utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Ilani ya CCM inakemea Utekaji

    Akiwa katika mahojiano ya kipindi cha Dakika 45 ITV Septema 8, 2025, Professor Kitila Mkumbo alisema haya kuhusu suala la utekaji na ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) "ilani ya CCM ina vipaumbele tisa, kwa mfano kipaumbele cha sita ni kudumisha demokrasia na utawala bora, hapa tunazungumzia...
  2. tpaul

    JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matusi mazito mitandaoni, ni matokeo ya chuki chanzo kikiwa ni uonevu, mauji, utekaji, ufisadi, ukandamizaji

    Habari ndio hiyo na watu waanaamua kutoa hasira zao kwa njia hiyo walionayo. Wanaotukana matusi hayo mazito ni wachache ila sio vichaa bali wanamachungu. Vile vile, angalieni na mjiulize wanao-comment kuunga mkono matusi hayo ni wachache? Somo; Hawa wanaotukana na wanaochangia kuunga mkono...
  4. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kupotea kwa Lazima 2025: Ukweli, Uponyaji, na Utu

    Leo, Agosti 30, ulimwengu unaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Waathirika wa Kupotea kwa Lazima (Enforced Disappearance). Siku hii, iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa (UN) mwaka 2010, inalenga kuongeza uelewa kuhusu ukiukwaji huu mkubwa wa haki za binadamu na kutoa wito wa uwajibikaji. Mwaka 2025...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari, Mungu ataingilia kati ili awatetea watu wake

    Gwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Utekaji pamoja na kufungiwa makanisa. Nimeamua kusimama kugombea ili kuyatatua

    Akizungumza na wananchi wa Katoro, Mkoani Geita leo Agosti 20, 2025 katika zoezi la udhamini, Mpina amesema nia yake ni kuingia Ikulu na kuunda Serikali yenye viongozi waaminifu, watakaokomesha ubadhirifu wa fedha za umma na kuelekeza rasilimali hizo katika kutatua matatizo ya wananchi. “Taifa...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yanaendelea mbele kuiteka Gaza!

    IDF inasonga mbele hadi katika Jiji la Gaza kwa kubomoa vizuizi vya makazi katika mtaa wa Al-Zaytoun ambapo Magaidi wanashambulia wanajeshi wa Israel!!
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Israel : Utekaji wa Gaza ni 'janga'

    Wanaukumbi. Kiongozi wa upinzani nchini Israel anasema uamuzi wa baraza la mawaziri la usalama kuchukua mji wa Gaza ni "janga" ambalo "litasababisha maafa mengi zaidi". Yair Lapid anasema kutwaa mji wa Gaza kutasababisha vifo vya mateka waliosalia na mauaji ya wanajeshi wengi wa Israel. Mpango...
  9. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Viongozi wasiopaza sauti zao kupinga utekaji na mauaji mkifa kwetu wananchi ni sherehe

    Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Msidanhanyike: Nchimbi kaongea baada ya Polepole kusema wakati wa Magufuli chama kilikemea utekaji

    Sijasikiliza hiyo clip yote ya Nchimbi, ila kwa mtazamo wangu, kaongea hayo ikiwa ni kuitikia ushauri wa Polepole kuwa chama chao(CCM) kilipswa na kinapaswa .kukemea utekaji kama ambavyo chama enzi za Magufuli kilikemea utekaji ingawa mimi huo ukemeaji naona ulikuwa ukemeqji wa kinafiki tu...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Inatetemesha na kuogopesha : Mh Polepole asema yanayoendelea Nchini ukiwemo Utekaji na maumivu mengineyo yanatoka Kundi la Wanamtandao!!

    Wakuu Mambo mazito sana !!. Nchi kumbe imetekwa na Wanamtandao
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

    Salaam! Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea. 1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee? 2. Ikiwa mllishiriki kugawa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LHRC: Tunalaani utekaji na kutelekezwa kwa Mwabili Mwagodi

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kinalaani kitendo cha utekaji, utesaji na kutelekezwa kwa raia wa Kenya, Bw. Mwabili Mwagodi. Tukio hili linatishia misingi ya haki, amani, na utawala wa sheria katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, LHRC inataka uchunguzi huru na wa wazi, na hatua kali...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Utekaji, kupoteza na kuua viumbe wa Mungu ni dhambi ambayo inaweza kurithiwa na vizazi vya wanaotenda matendo hayo?

    Ndugu wanajamii, binadamu, jamii na mataifa yote kwa ujumla, naomba kwa dhati ya moyo mkunjufu mnisaidie majibu. Je, matendo yangu maovu yanaweza kugeuka kuwa sehemu ya uzao wangu na ukawa intra na inter generational, dhana ile intergenitic DNA. Nimewaza hivi baada ya kusikia na kuona...
  16. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Taifa litazame kwanza Hatima ya Utekaji na Mauaji ya Kisiasa Kabla halijatazama suala la Rais Samia Kugombea au Kutogombea!

    Kwa Mara nyingine tena naandika nikilitaka Taifa, Lijiulizwe maswali haya Kisha liamue Je Rais Samia agombee hata kama Kavunja Katiba za Chama na Taifa, au Azuiliwe Kugombea Kwa namna yoyote inavyowezekana?. Je Utekaji Mwisho wake utakua Lini ikiwa Rais Samia ataendelea ?. Je Mauaji ya Kisiasa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu

    Uonevu, utekaji, rushwa sio siasa ni wizi na uhalifu. Hivyo mtu yeyote asisingizie chama cha mtu kufanya haya. Kwanini unaibia kura watu ambao unasema wanakupenda, kwanini unakula rushwa au kuteka . Jeshi letu na mahakama saidieni nchi kwenye haya
  19. maiko sultan

    JamiiForums Tanzania Kipindi ambacho hakukuwa na uchawa wala utekaji watu walikuwa wakiburudika na nyimbo za kuponda CCM

  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Polepole hawezi kukemea utekaji na mambo mengine ya kihuni ya serikali ya sita. Maana yote yanayotendeka sasa yalitendeka pia 2015-2021

    Atazunguka zunguka tu kutaja mchakato wa mgombea wa Urais na mchakato wake but hawezi kugusa mambo mengine. Mambo mengi ya hovyo ya kipindi hichi ni reflection ya kipindi cha Magufuli ambacho Polepole alikuwa mezani akila pamoja na Rais Magufuli. Hazungumzii jinsi wapinzani wanavyonyimwa haki...
Back
Top Bottom