utawala

  1. S

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Mwinyi ulileta neno "Mheshimiwa" badala ya "ndugu" kwa viongozi na sasa wamekuwa tabaka lenye kujiona wako juu ya Watanzania wengine!

    Zamani enzi za utawala wa Nyerere, kila Mtanzania aliitwa ndugu, pamoja na Nyerere mwenyewe akiwa Raisi wa nchi. Nyerere aliitwa "ndugu raisi" sawa tu na mtu wa mtaani. Hata kwa mtu ambae ulikuwa humfahamu, ukitaka kuuliza kitu tulianza kwa kusema "samahani ndugu, sijui basi la kwenda ferry ni...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania THBUB: Tanzania nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki. "Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
  3. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Ahadi kama hizi Ndio zinakosesha imani kwa Utawala Huu

    Fikiria ahadi kama hii ambayo inahusu usalama wa maisha ya Raia yaliyo potea na hakuna lililo fanyika bali ahadi hewa! Nani atakuwa na imani tena na kiongozi huyo? Wananchi kama WAAJIRI wanapaswa kufanya nini kama sio kukufukuza kazi kwa njia ileile waliyo kuingiza kazini yaani KURA? Au watumie...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Utawala wa Ali Hassan Mwinyi, ameshawahi kutekwa au kuuwawa mtu?

    Jamani sina mengi sana nimemkumbuka Rais wangu Ally Hassan Mwinyi, Mungu amjalie pepo ya filidausi, kweli sisi sote ni mashahidi wake na amani iwe juu yake mpaka siku ya kufufuliwa kwake
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa Hali inayoendelea nashawika kusema 2025 CCM iondoke madarakani au utawala ubadilishwe!

    Nchi yetu tangu 1960 baada ya wakoloni kutuachia nchi yetu kulikuwa na vitu vinaitwa miiko!! Kulikuwa na tamaduni zetu na haki ya watu kuishi kulingana na tamaduni zao!! Seke seke la Wamasai Ngorongoro linasikitisha sana! Hata kama mnagogoro na wao ndio muondoe huduma za afya na madawa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maswali ya afisa utawala yanakuaje?

    Jamani mwenye uelewa wa maswali ya afisa utawala yanakuaje tafadhali?
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kada chikulupi kasaka, mbobezi wa sheria, utawala na diplomasia atwaa fomu ubunge bunge la afrika mashariki

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi Chikulupi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda anatoa wapi kiburi cha kuidharau Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora?

    Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga. Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Athari Za Kuwa Chini Ya Utawala Wa Aina Moja Kwa Muda Mrefu

    Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza: Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Nyerere ndio waasisi wa kuteka watu,hawa wa sasa hivi wanajaribu tu

    Kipindi Nyerere anachukua nchi kulikuwa na sheria ya kuweka watu kizuizini,sikumbuki ilifutwalini. Yaani ni ile hali unachukuliwa ubatupwa selo hakuna kupelekwa mahakamani mpaka waone umekoma au umekufa ndio mwisho wako. Enzi za mwalimu kuna mzee mmoja jirani yetu kule Oysterbay,ilikuja Land...
  11. B

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utumiaji wa teknolojia ya mfumo wa data wazi(open data) kama chombo muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa na kuimarisha utawala bora nchini Tanzania

    "Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 hadi 25" Katika mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora UTANGULIZI Mfumo wa data wazi ni mfumo ambao unaruhusu ufikiaji wa data na taarifa bila vikwazo au vizuizi. Kuna mambo kadhaa yanayowakilisha mfumo wa data wazi kama vile data inapatikana bila malipo au...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 - 25 ijayo katika nyanja ya utawala bora, elimu na afya kwa Watanzania wote

    Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru sana MWENYENZI MUNGU atupaye afya,nguvu,neema na kibali siku hadi siku kwenye majukumu yetu yote. Pili nitumie uwanja huu kulishukuru jukwaa la Jamiiforums kwa namna yao ya pekee sana wanavyoelimisha jamii katika nyanja zote za maisha. Tatu na mwisho...
  13. Eddy the broker

    JamiiForums Tanzania SoC04 Utawala bora, chanzo cha Tanzania tuitakayo kwa miaka 10 ijayo

    TANZANIA ilitajwa kuwa miongoni mwa nchi nzuri duniani na Bara la Afrika kwa ujumla, kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa na tovuti ya money.co.uk kutokana uzuri wa asili wa Taifa hilo lenye vivutio vya aina yake(madini ya kipekee kama Tanzanite, Dhahabu, Almasi), vivutio vya utalii kama vile...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanaotawala katika roho ndiyo hao hao hutawala katika mwili

    Ukitawala katika roho basi utatawala katika mwili. Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work Saving, Bado hazitoibadilisha history yako completely . Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu wa Marekani adai Nchi za Afrika zirudishwe kwenye Utawala wa Kikoloni kwa kushindwa kujisimamia zenyewe

    Erik Prince, afisa wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Marekani na mwanzilishi wa kampuni ya binafsi ya kijeshi ya 'Blackwater', hivi karibuni alitoa maoni yake kwamba nchi za Kiafrika zinapaswa kurudishwa kwenye ukoloni kwa sababu viongozi wake wana ufisadi na ubinafsi. Prince alitoa mtazamo...
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Eng Hersi: Kuna namna timu fulani ilijipa utawala wa nchi, Nitawanyoosha

    Akiwa kwenye mahojiano yanayorushwa kupitia EATV katika kipindi cha Salama na Rais wa Yanga Engineer Hersi, Amesema kuna club ilikuwa imejipa utawala na kujiona wao ni vichwa. Sasa alikuwa kwenye mpango na bado yupo katika mipango ya kuwaonyesha kwamba Yanga ndiyo club kubwa zaidi...
  17. Paspii0

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maboresho ya Tume ya uchaguzi kufikia Tanzania tuitakayo hususani kwenye nyanja ya demokrasia na utawala bora

    UTANGULIZI. 👉Kuboresha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania kunahitaji mabadiliko na maboresho kadhaa ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki, huru, na uwazi. 👉NEC inaweza kuongeza uaminifu na uadilifu katika mchakato wa uchaguzi na kusaidia kujenga demokrasia ya kweli nchini...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Mfahamu mwana zuoni wa kiislamu Gafur Gulam aliyewatetea wayahudi kipindi cha utawala wa NAZI

    Gafur Gulam (au Gafur Ghulam) alikuwa mwandishi maarufu na mshairi kutoka Uzbekistan, ambaye aliandika kwa lugha ya Kiajemi na Kiuigur. Alizaliwa tarehe 10 Mei 1903 na alifariki tarehe 10 Julai 1966. Gafur Gulam ni mmoja wa waandishi maarufu wa karne ya 20 kutoka Asia ya Kati na alichangia sana...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kukosa neno, utawala wa Sheria Migomo Marekani; ni Pigo kwa Chama, na pia kwa Ukombozi!

    1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?! 2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo. 3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
Back
Top Bottom