utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Taswira ya serikali ya CCM; utekaji, uuaji, kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa

    Kuna kitu nimeshindwa kabisa kuelewa sisi Watanzania ni watu wa aina gani. Tunawezaje kuona serikali ambayo imekubuhu katika utekaji, uuaji, utozaji kodi kupita kiasi, uonevu wa polisi, ugomvi na wachungaji, ufisadi uliokomaa, ugawaji rasilimali za taifa kwa wageni, udanganyfu katika uchaguzi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Gwajima alipoongelea kuhusu utekaji alishambuliwa sana, walikerwa kuelezwa masuala hayo

    Sheikh Ponda kanyooka kama Kitima, ni mwendo wa kupiga kwenye mshono mpaka kieleweke. ==== Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ambaye pia ni mwanachama mpya wa Chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania (Ufufuo na Uzima)...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii Vitalis Maembe aja na wimbo mpya kuhusu matukio ya utekaji na watu wasiojulikana, asema hakuna kukaa kimya

    Wakuu Tusimame pamoja tupaze sauti tusiyakalie kimya haya yanayoendelea, kama jirani yako hayupo salama ina maana hata wewe haupo salama. === Msanii wa muziki Vitali Maembe ametoa wimbo kupinga mauaji yanayotokea na watu kutekwa afrika Mashariki unaoitwa "KIMYA'' na kuambatisha ujumbe...
  4. mkaskaz

    JamiiForums Tanzania Utekaji na kupotea kwa raia umeyavua nguo majeshi ya Tanzania.

    Hivi hii nchi ina Mkuu wa Polisi kweli? Mkuu wa Majeshi ya ulinzi je, yupo? Mkuu wa Usalama wa Taifa? Au hawajaapishwa kuanza majukumu bado? Inawezekanaje watu wanapotea, kuteswa na kuuwawa na ninyi mpo? Au silaha zenu ni duni kuliko hao watekaji? Au na ninyi mnahusika kwenye huu utekaji wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi lijitokeze na kutoa msimamo wa utekaji na haki za binadamu Tanzania

    Imefika wakati jeshi lijitokeze na kutoa msimamo kama wanaunga mkono upotoshaji wa haki na kunyamaza wakati watanzania wanatekwa na vyombo vingine na wanasiasa wananyima haki. Au Jeshi litoe msimamo kwamba Tanzania katiba inatakiwa kufuata ikiwa ni pamoja na kuwa na uhuru wa kupiga kura...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza Wakristo kwa kukemea Utekaji, Kwa kiasi Fulani Sasa Pametulia

    GT Heko na shukrani nyingi ziwafilie hawa viongozi wa Kikristo kukemea mauaji bila kuchoka. Wameokoa roho za watu wengi sana hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Bila makelele yao naamini hali ingekuwa mbaya sana kwa wanasiasa/wanaharakati mauaji yangekuwa mengi zaidi. Sijajua wenzetu waislamu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Shura ya Maimamu wa Tanzania yatoa waraka mzito-Yalaani matendo ya utekaji na mauaji nchini na kutaka haki katika chaguzi nchini

    HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025 PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025 Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania IGP Wambura: Matukio ya ujambazi, utekaji na uporaji yamedhibitiwa

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillius Wambura amesema matukio ya utekaji, ujambazi na uporaji yamedhibitiwa kwa kiasi kikubwa katika kipindi cha miaka minne iliyopita. IGP Wambura ameyasema hayo leo, Jumatatu Juni 9, 2025 jijini Dar es Salaam wakati wa kufunga Kozi ya Maafisa na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mtu yule ni Simba na jana kajitokeza kweupe. Ni kama Nabii Eliya yaani

    Salaam, Wakati mgambo wakikesha kumtafuta, Simba yule bila woga, Jana aneungana na waombaji na maombi yakaendelea kama kawaida mchana kweupee! Ni kama tu nabii Elia, aliweza kutokea bila woga mbele ya Mfalme Ahabu Kisha akapotea asionekane popote. NB: Usiogope, Usiogope, Usiogope, Usiogope...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Utekaji na Mauaji ya Watu Si tu Kwa sababu ya Urais wa Miaka 5, ni Kwa sababu ya Hatima ya Wachina na Waarabu !! Wanajua Samia akianguka,hawana Chao!

    Haingii akilini , Utekaji na Mauaji yaloshamiri Et uwe tu sababu ya Urais !! Hapana !!. Huyu Rais alikataliaa na Magufuli katakata, Magufuli alimkataa katakata, hakutaka hata awe Makamo wake, ni basi tu alichomekewa. Na Kwa Mapenzi ya Mungu na Ubovu wa Katiba yetu, Samia akawa Rais wa Bahati...
  11. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Aliyehusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas naye afyekelewa mbali leo hii huko Gaza

    BREAKING: IDF imemwangamiza Kiongozi wa kundi la kigaidi la Mujahidina Brigedi huko Gaza, ambaye alihusika na utekaji nyara na mauaji ya Shiri, Kfir, na Ariel Bibas. Yeye na familia yake wote waliangamizwa. Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote.
  12. Common Folk

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Janeth Rithe: Rais Samia wewe ndiye Amiri Jeshi Mkuu, ukisifiwa kwa mazuri basi hata mabaya pia hauwezi kuyakwepa (KUMBUKIZI)

    Huyu mama sasa hajapindisha maneno wala kuongea kwa tafsida kama Gwajima, yeye amelenga mulemule kwa mama. === Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Janeth Joel Rithe amesema kuwa Rais Samia Suluhu hawezi kukwepa wajibu juu ya malalamiko ya wananchi kuhusu matukio ya utekaji...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Waziri anaweza kukomesha utekaji?

    Mheshimiwa Mpina amemlenga huyu huyu Waziri au yule Waziri mwingine? Janga la utekaji nchini ni likesababishwa na uzembe wa Wizara ya Mambo ya Ndani au Uamuzi wa "wakubwa"? Utekaji ungekuwepo kama "wakubwa" wasingeuhitaji? Nahisi Mheshimiwa hamsemi "huyu" Waziri bali "yule" Waziri!
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche Apinga Kufungwa kwa Kanisa la Gwajima: 'Hatutanyamazia Utekaji, Uovu'

    https://www.youtube.com/watch?v=vO-UWuTq9AU Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho kinaungana na msimamo wa Askofu Josephat Gwajima, juu ya kupinga masuala ya utekaji ambayo ymekuwa yakiripotiwa nchini. Heche ameongeza kuwa kutokana na msimamo huo wanapinga pia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wa ACT Wazalendo awaasa wana ACT Kutofurahia CHADEMA kuonewa na dola, akemea utekaji wa wananchi unaoendelea nchini

    Katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo ndugu Ado Shaibu, amewaasa wana ACT kufurahia na kitendo cha dola kula njama za kutaka kuiangamiza CHADEMA, akasema kuwa Dola ikishamalizana na CHADEMA wanaofuata kushughulikiwa ni wao. Pia Ndugu Ado Shaibu akasema kuwa wana ACT wajizatiti ipasavyo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda alivyoeleza ukubwa wa tatizo la utekaji nchini.

    Gwajima yuko sahihi sana, alichokieleza siyo taarifa mpya kipya katika jamii. Taasisi na watu mbalimbali influential ikiwemo TLS, Shura ya maimamu, Maaskofu wamelipigia kelele sana hili tatizo la utekaji nchini. Hapa chini ni Sheikh Ponda akiwa katika kongamano la TLS akieleza ukubwa wa tatizo...
  17. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Tuweke maombi yetu wana JF dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji mpaka wahusika wateketezwe

    Silaha zote zitumike, wanaoongea waziwazi, keyboard warriors na wenye imani mbalimbali tuendeleze mapambano. Hapa tuweke maombi yetu ya kiimani dhidi ya utekaji, mauaji na ukandamizaji. Wahusika waharibiwe.
  18. sammosses

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupinga utekaji ni uchochezi na uhaini!?

    Sovereignity state for the freedom of people's imeamua kupambana na wananchi huru wanaopinga uvunjifu wa haki za binadamu. Nani asiyejua aliyemfunga Paka kengele,kengele imebana shingo ya Paka ,Sasa anatapatapa! Utekaji umeondoka na kisiwa Cha amani,hata wageni au watalii si salama Tena,kwa...
  19. Consigliere

    JamiiForums Tanzania Kanisa lafungwa nchini Tanzania baada ya Askofu wa Kanisa hilo kuitaka Serikali kudhibiti matendo ya utekaji na mauaji kwa raia

    Baada ya Mbunge wa Chama tawala nchini Tanzania ambaye pia ni Askofu kuitaka serikali kukomesha mambo ya utekaji na mauaji nchini Tanzania na kutishia kuwataja watekaji hao, Serikali ilijibu kwa kuchukua hatua za kulifungia Kanisa hilo na kutuma askari walioenda kuwaondoa waumini wake kwa nguvu...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala siasa

    Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ? Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza...
Back
Top Bottom