uwakala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Shirika la Uwakala wa Meli (TASAC) latoa ufafanuzi kuhusu taarifa za kutofanya kazi kwa Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Mawakala wa meli (shipping agents) hawafanyi kazi kwa muda wa Saa 24 katika siku saba (7) za wiki, Shirika la Uwaka wa Meli Tanzania (TASAC) limetoa ufafanuzi. TASAC imesema kuwa Wadau wa Sekta ya Usafiri majini kupitia Kamati ya Maboresho ya Bandari...
  2. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania LATRA mmeanzisha Mawakala Wilayani?

    Juzi nilielekea Wilaya ya Peramiho kwa majukumu yangu, sasa wakati narudi kuna geti pale la ukaguzi wa mazao wakavuta kamba akaja kijana na kuuliza kuhusu stika ya LATRA kwenye pikipiki. Nikamwambia hakuna, akasema inatakiwa kuwa na stika kwenye pikipiki na mwisho wa kulipa ilikuwa Mei 30...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Mmoja tu afaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa FIFA, ni nani huyu?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza au kuuliza, naomba mwenye taarifa atujuze ni wakala gani pekee alifaulu mtihani wa FIFA wa uwakala wa wachezaji? Je, watanzania ni vilaza kiasi hiki? Nimetoa taarifa hizi toka kwa Angitile Osiah kama alivyo eleza katika moja ya makala yake kwenye gazeti la...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Usaidizi wa kupata till za uwakala (M-Pesa)

    Habari wapendwa, Poleni na majukumu Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika kuunganisha swala Hilo akafariki(wakala mkuu wa eneo Hilo) na meneger hapatikani Kwa simu. je kunaweza kuwa...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tunaofanya biashara ya M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money, ..., na Uwakala wa Bank Tukutane hapa

    ????
  6. Mfukutuzi

    JamiiForums Tanzania Mashine za Uwakala NMB & CRDB zinahitajika Dodoma

    Habari wadau, ninahitaji mashine hizo za Wakala (CRDB na NMB) kwa aliyenazo zote au mojawapo na amesimama kutumia tafadhali tuongee biashara. Location: Dodoma
  7. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania KAZI YA UWAKALA WA SOLA

    KAZI YA UWAKALA WA SOLA Kama unaishi wilaya ya Morogoro vijijini na unahitaji kazi ya uwakala wa sola , naomba tuwasiliane PM
  8. L

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujiunga na uwakala wa Betting (Betting Point)

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Naomba kwa mwenye uzoefu anisaidie namna naweza kuwa wakala wa betting (Betting Point). Nataka uwakala sabab nina kibanda changu cha kuonesha mpira kimechanganya sana, nikapata wazo la kuwa wakala (Agent) kabisa wa betting. Nitashukuru kwa msaada kutoka...
  9. MOSHI UFUNDI

    JamiiForums Tanzania Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa

    Nauza laini ya uwakala ya Tigo pesa Bei elfu 50 (50,000/=)
  10. agudev

    JamiiForums Tanzania Kuweza kutumia line moja ya wakala kwenye simu zaidi ya moja

    Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja. Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Fursa ya uwakala wa mauzo kampuni ya M-GAS

    Baada ya kutangaza nafasi za uakala wa mauzo ya kuuza majiko ya gesi ya kampuni ya M Gas tumepokea simu nyingi kila mmoja akitaka kuijuinga. Tumeona tuweke sawa hapa ili kama hauna kigezo au kuelewa utaratibu usihangaike kupiga simu. SIFA ZA WATU TUNAOHITAJI Mtanzania Umri kuanzia miaka 18...
  12. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuniwezesha kupata laini za uwakala

    Ningefurahi sana kama ningeshikwa mkoni. Ili niweze pata laini za uwakala bila changamoto
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata uwakala wa gesi za kupikia?

    Habarini za muda huu wadau wa Jamii Forums. Ninatamani kuanza biashara ya kuuza gesi za kupikia nawezaje kupata uwakala wa haya makampuni ya gesi na vigezo vipi vinahitajika!?
  14. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Inahitajika mtaji kiasi gani ili kuweza kufanya shughuli za uwakala wa mabenki?

    Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB inahitaji mtaji wa Tsh ngapi Ili kuifanya biashara hii bila kutetereka? Na pia ni vitu gani muhimu vya...
  15. Mdadamwema.

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa uwakala wa M-pesa na Tigo pesa

    Salaam kwenu wakuu, ninaomba mwongozo wa namna ya kupata uwakala wa mpesa na tigo pesa.
  16. Donray

    JamiiForums Tanzania Nauza laini za Uwakala wa mitandao yote

    Niko mkoa wa Singida nauza laini zote tano za uwakala na zimesajiliwa kwa TIN number na leseni ni ya biasharaa ya nyumbani. Na pia Nina mashine ya CRDB. Kwa atakae itaka labda awe ndani ya Singida ila nje ya singida itabidi awe na connection itakayo msaidia kuihamisha mkoa. Bei maelewano...
  17. Baba ilham

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Habari, Naomba kuuliza biashara ya uwakala wa M pesa, Airtel money, Tigo pesa, Halo pesa na uwakala wa CRDB(fahari huduma) pamoja na Nmb wakala. Hivi mtaji wake unaweza kufikia kiasi gani na pia changamoto za hiyo biashara zikoje? Naombeni ushauri wenu nina mpango wa kuja kufungua hiyo...
  18. Mayova

    JamiiForums Tanzania Uwakala wa NMB bila kutumia mashine ya kutolea risiti

    Habari za leo wakuu: Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na ile risiti moja ambayo ameijaza na wakala atagonga mhuri . Kwa wazoefu hii haileti changamoto kwa...
  19. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  20. Linguistic

    JamiiForums Tanzania TFF unautambuaje umeneja na misingi yake na unafanya kazi vipi tofauti na uwakala?

    Baada ya ujio wa Taarifa ya TFF kuhusu mawakala wanaotambulika nimeona watu wanakuja na umeneja vs uwakala HEBU TUPENI ELIMU JAMANI. Ila je umeneja ni mtu ama taasisi? Je, TFF inautambuaje umeneja na misingi yake ni nini na unafanya kazi vipi tofauti na uwakala? TUNACHAMBUAJE WAJOMBA. Sent...
Back
Top Bottom