uwakala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rurakha

    JamiiForums Tanzania CRDB Bank rekebisheni internet upande wa huduma za uwakala

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

    Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wenu kuhusu biashara ya uwakala wa mitungi ya gesi za kuchomelea, acetylene n.k

    Mimi ni muuza Gesi za majumbani LPG Nilikuwa napenda kufahamu namna ya kupata Uwakala wa gesi za kuchomelea (nazikuta sana Gereji za magari) na nyinginezo kama zile (yani Acetlyene, oxygen) na mwenendo mzima wa biashara hyo. Katika kuangalia nimeona kuna kampuni kama tatu yani TOL, SALAMA na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vodacom Tanzania wasitisha utoaji wa Line mpya za Uwakala za M-Pesa

    Habari za muda huu wanaJF! Bila kupoteza muda kuna tetesi kuwa Vodacom hawasajili tena laini mpya za uwakala wa M-Pesa. Mwenye taarifa tafadhali atueleze nini kimetokea huko.
  5. ponerad

    JamiiForums Tanzania Nauza Line za Uwakala zote 5

    Nauza Line za uwakala zote 5 Voda, Tigo, Halotel, Airtel, TTCL zote zina jina moja na documents zipo km lesseni na Tin. Nipo Songea 0717802341 Bei ya jumla 350,000/= tu... Nipigie tujadili
  6. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa juu ya uwakala wa Gesi za majumbani

    Nataka niwe wakala wa Gesi za majumbani nifanyaje? Kampuni ninazohitaji ni Orxy na Taifa.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuhusu kupata line za uwakala wa mitandao ya simu

    Wakuu naomba kujua je, inawezekena au ninaweza kutumia leseni ya biashara nyingine kupata line ya uwakala kwenye mitandao ya simu? Au kufanya uwakala huo ni lazima kuwa na leseni ya biashara inayohusiana na mambo ya uwakala kwanza? Pia ninaomba kujua kwa makadirio ya kodi TRA huwa wanakadiria...
  8. Malaika_financials

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu biashara ya Uwakala wa TIGO-PESA

    Habari wapendwa, Poleni na majukumu, bado nipo kwenye harakati za upambanaji hivyo nahitaji msaada wenu. Nataka kuanza biashara ya Tigopesa, Je what are the procedures ya kupata line ya wakala wa Tigopesa kwa yeyote anayefahamu. Asanteni. Ushauri wa mdau Nyuzi unaoshauriwa kusoma...
  9. lushalila

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata uwakala wa mitandao ya simu

    Mwenye idea naomba anifahamishe jinsi ya kupata line za uwakala wa simu za mikononi kama vile Tigo pesa, M-Pesa nk. Nisaidieni ------------------
  10. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Nyumba zaidi ya 30 za Kitanzania ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako

    Zifuatazo ni Aina Kadhaa za Nyumba za kuishi Familia ambazo waweza chagua kujenga kulingana na bajeti yako. Zipo ktk uwanja mpana wa STAILI, KIASI CHA KIWANJA, KIASI CHA VIFAA... Kutazama Ramani Zake za Ndani +255-657-685-268 WhatsApp 1 ==> vyumba 3, tofali 1700, bati 50 2 ==> vyumba 3...
  11. Lilylome

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uwakala M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money

    Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze. Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu, Je, leseni ya biashara inapatikana kwa gharama kiasi gani (Mimi nipo mwanza sijawai miliki hiyo kitu ndo nata kuifuatilia Kisha nisajiri...
Back
Top Bottom