Ukiishi kama mfalme ujanani tegemea utumwa uzeeni

Ukiishi kama mfalme ujanani tegemea utumwa uzeeni

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,615
Reaction score
1,901
Mambo ni mawili tu,

Uishi kama mfalme ujanani uje kuishi kama mtumwa uzeeni
Au
Uishi kama mtumwa ujanani uje kuishi kama mfalme uzeeni.

Pia kumbuka maisha ni kama GAME LA AVIATOR

Ishi kwa kuyavizia ukijisahu kifo kinakupitia bila kula pesa yako iliyo BANK.

Pia unaeza kutoa pesa yako yote iliyo BANK ukala starehe afu ukazeeka hiyo ndo mbaya,

Yaani unaCASHOUT (X2.45 ) afu kindege kinafika (X100.29 Free
 

Attachments

Inategemea na juhudi, jitihada , bidii, maarifa, bahat, kipaji na malengo.

Unaweza ukajitahidi kufanya kazi na ukajibana kama mtumwa na bado ukafika uzeen na ukawa bado sio mfalme.

Ni kweli hatujui mwisho wetu,
Mungu atupe mwisho ulio mwema.
 
Inategemea na juhudi, jitihada , bidii, maarifa, bahat, kipaji na malengo.

Unaweza ukajitahidi kufanya kazi na ukajibana kama mtumwa na bado ukafika uzeen na ukawa bado sio mfalme.

Ni kweli hatujui mwisho wetu,
Mungu atupe mwisho ulio mwema.
Sawa mzee
 
Kuna watu toka wazaliwe hawajawahi kupata raha wao shida ni sehemu ya maisha yao na sasa wamezeeka.
 
Maisha hayana formula, kwamba ukianzia utajiri utakufa maskini wu ukianzia umaskini utakufa tajiri.. kuna wanaoanzia utajiri,mpaka wanakufa matajiri, wengine umaskini mpaka wanakufa maskini etc.

Kikubwa tuliza akili, ishibkwa kipato chako, kula maisha huku unawekeza.
Ila pia ukiamua kutumia sote ni zako hushikiwi fimbo.

Maneno ya vijiweni haya 🤣😂
"Tumia pesa ikuzoe"
"Hakullna hela iliyoandikwa ya mfuko wa cement "
"Hakujenga baba kiwanja 200 magomeni, nije kujenga mimi kiwanja milioni 50 kigamboni"
"Kaburini hakuna sehemu ya kutumia pesa"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom