Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana.
UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda.
Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
Si dhani kama wanashaurika hawa watu? Ila mimi najuwa wanafahamu kila kitu kinachoendelea na wanauwezo wa kukomesha kabisa hata bila kuundwa hiyo tume ambayo itachukua kodi za wananchi.
===================
Asasi Za Kiraia (AZAKI) zaidi ya 300 nchini zimewasilisha mapendekezo kwa Chama Cha...
Leo ni tarehe 20 Oktoba 2025
Tarehe kama hii ya leo mwezi ujao credibility ya Mwanasiasa, Kiongozi wa dini, msanii wa injili, msanii wa bongo flavour au mwananchi yeyote yule itapimwa kwa jambo moja tu nalo ni kama aliwahi kupaza sauti kukemea mauaji ya watanzania, utekaji wa watanzania...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali wimbi la ukamataji, utekaji na vitisho vinavyoendelea dhidi ya viongozi na wanachama wake katika Kanda ya Victoria, hususani mkoani Kagera.
Tarehe 16 Oktoba 2025, viongozi na wanachama zaidi ya saba wamekamatwa na vyombo vya dola...
Katika nyakati ambazo dunia inapiga hatua kuelekea ustaarabu wa kweli wa kisiasa, bado wapo viongozi wanaogandamiza misingi ya haki, uhuru wa kiraia, na demokrasia. Katika mazingira haya, haiwezi kuwa kosa kumuita kiongozi wa namna hii "shetani wa dunia", ikiwa hataki kukemea utekaji wa raia...
Mwanasiasa mkongwe na mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka amesema kuwa chama cha mapinduzi hakiungi mkono mwenendo wa matukio ya utekaji yanayoripotiwa katika maeneo mbalimbali nchini.
Sendeka ameyasema hayo wakati akizunguma katika mkutano na waandishi wa habari...
Hamjambo!
1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini.
Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano.
2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki.
3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
Najua kwa asilimia kubwa viongozi wa asili na mila wa sasa ni wanafiki na waongo na ndiyo maana ni "double agents" wa serikali kwa maana kwamba anaendesha shughuli za asili na mila na wakati huohuo ni muumini wa ukristo na uislam,huu ni ukichaa!!
Niwaombe kama kweli mnauwezo na kuamini ktk...
Tangu zimeanza kampeni za chama tawala CCM sijasikia katika sera zao kuhusu kupambana na kumaliza tatizo kubwa la watu kutekwa na hata kuuwawa.
Ambapo hadi sasa kuna matukio mengi ya utekaji na watu kupotezwa kabisa yameendelea kupamba moto. Hadi sasa aijulikani alipo Polepole, Mdude, Soka n.k...
Jeshi la Polisi kama lilivyotoa taarifa yake jana Oktoba 6,2025 kwamba, limeanza uchunguzi wa tuhuma zilizo tolewa na Augustino Polepole kuwa, ndugu yao Humphrey Polepole ametekwa, jalada la uchunguzi lilifunguliwa jana hiyo hiyo.
Pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali, Jeshi la Polisi...
Kwa namna nilivyotazama zile Damu sioni kama Balozi anaweza kuwa hai, nawaza tu baada ya zile damu kumtoka alipelekwa wapi? kama hajapelekwa hospitali anawezaje kuwa hai napata mashaka sana balozi inawezekana kabisa hatupo naye.
Ni mawazo tu.
Aisee Tunaamdamana Oktoba 29 , kama mtaungana na na Watesi wetu basi, Capt Tesha na wenzake watatusaidia.
Haingiii Akilini, Wanajeshi wa JWTZ wamefia huko Kongo, Comoro, Sudan Kwa sababu ya kuwalinda WANANCHI wa Nchi hizo.
Leo hii Tanzania nzima Kuna opereshen ya kuwateka,.kuwaficha na kuwaua...
1. Utekaji na Uuaji
Kwa nini viongozi wa upinzani, wanaharakati na waandishi wa habari wanapotezwa au kutekwa, halafu serikali yenu inakaa kimya bila majibu ya wazi?
Mnaogopa nini hadi kufikia hatua ya kuua na kuteka watu wanaohoji mfumo wenu?
2. Utawala wa Sheria
Kama kweli mnajivunia...
Imeoneshwa kule x video inayozubguka mitandaoni majitu kama sita hivi yakimzingira nakumbeba jujuu mtu mmoja na kumuingiza kwenye gari rangi nyeupe na kutokomea naye huko yanakowapeleka wengine.
Mshangao ;
1. Tukio lometokea mchana kweupe
2. Kulikuwepo watu waliokuwa wanatazama na kurecord...
Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi, wakitekwa wote wakaisha nani atawapigia kura?
Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2022 kwa Wasanii ambapo jumla ya wasanii ni 96,727
Tanzania bara 88,365
Zanzibar 8,362
Mkoa wa Dar es salaam umeongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wasanii wapatao 25,262.
Wanufaika zaidi na mfumo hawazidi 100 (0.113%)
Tanzia Mkoloni
Huo ndiyo utaratibu
Wakuja kukuteka
Kabla hawajaamua nini cha kukufanya wanaangalia kuna ushahidi, kuna watu wameturecord au kupiga picha, kama hamna wanafanya walichopanga kufanya, kama kuna ushahidi wa pich zao wanatoa update kwenye kile kipage chao alafu wanafunga comments.
(Hakuna ushahidi...
wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha.
Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha.
Hakuna ubaya kuwa na mizuka na mambo mengine, ila kupotezea kabisa mambo ya nchi na maisha yako ni upumbavu zaidi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.