Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC).
Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC.
Nitarudi na...
kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza.
Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu.
tukutane #D9 tukinukishe
Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
afya
amani
amani na mshikamano
baada
dola
halali
hapo
haya
hii
jamii
kudumisha amani
macho
mapinduzi
mimi
moto
nchi
njia
uchaguzi
unajua
utekaji
viongozi
vyombo
vyombo vya dola
wapumbavu
Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo.
Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
Wakuu,
Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa.
Lakini hola!
Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania.
Hii nchi imeoza to the core!
Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji
Dada huyu amehoji kwanini maridhiano yafanyike, wakati watanzania wameuwawa kinyama, anaendelea kuhoji kwamba hayo maridhiano yatakakuonyesha kwamba waliandamana wanapaswa kuhukumiwa?
Aidha amaetaka kuhukumiwa...
Kabla ya Uchaguzi Media zote za Kimataifa zilimsema kwa tuhuma ya kuua, kuteka na kupoteza Wapinzani wake huku wengine akiwafungulia kesi za uongo ili wasishiriki uchaguzi
Wakati wa Uchaguzi dunia nzima inazungumzia alivyoua Watanzania zaidi ya 1000 huku akijitangaza kushinda kwa asilimia 98 na...
Habari wana JF.
Siku imekucha na makucha yake.
Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno.
Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
Wakuu!
Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania.
Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao...
"Nilipoongea nanyi tarehe 24|5|2025 nilipoanza hoja ya utekaji umezidi katika nchi nilitoa takwimu iliyotoka TLS-Tanzania law society ya watu waliokuwa wametekwa au kupotea, wengine kupatikana na wengine kuokotwa wakiwa wamekufa na sasa ni almsot miezi mitano baadaye utekaji umeendelea umekuwa...
Askofu Gwajima amesema anaendelea kuukata utekaji lakini pia kauli zinazotolewa na mamlaka ni kauli nyepesi sana ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu.
Aidha amesema kwamba alivyojamaza kusema kwa kipindi cha miezi 5 alijuwa yataisha lakini ndio matukio ya utekaji yanaendelea kwa kasi sana...
TAARIFA YA UTEKAJI
Chadema tumeendelea kufuatilia kwa karibu matukio mbalimbali ya utekaji wa watu yaliyotokea nchini ndani ya siku ishirini na tano kuanzia tarehe 01 hadi 25 Oktoba 2025. Katika kipindi hiki, jumla ya watu 52 wametekwa, wengi wao ni viongozi na wanachama wa Chadema, pamoja na...
Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi...
Usiku wa Oktoba 24, Mchungaji Elieth Eliawaha Mtaita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Boay katika Jimbo la Babati Vijijini, mkoani Manyara, ametekwa na watu wasiojulikana.
Soma: Albert Machumu wa CHADEMA adaiwa kutekwa leo asubuhi akiwa kazini kwake
Taarifa...
Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa Leo na Afande Ally wa kituo cha Ifunda Kibaoni Jimbo la Karinga pamoja na Afande Lazaro wa Central Iringa mjini.
Soma pia: Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda
Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea.
Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
Mimi nadhani Kwa Sasa hatuna kitu kinaitwa Watu wasojulikana.
UTEKAJI na Mauaji yanayoendelea Nchini ,unsratibiwa na Genge la watu wachache lililo Ndani ya Jeshi la Polisi na likiongozwa na Mafwele na Makonda.
Hili ndo Genge lilovamia Clouds , likampiga LISSU Risasi, ndio hili genge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.