utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    “Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna tetesi Julai 17 Polepole anaenda kusambaratisha Wahuni na Kiongozi wao kuanzia Utekaji, Mauaji, DP World...

    Hii si ya Kukosa Wakuu!!. Wekeni Bando , Samia angekua na namna anataman hata siku hiyo Intaneti izimwe !!. Taarifa zinasema ,Polepole ,Mtumishi wa Mungu asipenda kushiriki Dhambi anaenda 1-Kupigia Kelele suala la Utekaji, Mauaji, Majarabio wa mauaji Kwa Viongozi wa Kisiasa na Kidini huku...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanne mbaroni utekaji, mauaji ya mfanyabiashara wa madini

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kumteka na kumuua mchimbaji wa madini ya dhahabu, Nestory Marcel Inda (61), mkazi wa mtaa wa Stamico-Katoro, Wilaya na Mkoa wa Geita, ambaye mwili wake ulitupwa katika Ziwa Victoria eneo la Mwalo wa Thale, Wilaya ya Ilemela...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki akumbushia alivyotekwa na mambo aliyofanyiwa

    Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana. "Wito wangu ni tukemee...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Watu kama Watendaji wa Vijiji nao pia wanakamata, kutesa na kuua

    "Thamani ya uhai katika nchi yetu inapotea. Matendo ya utekaji wa watu kama vile kina Mdude, Kina Soka, Kina Sativa na watu wengine inawafanya watu kama watendaji wa Vijiji kuona kwamba wanaweza nao pia kukamata, kutesa mpaka kuua." Amesema Zitto. Zitto amebainisha kuwa Ibara ya 14 ya Katiba ya...
  6. Inside10

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yalaani vitendo vya utekaji, watu kupotea

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), kupitia mwenyekiti wake mpya, Askofu Dkt. Stanley Hotay, imetoa tamko kali kulaani vitendo vya utekaji na watu kupotea ambavyo vimeendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali ya nchi. Tamko hilo limetolewa kufuatia Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya hiyo...
  7. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kuna option 2 tu za kuondoa mateso, dhuluma , visa vya utekaji, mauaji ya raia, na ukandamizaji unaoendelea

    Ni either (1) tufanye total reforms kwa kurekebisha katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ili kuwa na mfumo wa haki wa siasa za vyama vingi ikiwemo chaguzi huru na za haki au 2. Kubadilisha katiba ili kufuta mfumo wa vyama vingi na kubaki na ccm pekee. Tuache unafiki wadau. Options ni...
  8. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCT Ask Shoo wa KKKT aunga mkono kanisa la RC Kupinga Utekaji na uuaji kwenye hotuba ya kufungua mkutano mkuu wao

    Mwenyekiti wa CCT Ask Shoo ametoa hotuba ambayo sikutegemea. Kwenye hotuba yake ya kufungua Mkutano mkuu wa CCT Leo jul 3, 2025 mjini Dodoma alinyooka kwenye kauli yake ya kuunga mkono wazi wazi msimamo wa kanisa Katoliki wa KUPINGA kuteka, kuua na kupoteza watu. Anasema watanzania...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanzilishi wa kutekana na siasa chafu bongo, alijipenyeza kwa watawala kama mshenga (chawa) akaukamata moyo wa mfalme kwa ushauri wa hovyo

    Ndugu zangu tegeni masikio hapa! Katika enzi za mfalme mwenda zake! Kuna kijana aliibuka kama chipukizi kutoka umoja wa vijana! Kijana yule ni moja ya vijana wanaojua sana kujipendekeza! Ni kijana ambae ukimpa nafasi tu atatumia kila mbinu ili aonekane yeye ni bora zaidi kuliko wengine...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Makonda, Gambo, Mwijaku,Mchengerwa, Omera wakamatwe kwa tuhuma kutumia madaraka yao vibaya sio kugombea ubunge

    Naongea haya kwa masikitiko makubwa Moja ya watu waliotuhumiwa kwa utekaji na Mambo mengine moja wapo ni Hawa watu Halafu leo wanagombea Tena ubunge na nchi hii ilivyo ya mazuzu wanawashangilia tu Hawa watu WANATAKIWA kukamatwa na takukuru na kohojiwa kwanza kwa kutumia madaraka yao vibaya...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania ADC yalaani utekaji wasema hatukubali aibu kwa taifa

    Chama cha Alliance Democratic Change (ADC) kimeungana na viongozi wa juu wa nchi kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kushamiri katika baadhi ya maeneo nchini, vikihusisha raia wa kawaida, watoto, na hata wanasiasa. Akizungumza Juni 29, 2025, katika Mkutano Maalum wa chama hicho wa...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kama Serikali haitachutama kukaa kimya kuhusu Utekaji kwa moyo wa dhati hizi ajali ni Gharika ya Mungu kwa Taifa za wanasiasa zinafuata

    Sina mengi ya kusema Mungu ni Mkuu kuliko vyote, nawaombea marehemu wote Mungu wa mbinguni awape pumziko la milele, inauma sana sana nasikitika sana Taifa kupitia hali hii ya ajali mbaya zenye kuumiza mioyo yetu
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakati Spika Tulia akisema Hamna Utekaji Wala Upoteaji watu bila Kushuhudia, Rais Samia analiagiza Jeshi la Polisi kuzuia Upoteaji watu !!

    Sasa huyu ndio Rais wa Mabunge !! Huyu ndio Mbunge, Msomi wa Sheria !! Wakati analinajisi Bunge tukufu, Jana Ndani ya Bunge hilohilo Rais Samia akaliagiza Jeshi la Polisi kudhibiti Upoteaji watu!!. Tanzania imefikia hatua ya Kila MTU mwenye Mamlaka anakua Chawa Kwa ajili tu ya Hakikisho...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Peter Madeleka kimekupata nini? It is a pity kuwa mtu aliyekuwa shujaa wa IMANI kutete haki leo Unatetea utekaji!

    Madeleka kugombea Ubunge Tabora kumekutoa akili kweli? Mbona ulikuwa shujaa wa IMANI katika Mungu na mkeo kaokoka? Leo unasema utekaji umepungu/haupo? Kweli? Umeshakuwa "chawa" wa ACT, but remotely chawa wa CCM! KWELI HAKUNA UTEKAJI?
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Madeleka: IGP asiishie kupunguza matukio ya utekaji, akomeshe kabisa

    " Watu wanatekwa na juzi IGP ni shahidi nampongeza sana, kasema wamefanikiwa kupunguza utekaji, maana yake IGP anawajua wanaoteka ndiyo maana ameweza kuwadhibiti. Sasa mimi wito wangu kwa IGP, ili watu waweze kuwa na amani ya kweli, nampongeza kwa kupunguza matukio ya utekaji lakini watanzania...
  16. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Ni nini na lini hatima ya wasiojulikana na utekaji, nani anapaswa kuwajibika katika wajibu wake... Wananchi wanahaja ya kupata ufafanuzi yakinifu

    Serikali kwa maana ya kwamba viongozi husika (Raia nambari 1 hadi 10) wanawajibu wa kuleta majibu yenye mashiko juu ya maswali haya. Niliwahi kuona mbele ya muda exactly nini kitatokea na kikaja kutokea na nikaandika; "Thread 'Hukumu ngumu(bias) katika mashtaka mepesi' Hukumu ngumu(bias)...
  17. DON YRN

    JamiiForums Tanzania Wazazi wetu wana hofu juu ya utekaji, inasikitisha sana

    Wasalaam!, Nimekaa wiki 1 nzima sijawasiliana na wazazi wangu nikipambana na purukushani na namna ya kulipa hili deni la mama yetu. Leo napokea simu ya baba yangu, baada ya salamu mzee ananambia, nanukuu; "Mwanangu, usiwe unakaa muda mrefu bila kutupigia simu tukajua unaendeleaje maana tuna...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Utekaji, Mauaji na Hofu ya Kunyamaza: Taifa Linaangamia Kwa Saikolojia ya Uoga wa Kimfumo

    Je, kuteka raia wasio na hatia, kuwaua wanaharakati wa haki za binadamu, na kusaka watu kwa sababu tu wamekosoa mfumo dhalimu ni halali? Hivi tumefikia hatua ya kuwa taifa ambalo linaogopa hata kupumua kwa uhuru? Taifa ambalo linahitaji kibali hata kwa fikra huru? This is the psychological...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Boniface Mwabukusi: Tuache propaganda 'Utekaji upo', mnaodai Wanajiteka, waliotoroka nchi na Madeni wekeni majina yao hadharani

    WE DON’T NEED PAINKILLERS — WE NEED A COMPLETE CURE FOR THE DISEASE. Abductions are real, and the abductors exist; some of them have already been cited in the matter of Mdude Mpaluka Nyagali. Also Read > Polisi kuhusu taarifa za watu kutekwa: Ni kujiteka, wivu wa mapenzi na kugombea mali...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limeanza kufanyia kazi kisiasa tuhuma za utekaji ambazo zilikuwa ni kilio cha watanzania wengi akiwemo gwajima

    Baada ya habari za utekaji kufikia mabeberu na watu wengi wakilalamika akiwemo josephat gwajima Jeshi la polisi limeamua kufanya siasa kwenye kushughulika na hili swala badala ya weledi Wanachofanya kwa jicho la kawaida tu ni kiini macho na mbaya zaidi hii script wameshakosea tokea mwanza hata...
Back
Top Bottom