Enyi UTUMISHI, hii Ufasuaji ni nini?

Enyi UTUMISHI, hii Ufasuaji ni nini?

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Nafasi za kazi kada ya Afya kwa sasa zimepitia ajira portal na sio TAMISEMI kama ilivyokuwa awali.

Kuna kazi imeandika DAKTARI BINGWA UFASUAJI hii ni nini?
Screenshot_20240707_201412_Chrome.jpg
 
Kingereza hujui...soma kizungu utaelewa
 
Back
Top Bottom