Daraja2
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 285
- 346
Baada ya ukomo wengi wao hawakugombea tena, ukiona aliendelea na ubunge "alitenguliwa" kabla ya uchaguzi mkuu.
Kwa sababu kuwa na "mafao" yanayojitosheleza yasiende Bure atateuliwa kuwa "mkuu wa chuo"
Hiki sio kipindi kile cha "manual" cha Msuya & Malecela sheria nyingi zimebadilishwa.
Alamsiki.