uwanja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu itafanya Tamasha lake huku Branding nzima ya Uwanja bado ikiwa ni ya Timu iliyotangulia kufanya Tamasha

    Siku zingine tumieni Akili haiwezekani Mwenzako anafanya Tamasha lake leo na unajua kabisa kuwa Uwanja utakuwa Busy, Matukio ni mengi na Branding nazo zikiwa za kila aina ambazo hata Kuziondoa nazo huchukua muda halafu na Wewe unataka ufanye Tamasha lako Kesho yake. Kuna aina fulani ya Usumbufu...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Sold out ya tickets na kujaza uwanja ni vitu viwili tofauti

    Niwakumbushe wana-Simba, mwaka jana ktk tamasha la Simba day kulitangazwa Sold out lkn uwanja ukawa na mapengo mengi. Sijui nn kipo nyuma ya hizi soldouts. Nashauri Hamasa iendelee
  3. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Yusuph Kagoma apata jeraha litakalomweka nje ya uwanja

    Mchezaji mpya aliesajiliwa Simba kwa ajili ya msimu ujao, Yusuph Kagoma amepata majeraha ya mguu yatakayomweka nje ya uwanja kwa miezi kadhaa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Man united kujenga uwanja mpya kwa euro Bilioni 2.4

    Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

    Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball. Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief. Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4. Fanyeni kila mnaloweza lkn this...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa maji vyoo vya uwanja wa ndege Dar, dharura kama hizo hutokea nchini tu?

    "Dudubaya" alalamika baada ya kukosa maji kwenye vyoo vya uwanja wa ndege Dar Es Salaam. Kama kuna mtu mwenye taarifa ya nchi zingine zenye viwanja vya ndege vya Kimataifa vilivyowahi kupata dharura ya maji amwelimishe "Dudubaya" ili apunguze lawama! Ajue kuwa hiyo ilikuwa ni dharura tu.
  7. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Polisi asimamishwa kazi kwa kumshambulia mtuhumiwa uwanja wa ndege

    Polisi ameonekana akimshambulia "mshukiwa" katika uwanja wa ndege wa Manchester nchini Uingereza. Baada ya video ya hilo tukio kusambaa mitandaoni; 1. Kulisababisha "wananzengo" wa Manchester kuandamana hadi kituo cha Polisi kuonesha hasira zao (ila hawakufanya fujo) 2. Kuliwaibua wabunge...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ngumi za mtaani mmepewa uwanja unaanza vipi kuongea maneno, kijana kaambulia aibu kwa kushushiwa kipigo kikali hadharani, usipende kuongea ikikutokea!

    Nimetoka zangu kazini nikaona niende kununua mahitaji kadhaa sokoni. Ghafla nikaona tunaambiwa na vijana jamani mpishe hii njia kidogo iwe wazi kwa muda, nilidhani labda kuna emergency nikasimama. Ghafla wakaingia vijana wawili kumbe ni ugomvi. Moja wao kavaa vizuri tu sikuweza kumdhania...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Baada ya ukarababti wa Uwanja wa CCM Mkwakwani utaendelea kumilikiwa na CCM?

    Uwanja wa Mkwakwani ulikuwapo tangu enzi za Uhuru. Mwaka 1973 au 1974 ulitumika kwenye mashindano ya Taifa Cup. Cha kushangaza siku hizi unaitwa uwanja wa CCM Mkwakwakani ilihali CCM yenyewe ilizaliwa mwaka 1977. Majuzi nimesikia kuwa serikali inaufanyia ukarabati uwanja huo; je baada ya...
  10. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Aisee uwanja wa KMC ni mzuri kuliko uwanja wa Azam

    Wapewe maua yao hawa KMC, Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa, Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mchezaji mzuri asifiwe uwanjani sio kutua uwanja wa ndege au kutambulishwa

    Kulikuwa na akina Okwa, Jobe, Funga Funga, Oprah na wengine ambao tuliwasifia sana ni Akpan, Sawadogo, Babacar, Chikwende, Micquissone tukasema mh safari hii mtu atakula 10 hakyamungu. Walipoanza tu msimu kila cku zilipokuwa zinakwenda tukaanza kugombana wenyewe kwa wenyewe, mfano Jobe...
  12. C

    JamiiForums Tanzania msemaji wa singida black stars: tunashiriki cecafa kama mazoezi tu na tumepata uwanja wa avic town japo tunasubiri pia kuutumia wa bunju

    kumbe vilabu huwa vinaenda kushiriki mashindano ya kimataifa kama tu mazoezi na siyo kushindana kuwa bingwa? kazi ipo hakyanani...!!
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nicki Minaj akamatwa uwanja wa ndege wa Uholanzi, Begi lake limekutwa na Bangi

    Nyota wa muziki Nicki Minaj amekamatwa kwenye uwanja wa ndege nchini Uholanzi saa chache kabla ya kutumbuiza katika ukumbi wa Co-op Live jijini Manchester. Rapa huyo wa Marekani, 41, alizuiliwa katika Uwanja wa Ndege wa Amsterdam wa Schiphol kwa tuhuma za kupatikana na dawa za kulevya. Katika...
  14. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Baada ya kulemewa sana na madeni, sasa uwanja wa Real Madrid ni ukumbi wa harusi

    ⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati wa uwanja huo. •Kwa mujibu wa Mundo Deportivo Klabu ya RealMadrid sasa ina deni kubwa zaidi kuliko...
  15. towashi wa kushi

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza

    Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara. Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani. League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa utagharimu jumla ya Tsh. Bilioni 31 hadi kukamilika

    Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa Mkandarasi Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kupitia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Utamaduni...
  17. Engager

    JamiiForums Tanzania Kwani hii Nchi haina Lejendari hata mmoja wa soka apewe jina la uwanja?

    Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata mkandarasi hajaingia kazini tayari umeshaitwa Samia. Wanasiasa mbona mnakuwa wabinafsi hivo aisee...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Katika miaka 17 yote ya uwanja wa Benjamin Mkapa, ni lini umetumika kwa mashindano ya kimataifa ya riadha?

    Mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa unatimiza miaka 17 toka kuzinduliwa kwake. Katika kipindi hicho chote uwanja umetumika kwa shughuli nyingi za soka, serikali na dini. Moja ya eneo muhimu la uwanja ambalo limekuwa na matumizi madogo sana ni "running tracks" au eneo la kukikimbilia kwenye...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

    Zoezi la utiaji saini mkataba wa kukarabati uwanja wa Uhuru uliopo Dar es Salaam baina ya serikali na mkandarasi kutoka China. Ukarabati huu unatarajiwa kufanyika kwa muda wa miezi 12 na utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 19.7.
Back
Top Bottom