Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI November, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Hivi wakuu Kuna post zilitangazwa na PSRS yaani utumishi kutoka TRC position ya Senior Commercial Officer na deadline ilikua October mwaka jana ila mpaka Leo hakuna call for interview shida itakua ni nini? wakati TRC nao wanacall watu kwa interview lakini mpaka Sasa kwa hiyo post kimya,
na pia...
Habari za muda huu,
Naamini nafasi za uongozi zinahitaji watu wenye akili na uelewa (intelligence), siyo tu kuwa na ushawishi au pesa. Tanzania kwa sasa, tunaongozwa na watu wenye nguvu ya ushawishi wa kifedha kama wabunge na madiwani. Ili tuwe na viongozi bora wanaozingatia uwajibikaji...
Habari za muda huu ndugu zangu naomba kufahamishwa kama kuna mtu alishawahi kufanya interview za electrical technician utumishi tusaidiane namna ya maswali yanavyokuja katika interview zote tatu written, practical and oral
Au pia kwa mtu yeyote mwenye uelewa na interview hizo ruksa kushare...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI October, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Kupeleka ajira za ualimu ni moja ya maamuzi ya ovyo ambayo serikali imewahi kuyafanya.
Sitoshaangaa hapo baadae mwanasiasa mwingine atakapokuja na kuamua kuzirudisha tena Tamisemi au akatumia udhaifu ulioneshwa na utumishi kuombea kura kwa wasaka ajira za ualimu.
Wakati ajira hizi zipo...
Ninesomea Ualimu Shule za msingi nakuhitimu 2019. Nimesoma kujiandaa na usahili mpaka nimesahau Mwezi uliopita nilisoma nini. Imegeuka adhabu utumishi kama hamkuwa mmejiandaa mngeacha tuu.nilijua usahili ungekuwa Mwezi uliopita September ndîo mahana nikajaza Dodoma kwani ndîo nilipo. Wiki ijayo...
Ni pongeze Utumishi wa umma Kwa hatua zote za uboreshaji wa Mifumo yao ya usaili na taratibu za kuajiri kwa ujumla
Lakini naona ni muda muafuka Sasa kuweka matokea ya Oral hadharani ili kuondoa mianya ya Rushwa na Janja janja Kama wanavyofanya kwa written
Tusichoshane..
Hawa utumishi Kazi imeshawashinda, nao wanahitaji kufanyiwa interview. Kada ya afya tangu wafanye usahili Mwezi Sasa unaisha. Waalimu tangu waaplai Mwezi na nusu Sasa. Kada zingine nazo vivyohivyo. Kama hamuwezi Kazi Wapewe Wengine wafanye hiyo Kazi maana ninyi NI kama...
Ni kuhusu hii taarifa ya utumishi kuruhusu watumishi kufuata wenza wao wa ndoa. Kwanza niwapongeze utumishi kuliona hili kwamba ni tatizo ndani ya utumishi, familia nyingi na ndoa zimeparanganyika kwasababu ya haya maamuzi ya kumpangia kazi mtumishi mbali na familia na mwenza wake.
Ila sasa...
Nasikitika Sana kuona "maelekezo" ya Tangazo hilo kuhusu Watumishi kuhama kuwafuata wenzi wao likiwabagua Wenza ambao sio waajiriwa WA sekta binafsi au waajiriwa wa Serikali.
Eti ili uweze kuhamishiwa kwa mwenzi wako LAZIMA wote muwe Serikalini, sasa Mimi ambaye sio mwajiriwa ila mwenzi wangu...
Kuna tatizo kubwa Kwa Afisa Utumishi wa HALMASHAURI ya KARAGWE hasa katika suala la kuhudumia watumishi.
Inajulikana kuwa Serikali kupitia wizara ya Utumishi wa Umma imetoa nafasi Kwa watumishi Kwa ambao wanahitaji kuhama ili kufuata wenza wao, waombe uhamisho ila kwa Karagwe, Afisa Utumishi...
Wana jamii forum naomba kuuliza ni ofisi gani inatoa ajira yenyewe bila kupitia utumishi yani wana kibali cha ajira na wana mshahara mkubwa kwa BBA ya accounting kabla ya kupata CPA
Pia ni ofisi gani ambayo interns wanalipwa hela kubwa😂
Hivi hizi kazi za watendaji wa vijiji na kata kwanini wamepewa kazi ya kuajiri wakati wanashindwa kufuata taratibu nzuri za kuajiri? Maana nimeshangaa sana kuwaita watu kufanya interview za kwanza kwenye halmashauri mbalimbali nchini na interview zenyewe zinafanywa kwa siku 1 Kisha mitihani...
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya utumishi wa mahakama imekuwa ikiajiri mahakimu kwa kufuata utaratibu wa michujo na kuwachagua wale waliofuzu kwa vigezo stahiki kupitia tangazo maalumu na la wazi.
Lakini tarehe 20 Septemba 2024 Jaji Mkuu wa Tanzania, aliwaapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
Tangu kuanzishwa kwake, Tume ya Utumishi wa Mahakama imekuwa ikitangaza rasmi ajira za Mahakimu na kuwachagua wale waliofuzu na kukidhi vigezo stahiki kwa tangazo maalumu na kwa uwazi.
Lakini hivi majuzi mnamo tarehe 20 Septemba 2024, Jaji mkuu ameapisha mahakimu 22 ambao baadhi yao...
Serikali iingilie kati yaani tunaomba TAKUKURU (PCCB) maafisa utumishi kwani wamekuwa wakiomba rushwa ili watekeleze majukumu yao.
Mfano nesi aliombwa atoe kitu kidogo ili alipwe mapunjo na madai yake mshara ambao hakulipwa kwa mda miezi minane ambao alikuwa kazini.
Ukifuatilia kwa umakini...
Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.