uwaziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kama Mwigulu anadhani Uwaziri Mkuu na mgongo wa Samia vitambeba kuwa Rais ajaye basi amepotea sana

    Mwigulu unapoteza muda wako tu na kufanya watu wazidi kukuchukia. Jiweke upande wa wananchi. Katika mazingira tuliyo nayo nchini kwa sasa, urais hauwezi kupatikana kwa namna yako ya kuongea ili umfurahishe Rais Samia alie madarakani na CCM. Unaongea kwa namna ambayo unajitenga sana na wananchi...
  2. sanalii

    Mwigulu hauziki na hatoshi kwenye uwaziri mkuu, ila aliteuiwa kwa sababu zifuatazo

    1. Aliemteua mwenyewe pia hatoshi kwenye hicho cheo. 2. Mwigulu ni bingwa wa kujipendekeza na kulamba viatu. 3. Mwigulu ni "yes man", hana gut ya kuhoji maelekezo yoyote, na viongozi ambao ni incompitance wanawapenda "yes men" kwa maana hawawachalenge kwenye maamuzi yoyote. Hawa ndio...
  3. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Edward Lowassa kwasababu alikuwa mlutheri, wakatoliki wakampiga fitina hadi akashindwa kuendelea na Uwaziri Mkuu

    Wanasema kaa kimya kuficha ujinga wako ila kwa hawa masheikh naona wameamua kuanika ujinga wao, Wanasema kwamba wakatoliki wanataka nafasi zote kubwa Serikalini ndio maana walimfanyia figisu Lowassa kwasababu hakuwa mkatoliki hadi akatema bungo uwaziri mkuu.
  4. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Rais Samia kateua Mawaziri, waislam wangapi? Wamejaa wakatoliki, ndio wanataka vile

    Ustadhi huyu anasema wakatoliki wao wanataka vyeo vikubwa viwe vya wakatoliki, hata Baraza la Mawaziri lililoteuliwa na Rais Samia, waislam ni wachache kama robo, baraza limejaa wakristo ambao wengi ni Wakatoliki ndio wanataka iwe hivyo.
  5. L

    PostGE2025 Rais Samia: Uwaziri Mkuu Hauna Urafiki Na Undugu. Ni Nafasi ya kuwatumikia Watu Na Taifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameongea kwa uchungu ,hisia na utulivu mkubwa sana katika hotuba yake nzito na yenye Kugusa mara baada ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa jamuhuri ya muungano wa...
  6. The Father of All

    PostGE2025 Ndoto za Dotto Biteko za Uwaziri Mkuu zimeishia wapi?

    Kwa wajuzi wa mambo, Dotto Biteko na wenzake watokao kanda ya ziwa walitumika kutaka kupata kura kabla ya uchafuzi haujaharibika. Hivyo, sasa wameishajipa ushindi, hawahitaji msaada wao. Je Desemba 9, watatoboa au kutobolewa?
  7. Hance Mtanashati

    GE2025 Makonda akipewa Uwaziri Mkuu, nchi itapitia kipindi kigumu sana

    Makonda nafasi ya uwaziri mkuu haimfai hata kidogo, na kama tetesi za kupigwa ban kukanyaga baadhi ya nchi ni za kweli basi bila shaka Tanzania itajiweka nafasi mbaya mno kujenga uhusiano na baadhi ya nchi. Historia ya Makonda hairidhishi , sasa mtu kama huyu kupewa nafasi ya juu zaidi kwenye...
  8. DR HAYA LAND

    Mwaka 2015 Rais Magufuli angepewa uwaziri Mkuu , tungepiga hatua kubwa sana na inawezekana he could be still Alive

    Kushindwa kumuelewa MTU na kukosa maono . Kwa nature ya Magufuli., he was not a good politicians . Kwahiyo mambo ya ndio na hapana even criticism ,those things need high level of emotional intelligence. Unfortunately JPM never had those attributes. Kama tungekuwa na jicho zuri JPM could be...
  9. Daraja2

    Uhusiano kati ya uwaziri mkuu na ubunge

    Baada ya ukomo wengi wao hawakugombea tena, ukiona aliendelea na ubunge "alitenguliwa" kabla ya uchaguzi mkuu. Kwa sababu kuwa na "mafao" yanayojitosheleza yasiende Bure atateuliwa kuwa "mkuu wa chuo" Hiki sio kipindi kile cha "manual" cha Msuya & Malecela sheria nyingi zimebadilishwa...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    John Samwel Malecela alitoka kwenye Uwaziri Mkuu akawa Mbunge wa kawaida

    Tujikumbushe wakuu… John Samwel Malecela aliwahi kuwa Waziri Mkuu kisha baadae alipoukosa u-PM akawa Mbunge wa kawaida mpaka pale alipostaafu na kumuachia Kibajaj jimbo la Mtera. Kwahiyo hakuna jipya wala msishangae mkimuona PM wa sasa anasema atagombea tena Ubunge. Lolote linaweza kutokea…
  11. Nandagala One

    Waziri Mkuu Majaliwa una Legacy gani ya kujivunjia kwa watu wa Kusini, Kwenye Uwaziri Mkuu wako?

    Wanabodi heshima kwenu. Mh waziri Mkuu Mjomba, unabakiza miezi michache kabla kumaliza karibia miaka 10 ya uwaziri wako mkuu. Leo hii uaweza kutembea kifua mbele kwa lipi ulilowafanyia watu wa kusini?? Katika National level hakuna ubishi hamna jambo la pekee ambalo watu wanaweza liona, na ndio...
  12. Mtoa Taarifa

    Wananchi wapitisha Katiba inayoweka ukomo wa Vipindi vya Urais na kufuta Uwaziri Mkuu

    Imeelezwa kuwa Wananchi wamepiga Kura ya 'Ndio' kwenye mabadiliko ya Katiba yaliyopendekezwa na Serikali iliyomuondoa madarakani Ali Bongo na kumteua Jenerali Brice Oligui Nguema kuongoza taifa hilo. Kwa mujibu wa taarifa ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Hermann Immongault, Mabadiliko hayo...
  13. and 998 others

    Tetesi: Paul Kimiti aliukosa Uwaziri Mkuu kwa kutokua na kifua

    1. Mheshimiwa Paul Peter Kimiti (Mbunge Mstaafu -Sumbawanga Mjini) ni mwanasiasa mkongwe nchini, nusura aule nafasi ya Waziri Mkuu. Ila kutokana na kukosa kifua akaenda kuropoka kwa mkewe na mke nae bila kutulia akayamwaga saloon kwa mashosti zake. Mashosti wakaanza kuyasambaza kitaa. Mteuzi...
  14. mngony

    Waziri George Simbachawene atafaa Uwaziri Mkuu 2025

    Huyu Mzee amehudumu Baraza la Mawaziri kuanzia serikali chini ya JK, JPM na sasa Mama, huku akiongoza wizara zenye majukumu mazito. Ni mkimya , humsikii kuropoka, busara na amekuwa akijibu hoja Bungeni kwa umakini. Nakumbuka aliwahi kuwajibika kwa kujiuzulu uwaziri kipindi cha JPM lakini...
  15. dubu

    Lowassa asingepata hata Uwaziri Mkuu Kama si Jakaya Kikwete kumbeba

    Nimeona Watu wanamlaumu Jakaya eti alimtosa Lowassa bila kujua Jakaya ndo alimpa Uwaziri Mkuu. Basi mbona hawamshukuru Jakaya Kikwete kwa kumpa Lowasa uwaziri mkuu ambao leo hii ndio uwaziri mkuu huo umemzika kwa heshima ya waziri mkuu mstaafu japo alijiuzulu kwa Kashfa? Wanamtambua Lowasa...
  16. Pascal Mayalla

    Simai kujiuzulu ni ushujaa mkubwa kama Nyerere alivyojiuzulu U-PM. Anastahili pongezi, lawama, shutuma, na kukaliwa vikao au apewe maua yake?

    Wanabodi, Tanzania tuko hapa tulipo kwenye lindi la umasikini uliotopea kutokana na kukosekana viongozi wa kutosha wenye boldness ya kuchukua maamuzi magumu!. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, John Pombe Magufuli, na huyu dogo Paul Makonda, ni miongoni wa watu wenye boldness ninayoizungumzia hapa...
  17. sky soldier

    Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

    Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu. Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa, Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa. Yaani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto. Ana nguvu ya kutoa kauli...
  18. sheiza

    Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

    Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake. Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
  19. Suley2019

    KWELI Cleopa Msuya ameshawahi kushikilia cheo cha Uwaziri Mkuu na Umakamu wa Rais kwa wakati mmoja

    Salaam Wakuu, Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja. Kuna ukweli hapa? Picha: Cleopa Msuya
  20. FaizaFoxy

    Sijui kwanini, nahisi kama Kassim Majaliwa Majaliwa atang'olewa Uwaziri Mkuu kabla ya 2025

    Hisia zangu zinazonionesha kuwa Kassim Majaliwa Majaliwa anapwaya sana katika timu ya Mama Samia hazijaja bure, bali nimekuwa nikimtazama na kumfatilia sana utendaji wake katika hii miaka miwili akiwa chini ya Mama Samia, kwa kumliganisha na hapo alipokuwa chini ya mwendazake. Hata hivi sasa...
Back
Top Bottom