Tunabadili laini za "HALOTEL" za kawaida kuwa za uwakala (Halopesa) kwa sh. Elfu kumi tu (10,000/= tu)
Vigezo na mashariti
1. Uwe na kitambulisho Cha Taifa au namba ya NIDA
2. Uwe na TIN number
Huduma popote ulipo Tanzania inakufikia, Malipo baada ya Kazi au Unaweza kuja Kigamboni.
Whatsapp...
Wahi offer
Laini za wakala zimebaki mbili ni full documented na tunaandikishana, ikiwezekana twende kuchange usajili
Imebaki Halo pesa na Airtel money,
Zote nataka 90K
Karibu Dm
Sababu: ni kutopata muda wa kutosha kuisimamia kutokana na kubanwa na majukumu mengine mbali na eneo la biashara
Eneo: Km 30 kutoka mji wa Mafinga - Iringa
Huduma za uwakala wa benki: CRDB, NMB, NBC, TCB na MUCOBA. Mashine (POSS) zote ziko kwenye hali nzuri na zinafanya kazi
Uwakala wa simu...
Wazima ndugu zangu,
Si mnajua maisha yalivyo wanadamu tumeumbwa kupambana hapa duniani kwa miaka hii michache tunayoishi hapa alafu ukiangalia maisha ndio yanazidi kuwa magumu ila ndio hivyo tuliambiwa tulime ndio tule kula kwa Jason huko.
Lengo la kuja kwenu wakuu ni kuuliza kwa hapa...
Sema sina mtaji.
Ila hapa kongowe pana fursa ya huduma za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu pamoja na benki.
Juzi nilikua hapo kulipa ada yani wakala anafunga fremu na watu zaidi ya kumi na tunamsubiri arudi atuhudumie.
Naongelea Kongowe stand, mpakani mwa dar na pwani.
Kama upo vizuri...
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati.
Amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli...
Banda lisiwe kubwa sana just size ya fut 5 x5 au 5x6
Location mwanza, lisiwe chakavu nitafurahi likiwa maeneo changamfu au kama bado halijaingia sokoni sio mbaya nicheki dm
Mimi ni trader wa forex katika soko la gold ambayo pear XAUUSD niliyoingia nayo ilinipa kama usd 7700 kwa lot size 20 kipindi cha nyuma mwaka 2021.
Kipindi cha nyuma kutrans pesa kufika kwenye nchi yetu ilikuwa changamoto hata wengine ilifikia pesa zao kuzuiwa na benki nyingi au kuletewa...
Nawatafuta NMB, nilishawahi kuona uzi wao humu lakini sijui ulipo sasa.
Mashine za uwakala za NMB (POS) moja inauzwa TZS 1,106,000/= (Milioni moja laki moja na elfu sita). Ajabu ni kwamba, pamoja na bei kubwa kiasi hicho kuipata mashine ya NMB ni kazi ngumu mno. Nimeomba kwao kupatiwa hii...
Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali.
Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi.
Natanguliza Shukurani...
Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ?
Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini
Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.?
Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
Habari Wakuu,
Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu.
Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati.
Nipo Mabibo, Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Kaimu Abdi Mkeyenge anazungumza na Wanahabari kufafanua mambo mbalimbali yanayohusu taasisi hiyo.
NMB huduma za kibenki kupitia kwa mawakala imekuwa ni changamoto.
Unaweza kwenda kwa mawakala hata 5 mfululizo, kila mtu atakuambia mara huduma hamna, mashine hamna etc.
Sijui shida ipo kwa nani.
Yaani kama una shida ya haraka na hela yako lazima ukione cha moto, ukiachilia mbali ATM...
Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji.
Hii imekata ngede kwa machawa wa wachezaji, watafute kazi nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.