na CRDB itakupa Growth huku ukishuhudia stress ya mawimbi ya kupanda na kushukaKwa nini usinunue hisa za bank moja yenye faida kubwa.