uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uteuzi wa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CВЕ 21 Novemba, 2023, DODOMA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda...
  2. U

    UTEUZI: Rais Samia amteua Mohamed Melick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu TASAC

    Wadau hamjamboni Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi. --- Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Kabla ya uteuzi huu Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi. Bw. Salum anachukua nafasi ya Bw. Kaimu...
  3. J

    Wasanii Kilimanjaro wavutiwa na uteuzi wa Jokate Mwegelo UWT, warudisha kadi za upinzani

    WASANII KILIMANJARO WAVUTIWA NA UTEUZI WA JOKATE MWEGELO UWT, WARUDISHA KADI ZA UPINZANI Wasanii Kutoka Mkoa wa Kilimanjaro wahamasika na Uteuzi wa Katibu Wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Jokate Mwegelo na Wajiunga na CCM warudisha Kadi za vyama vya Upinzani hayo yamefanyika katika...
  4. Baada ya uteuzi wa Paul Makonda Katibu mwenezi wa Taifa wa CCM: Fahamu hoja zake tano zinazopaswa kujibiwa badala ya kumshambulia mleta hoja

    https://youtu.be/IAut5DN7qE0 Tangu Paul Makonda alipoanza kazi baada ya kuteuliwa kuwa Katibu mwenezi wa Taifa wa CCM mitandao ya kijamii imesema mengi juu yake na ofisi aliyoteuliwa kuitumikia. Maoni mengi yana sura hasi, baadhi wakiwa wanamtazama kwa kutumia miwani ya itikadi ya ujenitalia...
  5. Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Ushauri Simba SC

    Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita tangu tuanze safari ya Mabadililko Klabu yetu imepiga hatua kubwa sana katika nyanja mbali mbali. Pamoja na maendeleo ambayo Klabu yetu imepiga katika kipindi hiki cha miaka mitano lakini malengo yetu bado hatujayafikia. Mojawapo ya majukumu ya...
  6. Kijana wa Mbowe asifu uteuzi wa Makonda, asema anafanya siasa safi za hoja kwa hoja

    Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za kushikiana mtutu. Hii imekuja siku chache baada ya Lissu akionekana hadharani akiuoponda uteuzi wa...
  7. R

    Wengi wameonesha kukerwa na uteuzi wa Makonda, si rahisi kumfundisha mtu kumpenda katili aso na hofu ya Mungu

    Walidhani kila jambo linasaulika, ila ukweli ni kwamba kwa uhalifu uliofanywa enze za RC Makonda hakuna mtu serious atamuunga mkono. Atumie pikipiki au atembee kwa miguu still nafsi za watu zinakumbuka ukatili wake. Mapokezi yake yamefanywa na wale wale tuliowaita chawa lakini viongozi...
  8. Baada ya uteuzi wa mwamba: Kuna kundi limeandaliwa kupambana nae

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu wanaJF wenzangu, najua leo tar 26/10, asilimia 95 ya wanasiasa wote Tanzania waliopo ndani na nje, akili zao, macho yao, masikio yao na fikra zao zipo katika ufuatiliaji wa kile kinachoenda kufanywa, au kusemwa na kijana Makonda. Tumeshuhudia watu wengi (hasa...
  9. Paul Makonda ateuliwa kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi

    Ndugu Paul Makonda ameteuliwa na CCM kuwa Katibu Mwenezi. === Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo tarehe 22 Oktoba, 2023 mjini Dodoma, katika kikao chake maalum, chini ya Mwenyekiti wa CCM, Ndg. Dokta Samia Suluhu Hassan, pamoja na masuala mengine, imeridhia kwa kauli...
  10. Tundu Lissu alaani uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM

    DAKIKA 31:49-37:50 https://www.youtube.com/live/HcjWmHNQ9wQ?si=zi7ImpuRnAjBicwy Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru...
  11. Uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa ni moto!

    Ni moto, si, tu kwa Upinzani bali pia kwa waliolala na kujibweteka kwa kufanya kazi kwa mazoea ndani ya chama na ndani ya serikali iliyopo mamlakani. Huyu kijana si tu mwanasiasa bali pia mwanaharakati mahiri nchini. Ana hulka za jino kwa jino, sina hakika kama kabadilika. kwa maoni yangu...
  12. S

    Uteuzi wa Makonda ni matusi kwa vigogo hawa

    1. Waziri Nape alitolewa bastola hadharani kama jambazi mchana kweupe kwa amri ya Makonda. Yawezekana ni kweli Nape kamsamehe Makonda lkn sisi watanzania kamwe hatujasahau wala kusamehe. 2. Ridhiwan Kikwete, naibu waziri utumishi, alitajwa na RC Makonda kuwa anauza ngada. Mama Salma Kikwete na...
  13. C

    Team Magufuli vs Uteuzi wa Makonda

    Tangu aondoke JPM duniani hakuna team JPM ilikua na amani lakini nawahakikishia kila Team JPM leo moyo wake utalala na amani kubwa sana. Uteuzi wa Makonda Umeibua vigelegele na shangwe sio za kawaida mioyoni mwa Team JPM. Hakika Mama amejua kugusa Mioyo ya Watu, Kwa Shangwe hili sipati tabu...
  14. Uteuzi wa Makonda: Kosa la kiufundi, CHADEMA Mshindwe Wenyewe

    Wakuu JF, Greetings and I hope you are doing well. Niende kwenye Mada, Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi, CCM, Imemteua Ndugu Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi akichukua Nafasi ya Sophia Mjema. Pia soma >>>Uteuzi wa Makonda na mustakabali wa...
  15. Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  16. Mwalimu Maganga aliyekataa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu alisharipoti kazini?

    Mwenye taarifa za Mwalimu Maganga, Katibu Mkuu CWT aliyekataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya na kurudishwa kwenye Ualimu, kama alisharipoti kituo chake cha kazi atujulishe tafadhali!
  17. M

    Hivi Papa hawezi kutengua uteuzi wa kadinali wakizinguana au akiona hampi ushirikiano?

    Mumbe hauawi na kuuliza si ujinga. Hii position imekaa kisiasa na siasani Kuna kutengua na kuchagua. Ambaye hatenguliwi ni padre tu na ndo Huwa hastaafu lakini askofu na kadinali anastafu. Sasa kama anastafu kwa Nini akizingua asitenguliee abaki na upadre au uaskofu wake tu? Au atengliwe...
  18. Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  19. Master J naye alamba Uteuzi BASATA

    Hii ni baada ya kuteuliwa na Waziri Damas Ndumbaro kuwa Mjumbe wa Basata. --- Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo , Dkt. Damas Daniel Ndumbaro amefanya uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) baada ya Rais wa wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Prof. Saudin Jacob...
  20. Salim Kikeke pole kwa Kuukosa Uteuzi na rejea sasa kwa Waliokudanganya na kuwapa Pesa waambie Wakurudishie upesi

    Na nasikia kumbe Walikudanganya kuwa kwakuwa Mteuwaji Mkuu ni Muislamu basi nawe Muislamu Mwenzake hatouacha na atakuteua na haijawa. Na Mmoja wa Watu waliokudanganya yuko Wizara ya Utalii ( ila siyo Waziri ) japo ni Mtu wa Mfumo ( System ) na Wengineo Wanne ( Mmoja akiwa ni Mwanamke )...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…