uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mamelody yaamua kujizatiti na kukatika kwa umeme uwanja wa taifa

  2. JamiiForums Tanzania Kwa Tofauti hizi za gharama za uwanja wa Mkapa na Samia, kuna haja ya Maslahi ya Watumishi kuangaliwa upya

    Ni zaidi ya miaka 15 ishapita tangu uwanja wa Mkapa ujengwe lakini tofauti ni kubwa sana mbali na kwamba Uwanja wa Samia ni nusu ya Uwanja wa Mkapa Hii inaonesha na ni ushahidi piq kuwa mambo mengi yamebadilika na gharama za maisha zimepanda pia hivyo kuna haja ya watumishi kuangaliwa maslahi...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustahili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON?

    Hivi uwanja mpya wa Zanzibar haustaili kuchezesha mechi za kimataifa AFCON au mpaka tutenge kodi za mama ntilie ili zikashibishe matumbo ya watu?
  4. JamiiForums Tanzania Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwa ushirikiano wa Serikali ya #Tanzania na #China, mpango uliopo mezani ni mchakato wa ujenzi wa uwanja mwingine wa kisasa ambao Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu Utamaduni na Michezo imesema itawasilisha mapendekezo uitwe Uwanja wa Samia Suluhu Hassan. Pia, Wizara...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Uwanja unauzwa Mlimwa "C" karibu na makazi ya Waziri Mkuu wa Tanzania. Millioni 50

    🥀SEHEMU:-MLIMWA "C" MKOA:- DODOMA MJINI 🏀Kina fensi upande mmoja 🍀UKUBWA WA UWANJA:-1,091 sq.m ✅BEI:- MILLIONI 50. 🇹🇿MAWASILIANO:-0622 599 002
  6. JamiiForums Tanzania Natabiri Yanga vs Mamelod kukosa watazamaji uwanja wa Mkapa

    Kama kawaida sisi mashabiki wa Yanga sio watu wa kwenda uwanjani ni wazuri wa kelele barabarani na kwenye vijiwe. Wakati wenzetu Simba wakijaza uwanja kama kawaida yao sisi hatutajaza na tutakuja na visingizio kibao na lawama kwa uongozi. Daima mbele nyuma mwiko.
  7. JamiiForums Tanzania Uwanja pekee unaoweza kujengwa pale jangwani ni wa kufugia majini

    Wananchiiiii 😃😃😃 nikisema nyie ni mazuzu nitakuwa nakosea? Eti uwanja mpaka siku mkiuchomoa huo mwiko ndio mtakuwa na akili. Hivi uwanja wenu utakuwa unaingiza mashabiki wangapi? Contractor tayari mmeshampata? Ameshafanya tathimi ya eneo ambalo uwanja utajengwa? Kwa geography ya eneo la...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  9. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

    My Take Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi. Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui alijenga nini tutunze historia nk. Kazi iendelee 👇👇 --- Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nani angesaidia kuharakisha mchakato wa Ujenzi uwanja wa ndege Mwanza, TAA au TANROADS, naomba mawazo yenu

    Ni kweli suala la mchakato wa ujenzi wa jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza limechukua muda mrefu na sasa wananchi waliahidiwa Mwezi February 2024 mkataba ungesainiwa hapahapa Mwanza. Tuliamini baada ya TAA kukabidhiwa na mkoa kasi ingeongezeka na hususani baada ya Rais kutoa bn 30 kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Tukumbushane kisa cha mwamba aliyejinyonga kwa bahati mbaya uwanja wa golf Morogoro

    Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga. Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
  13. JamiiForums Tanzania Simba imeenda kuutumia uwanja wa Jamhuri bila kuujaribu

    Hii timu kimya kimya bila mbwembwe niliacha kuiangalia, nafuatilia tu matokeo yake kutokana na kwamba kuna upuuzi mwingi sana ambao lawama zote zinaangukia katika uongozi. Simba iliuchagua uwanja wa Jamhuri Morogoro kama uwanja wake wa nyumbani ila cha kushangaza, wachezaji wa Simba wameenda...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba ubadili uwanja, Uwanja wa Jamhuri tutakula za uso, huu ni mwanzo tu

    Simba kuweka uwanja wa nyumbani Moro ni sawa na Yanga waweke uwanja wao Tanga, Haraka sana maamuzi yafanyike
  15. JamiiForums Tanzania Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
  16. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afika Uwanja wa Amani kumuaga Mzee Mwinyi

    Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe amekuwa miongoni mwa Watanzania waliofika Kwenye Uwanja wa Amani , huko Zanzibar kwa ajili ya kushiriki maziko ya Aliyekuwa Rais wa Tanzania awamu ya Pili , Ally Hassan Mwinyi . Mbowe ambaye pia huko Zanzibar anafahamika kama Ustaadh Aboubakar Mbowe ...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama Yanga SC tunajiamini na Kutamba Kutwa kwanini huko Cairo tunahaha Mechi yetu na Al Ahly Kesho Mashabiki wao Wasijaze Uwanja?

    Mwandishi wa huu Uzi Tukuka GENTAMYCINE ni mwana Yanga SC lia lia hata Wenzake akina Dada Nifah, Bishoo adriz, Rafiki yangu Bila bila na Popoma Takatifu Tate Mkuu wanajua hilo hadi na wana JamiiForums wote. Ni imani yangu wana Yanga SC Wenzangu mtanijibu nwana Yanga SC Mwenzenu GENTAMYCINE...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu Yanga wamechimbiwa Kwa Mkapa huku uwanja ukiwa umefungwa kwa matengenezo, Simba isithubutu kucheza kwa Mkapa

    Timu zote za watani wa jadi zina kamati za ufundi hakuna asiejua, tofauti ni kwamba simba anafanya hata wazi wazi ila Yanga ni kwa siri kimya kimya gizani na mafichoni. Ni kweli Yanga wanaubonda ila kuna vitu extra vinawabeba. Uwanja huo umefungwa Mar mbili kwajili ya marekebisha, baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…