utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  2. kante mp2025

    JamiiForums Tanzania Hivi utumishi wanatumia utaratibu gani kwenye oral interview

    Habarini wakuu wa kazi naombeni kujuzwa utumishi (sekretarieti ya ajira wanatumia utaratibu gani kumpata mshindi wa baada ya oral interview? Kuna post moja ya kazi ilitangazwa waombaji waliofanya kwa usahili wa kuandika walikuwa kama 128 hivi baada ya mchujo wa kuandika wakabaki wasahili wa...
  3. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania Wazo : utumishi walimu tulikuwa tunaomba mtuwekee Mic kwenye oral interview kama itawezekana

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ,,, "" hamna zipo ,,hamna zipo " hatimaye majibu yamepatika Bila shaka utumishi wameprove kile wanachokisimamia,,, kuwa hamna mtu atakaye pata kazi kwa kupitia utumishi bila kufanya interview Sasa basi kesho zoezi la kuendesha sahili za walimu nchi zima...
  4. thee kid

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna uwezekano wa kufanyia interview katika kituo kilichopo katika mkoa niliopo sasa?

    Habari ndugu zangu? Natumaini mko salama na wazima wa afya. Samahani naomba kuuliza jambo ninechaguliwa katika online written interview za utumishi lakini kituo nilichopangiwa ni mkoa mwingine mbali kabisa na mkoa niliopo sasa ivi. Nilikuwa nauliza kama kuna uwezekano wa kufanyia interview...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Tips za Written Interview ya Utumishi kwa Mwalimu wa Kemia na Biolojia Ngazi ya Degree

    Ndugu Mwenye notes au maswali au ABC cha nini naweza kusoma kufaulu interview ya kuandika ya utumishi msaasa please, Natanguliza shukrani. N. B Mwl wa kemia na biologia🙏🙏🙏🙏🙏
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Afisa Utumishi anazungusha kubadili tarehe za likizo tokea Novemba 2024

    Tangu Novemba 2024 nimekuwa niliwasiliana na HRS wahuishe na kubadili TAREHE za likizo, mwezi Novemba ukaisha, Disemba umeisha mpaka sasa Januari kila siku nitabadilisha nitabadilisha . Wadau Ma-HR mlio humu na Ma-IT wa Halmashauri hivi kufanya mchakato huo ni masaa mangapi? Kuna ugumu gani...
  7. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Je, Utumishi Wanaenda Kinyume na Maagizo ya Waziri Wa Elimu na Rais Kwenye Suala la Ajira za Ualimu?

    Wakuu Habari! Naomba nisiwachoshe niende kwenye MAADA moja Kwa moja. Leo Utumishi Kupitia kurasa zao za kijamii wametoa Tarehe za usaili Kwajili ya waalimu. Chakushangaza ni kama wanaenda kinyume na maono na maagizo ya waziri wa Elimu Prof. Adolf mkenda. Waziri Kwa kutumia AKILI Zake kubwa...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Usikope ili ulipe ada za watoto

    Kuna watu wanapitia magumu sana. Sijui kwasababu ya kuishi kwa kuiga au kukosa maono. Huyu maza nafanya naye kazi shirika moja la umma. Kabakisha muda mfupi kustaafu. One day nilimgusia suala la ukosefu wa ajira nchini na duniani ndipo akafunguka kuwa watoto wake kasomesha private both primary...
  9. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mishahara ya watumishi ambao wapo ngazi moja inatofautiana? Je, Utumishi huwa mnafanya kazi kisayansi kweli?

    Moja ya Jambo ambalo sikuwahi kulielewa wakati nipo TZ ni hili! MD aliemaliza MUHAS na kwenda kufanya kazi Hospital za Wilaya , hardly kuwa na take home inayozidi laki 9 . The same MD aliyemaliza MUHAS akaenda MNH , take home yake inazidi 1M . Wote hawa wawili wapo level moja ya UDAKTARI wote...
  10. H

    JamiiForums Tanzania KERO Tume ya utumishi wa umma jirekebisheni kwenye mawasiliano

    Habarini, Imekuwa ni shida kuwasiliana na nyie kwani hamjibu baruapepe,simu na sms. Na hata hao watumishi wenu ambao wameweza kupata namba zao hawapokei simu zao. Huu ni utendaji mbaya na unakela sana kwani wananchi wenye shida wanahangaika sana kwa huduma zenu mbovu. Nashauri serikali...
  11. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini serikali iliamua kuiruhusu TRA iajili yenyewe wakati idara nyingine zote za serikali ikiwemo BOT ajira zinapitia Utumishi

    Hili suala la TRA kuruhusiwa kuajili wenyewe ndio mwanzo wa kurudisha enzi zile za kujazana kabila Moja ofisini hakuna ushindani wa kupata ajira, Aliemshauri Rais kuruhusu hili ametoa ushauri kwa maslahi yake binafsi kama BOT inapeleka utumishi kwanini wao wasipeleke.
  12. BWANA WANGU

    JamiiForums Tanzania Hizi maski za utumishi ukizicheki utajua kabisa tu kuna mtu kapigwa

    :D:D
  13. N

    JamiiForums Tanzania KERO Wahitimu wa Kozi ya Diploma in Pipe Works Oil an Gas Engineering wanapata changamoto katika Ajira Portal

    Kwa: Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, S.L.P 2483, Dodoma. YAH: OMBI LA KIBALI KWA WAHITIMU WA KOZI YA DIPLOMA IN PIPE WORKS OIL AND GAS ENGINEERING KUOMBA NAFASI ZA AJIRA ZA UFUNDI BOMBA Ndugu Katibu Mkuu, Kwa heshima na taadhima, mimi ni...
  14. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Nchi inaendeshwa na utumishi wa umma au wanasiasa?

    Mara kadhaa viongozi waandamizi wa CCM wamesikika wakiwashauri Watanzania wasiwachague wapinzani katika nafasi ya Urais kwa madai kuwa vyama vya upinzani bado havijakomaa vya kutosha kuongoza nchi! 1. Hayo madai yana ukweli kwa kiasi gani? 2. Nchi inaendeshwa na wanasiasa au na utumishi wa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea jana usiku kwa watumishi wa TRA ni matokeo ya serikali kushindwa kudhibiti rushwa na ufisadi kwenye utumishi wa umma

    Watumishi wa TRA wengi (sio wote) kila mmoja kwa kitengo chake hutumia nafasi hiyo kujipatia pesa kinyume na taratibu. Serikali inakosa mapato kwasababu watumishi wa TRA na taasisi zingine wako busy kutafuta pesa. Mmoja wa watumishi wa TRA ambaye kafariki ninafahamiana naye kiasi cha kuweza...
  16. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant

    Msaada Nondo za business administration kwa ajili ya written interview utumishi - tutorial assistant, Msaada wakuu mwenye a,b,c karibu hapa tupeane madini
  17. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Kukandwa kwa maksi chache writen utumishi inakera kwa kweli. Wangekuwa wanaangalia na ukubwa wa maksi

    Wakuu Leo nimefanya paper ya written utumishi, na matokeo wametoa Leo Leo, si mchezo yaani mstari wa not selected Umeanzia kwangu na ukizingatia nimepata 75% yaani inauma mno asali inanipiga chenga, hivi hivi😭 Mungu unikumbuke kwa kweli
  18. K

    JamiiForums Tanzania Transfer vacancy request at ESS Utumishi

    Wajomba, Hivi baada ya ku submit transfer vacancy request katika mfumo wa ess utumishi kinachofuata fuata nini, je wanakujibu kama nafasi IPO au?
  19. K

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Idara ya Utumishi - Halmashauri ya Nachingwea inatuzungusha kutupa Barua za Ajira sisi Watumishi wapya

    Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za ajira kwa sisi Watumishi wa Serikalini. Hizi barua hazitolewi kwa wakati na mpaka sasa, kawaida...
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Utumishi watapangia walimu vituo kwa kuchagua wenye GPA kubwa?

    Hello wakuu, Kuna tetesi nimezipata kuwa Utumishi ,hawatawafanyisha usahili walimu, badala yake wame wamechagua selection criteria, nazo ni mwenye GPA kubwa atapata ajira. Na tetesi zinasema kuwa below 3.0, unaweza husi chaguliwe. Je, yanaukweli hayo? Na ni kweli mwenye GPA ya 4.0 anaweza...
Back
Top Bottom