utawala bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Prof. Lipumba: Rais Samia ajiwekee malengo ya kushinda tuzo za Mo Ibrahim kwa kurejesha Utawala bora na Demokrasia

    Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya demokrasia. Ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini...
  2. L

    JamiiForums Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili masikini na ufisadi

    Utawala bora na nidhamu ya chama cha CPC ni mifano ya kuigwa na Afrika kukabili maskini na ufisadi Kulingana na takwimu za benki ya dunia, mwaka 1960 China ilikuwa maskini kuliko baadhi ya nchi barani Afrika. Kwa mfano mwaka 1960, mgao wa pato la kitaifa kwaChina ulikuwa dola 89 tu, wakati DR...
  3. I

    JamiiForums Utawala bora zama za awamu ya tano upo

    Enzi zile unaenda ofisini kuonana na afisa elimu au mkurugenzi unakuta wabeba mafaili wanakushikiniza uwaambie kwanza unataka kumwambia nini unaetaka kumuona na bila kuwambia hivyo viranja/wabeba faili unapewa jibu kuwa bosi hayupo bila kujali umbali na gharama za nauli, vumbi ulilokunywa na...
  4. L

    JamiiForums Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

    Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Rais Magufuli, wateule wako hawakucheleweshi kwa shughuli za maendeleo tu, wanakuchelewesha pia kuifanya Tanzania nchi ya utawala bora

    Kauli uliyoitoa jana mkuu wa nchi yetu inatia moyo, maana umetambua wazi kuwa wateule wako wengi hawaendani na kasi yako. Mbali na hilo wengi ni wacheza maigizo kwenye luninga ya taiifa yaani TBC wakijifanya wanatekeleza ilani ya CCM. Kama hata wewe mkuu wa nchi umetambua kuwa wateule wako ni...
  6. E

    JamiiForums Nape: CCM itashinda tu uchaguzi mkuu ujao hata kwa goli la mkono

    Habari Jf.. Nape Nnauye Juzi akiwa Mkoani Kanda ya Ziwa aliwaambia CCM Ushindi ni Lazima hata kwa Goli la Mkono ili mradi tu Referee apulize Kipenga. "Goli ni Goli tu Hata Kama ni la Kuotea" Hapa Swali la Kujiuliza Je Referee wa Mechi ya CCM na UKAWA atatuvusha Salama?, Kwa Maana Team zote...
Back
Top Bottom