uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri.

    UVCCM TAIFA - Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi Ndugu Victoria C. Mwanziva Anena Kuhusu Uteuzi wa Baraza la Mawaziri. “Tunampongeza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko aliyoyafanya katika Baraza la...
  2. mgt software

    JamiiForums Tanzania Bunge la S.Sitta (Mwendokasi) Mhimili Imara si Bunge la Ndugai (Dhaifu), tunda la udhaifu limeonjwa na UVCCM

    Wana JF. Giza Nene lenye bundi limemfunika bwana Jobo, kakutana na mabundi wasiokuwa na huruma. Haya yote ni matokeo ya kulazimisha kila kitu kiende kigizagiza kwa kukanyaga katiba. Mabundi furaha huwa wanategemea baada ya giza totolo watapata nini, kelele za atoke zilishamili sana bila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamekengeuka, kumkomalia Spika kujiuzulu ni dalili kuwa hampendi bunge kufanya kazi zake za kuisimamia Serikali. Mnatumika bila kufikiri

    Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea. Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mataga, UVCCM na CCM Mpya mbona mnamtelekeza Polepole na Gwajiboy?

    Enzi za utawala wa kisahunga haya makundi mawili yalikuwa active kama nyuki. Ukigusa mmoja wao basi ujiandae kupata mashambulizi kutoka kila kona. Pengine kwa sababu tulikuwa uchumi wa kati na huenda walikuwa wanalipwa vizuri. Si unajua CCM maslahi? Sasa awamu hii joka walilolifuga...
  5. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM noma | BAVICHA Chukueni hii

    === Miongoni mwahazina kubwa ya Vijana viongozi kwa Taifa hili ni huyu kijana Kenani Kihongosi Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Kitendo Chake cha kuibadili UVCCM kutoka Ufuasi wake wa kisiasa pekee kwenda kwenye Ufuasi wa Kiuchumi kitawafanya Vijana wengi wa UVCCM-Tanzania kuwa matajiri wakubwa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM taifa Daniel Chongolo afunga kambi la UVCCM wilaya Muleba

    KATIBU MKUU CCM TAIFA NDG DANIEL CHONGOLO AFUNGA KAMBI LA UVCCM WILAYA MULEBA. Kagoma, Muleba. Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Daniel Chongolo Katika ziara yake pamoja na Sekretrieti ya CCM Taifa Amefunga kambi la UVCCM lilioandaliwa na Uongozi wa UVCCM Wilaya Muleba Chini ya Mwenyekiti wake...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Taifa, Daniel Chongolo apiga stop "Uchawa" ndani ya UVCCM

    KATIBU MKUU WA CCM NDG. CHONGOLO AITAKA UVCCM KUACHA KUWA WAPAMBE BINAFSI WA VIONGOZI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewataka viongozi wa mikoa na wilaya kutumia umoja wa vijana wa chama hicho kujenga miundombinu pamoja na miradi ya maendeleo wanayoanzisha...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi afanya ziara wilaya ya Kyerwa. Wananchi waishukuru Serikali kuwapelekea fedha nyingi za miradi

    KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI. 14.12.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kenan Kihongosi: Asante na shukrani kwa Chama Chetu cha Mapinduzi

    KATIBU MKUU UVCCM: ASANTE NA SHUKRANI KWA CHAMA CHETU CHA MAPINDUZI. Na Kenan L. Kihongosi KATIBU MKUU UVCCM Kwanza namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa uzima na Afya njema. Pili nakishukuru Chama Cha Mapinduzi sambamba na Mweyekiti wake ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING

    Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING maalum ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza wana CCM Vyuo SENATE iliyoandaliwa na Uongozi wa SENATE Mkoa wa Pwani chini ya Mwenyekiti wake Ndg Adam Salehe siku ya Jumamosi ya Tar...
  12. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Itakuwa dharau kubwa kwa Vijana wa CCM kama Rais Samia atamteua Bananga kwenye nafasi ya uongozi

    Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Uvccm mnajifanya hamjaona yaliyomkuta Sabaya? Ipo siku na ninyi mtakiona cha moto.

    Mnataka kusema hamjui kuwa ametumika kama mpira wa kutunzia uchafu na kisha kutupwa jalalani? Ninyi mnaotumika kama green guard kupiga watu, kuiba kura ipo siku na ninyi mtakiona cha moto. Ccm ni genge la wanyag'anyi.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Vita vya kusaka nafasi ya Naibu Katibu Mkuu UVCCM bara vyapamba moto

    Vita vya kusaka nafasi ya Naibu katibu Mkuu UVCCM Bara vimepambana moto kwelikweli. Nafasi hiyo iko wazi baada ya aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo ndugu Galila Wabanhu kuondolewa katika nafasi hiyo kutokana na tuhuma kadhaa za kimaadili. kUTOKANA na vyanzo vya uhakika wafuatao wako vitani...
  15. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini

    ZIARA TUNDURU Kihongosi asema tatizo la Migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji limepungua Nchini. Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndugu Kenani Laban Kihongosi (MNEC) amesema tatizo la Migogoro ya Ardhi Sasa limepungua kwa Kasi hivyo niwaombe wananchi wenzangu wale wafugaji ambao wanavamia...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu uvccm taifa azindua dar es salaam jogging club kwa kishindo

    KATIBU MKUU UVCCM TAIFA AZINDUA DAR ES SALAAM JOGGING CLUB KWA KISHINDO Katibu Mkuu wa Uvccm Taifa Ndugu Kenani Kihongosi (MNEC) leo amezindua Vijana Jogging Club Jijini Dar Es Salaam Iliyoandaliwa na UVCCM Mkoa Wa Dar Es Salaam ikiwa ni utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa wakati akizindua...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lina mkono wake katika vurugu za CHADEMA za kuipinga Serikali? UVCCM, turuhusuni vijana wenu tuingie Kanisani na bendera, nguo za CCM

    Kila mara anapotokea Rais wa dini ile, basi lazima utaona vitimbi vya kanisa Katoliki, sasa kanisa katoliki limeruhusu, rasmi, chadema wafanye siasa makanisani kuipinga Serikali. Baadhi ya wanakwaya,wahudumu na waumini wamepewa ruksa ya kuvaa nguo za kisiasa makanisani kwa lengo la kisiasa...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kenani Kihongosi: Jumatatu 16.8.2021 kuanzia saa 3 Asubuhi nitakuwepo ofisi za UVCCM Upanga Jijini Dar

    KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATENGA MUDA WA KUSIKILIZA NA KUPOKEA MAONI NA USHAURI. KESHO JUMATATU 16.08.2021 SAA 3 ASUBUHI KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA NDUGU KENANI LABANI KIHONGOSI ATAKUWEPO OFISI NDOGO ZA UVCCM UPANGA DAR ES SALAAM VIJANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya ajenda ya UVCCM kuwa na jogging clubs?

    Siku hizi Kila ukifungulia Chanel Ten habari utaona eti viongozi wakuu wa wilaya wakihamasisha vijana kukimbia mchakamchaka jogging clubs kuimarisha afya. Swali la kujiuliza mikusanyiko hii Tena hawavai barakoa ni ya nini kipindi hiki cha maambukizi ya korona? Pamoja na kwamba kufanya mazoezi...
  20. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

    Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5. Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais. Una maoni gani kwa wana CCM hao...
Back
Top Bottom