utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dada Cherry Hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa

    Dada #cherry_hollister na mumewe hawajulikani walipo kwa zaidi ya wiki moja sasa. Nyumba yao ilivamiwa na watu waliofunika nyuso zao ambao walivunja geti na kuingia ndani kisha kung'oa CCTV camera. Walitoa taarifa polisi na kupost kwenye kurasa zao za social media kuhusu tukio hioo. Baada ya...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu

    Utekaji na mauwaji ya polisi yatapelekea vita vya sisi kwa sisi machafuko makubwa na hatuvichukulii kama vitisho bali wehu na upumbavu
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ndani ya wiki 2 wameshatekwa watu maarufu 2 "MC Pilipili & Clemence Mwandambo", watanzania ujinga utaisha lini?

    Sasa hivi kutekwa imekuwa kama kombolela tu. MC pilipili kutekwa kapigwa na kuuwawa & Clemence Mwandambo kutekwa Hakujawai kuwa na kauli madhubuti ya mamlaka dhidi ya watekaji, kila siku watu wanatekwa watu wanajifanya kutojali
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kudai haki na Uwajibikaji na Ufisadi, Wizi, na Utekaji, ndo kilipelekea Maadamano tuache Kutafuta mchawi

    Sikuwahi kujua kwamba wauaji, Mafisadi, Watekaji, Wezi wa rasilmali za nchi wana nguvu kiasi hiki? Kwanza ilianza mtu akikosoa serikali...
  5. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Utekaji, Mauaji hatimaye tunaanza kupata wahusika wakuu

    Nimeiangukia taarifa hii nikaidaunilod ingawa haitafutika kiurahisi. Ina maelezo yanayoshawishi kutoa mwanga wa nini kinaendelea ktk nchi. Kwa ufupi kinara ni Kikwete. Hata hivyo humuondoi Samia maana yeye ndo mwenye amri. Ukijumulisha na maelezo ya Balozi Polepole, huwezi kuwaondoa marafiki...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
  7. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: TEC wanapotoa matamko kuhusu utekaji & mauaji awamu ya Samia, kwanini hawakuyatoa wakati wanaongoza marais wasio waislam?

    Vita ya dini inaenda kuwa kubwa sana kutokana na akili ndogo za wanaotumwa kuwashambulia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Katika matamko yote ya TEC, hawajawahi kuitaja au kushambulia dini yoyote, sasa hawa BAKWATA na wengine hawawezi kuzungumza yao bila kuishambulia TEC. Nitarudi na...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  9. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wa Vyombo vya Dola: Utekaji unaoendelea baada ya kiini macho cha uchaguzi siyo afya kwa jamii, mnachochea moto

    Mimi najiuliza hivi ni kweli IGP wambura hana washauli wazuri wakumshauli namna bora ya utendaji kazi wa jeshi la polisi katika kutekeleza majukumu yake zaidi ya haya mambo yanayoendele ya utekaji baada ya kiini macho cha uchaguzi yaliyofanyika october29. ? Hawa viongozi hawajui kama kuendelea...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Nani kamuua mchekeshaji maarufu nchini Tanzania, Emmanuel Mathias, maarufu MC Pilipili pengine ndio swali linalogonga vichwa vya wengi kwa sasa. Nani amehusika kwenye mauaji yake na kwa nini amefikia hatua hiyo. Swali hilo linatokana na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kuthibitisha...
  11. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Kinachonisikitisha hotuba Imeisha lakini hajazungumzia UTEKAJI. Tujiandae kunyakuliwa kama kuku

    Wakuu, Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa. Lakini hola! Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania. Hii nchi imeoza to the core!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji

    Ni Ujinga kufikiri watu wata ridhika kwa maneno! kwa mauaji, wizi wa kura na utekaji Dada huyu amehoji kwanini maridhiano yafanyike, wakati watanzania wameuwawa kinyama, anaendelea kuhoji kwamba hayo maridhiano yatakakuonyesha kwamba waliandamana wanapaswa kuhukumiwa? Aidha amaetaka kuhukumiwa...
  13. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Seneta Cherargei aunga mkono utekaji nyara wa wakenya

    https://m.youtube.com/watch?v=Fb0NXm8zczM Katika hotuba yake amesema, mkiwapata wakenya wafinyeni alafu warudishe tuwamalizie
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla ya Uchaguzi tuhuma za Utekaji na kuua Wapinzani wakati wa Uchaguzi Kuua Waandamanaji. Hana pa kuponea

    Kabla ya Uchaguzi Media zote za Kimataifa zilimsema kwa tuhuma ya kuua, kuteka na kupoteza Wapinzani wake huku wengine akiwafungulia kesi za uongo ili wasishiriki uchaguzi Wakati wa Uchaguzi dunia nzima inazungumzia alivyoua Watanzania zaidi ya 1000 huku akijitangaza kushinda kwa asilimia 98 na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Day 3: Wananchi Bunda wameandamana kupinga utekaji, kudai tume huru n.k

    Huko Bunda? Mkoani Mara; wananchi hawakuwa nyuma.
  16. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Kama unapinga udhalimu wa CCM hapa JF Kuwa makini, Kuna makachero wa utekaji. Usitoe namba yako ya Simu humu

    Habari wana JF. Siku imekucha na makucha yake. Kama ilivyo saivi hali si shwari kabsa, roho za watanganyika zinawindwa kila sehemu, si Kijiji, mnjini wala mitandaoni hali ni mbaya mno. Kwa mantiki hiyo naomba niwape tahadhari hasa wale ambao tunapaza sauti zetu kwa njia ya maandishi na...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna namna Gwajima anawaleta pamoja watu wote wanaothiriwa na huu mfumo wa utekaji

    Wakuu! Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania. Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Huu sasa si utekaji bali uchukuaji kama mtu anavyochukua kuku kwenye banda

    "Nilipoongea nanyi tarehe 24|5|2025 nilipoanza hoja ya utekaji umezidi katika nchi nilitoa takwimu iliyotoka TLS-Tanzania law society ya watu waliokuwa wametekwa au kupotea, wengine kupatikana na wengine kuokotwa wakiwa wamekufa na sasa ni almsot miezi mitano baadaye utekaji umeendelea umekuwa...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Gwajima: Naendelea kukataa utekaji, na kauli zinazotoka ni nyepeusi ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu

    Askofu Gwajima amesema anaendelea kuukata utekaji lakini pia kauli zinazotolewa na mamlaka ni kauli nyepesi sana ukilinganisha na uzito wa uhai wa mtu. Aidha amesema kwamba alivyojamaza kusema kwa kipindi cha miezi 5 alijuwa yataisha lakini ndio matukio ya utekaji yanaendelea kwa kasi sana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Tangu Oktoba 1 hadi 25, wametekwa watu 52

    TAARIFA YA UTEKAJI Chadema tumeendelea kufuatilia kwa karibu matukio mbalimbali ya utekaji wa watu yaliyotokea nchini ndani ya siku ishirini na tano kuanzia tarehe 01 hadi 25 Oktoba 2025. Katika kipindi hiki, jumla ya watu 52 wametekwa, wengi wao ni viongozi na wanachama wa Chadema, pamoja na...
Back
Top Bottom