utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huu Utaratibu wa kuwarudisha watanzania nyumbani ni wa hovyo. Unahitaji marekebisha ili kukidhi malengo ya kweli.

    Katika kipindi hiki ambacho raia wengi wa kigeni wanakumbana na changamoto mbali mbali za kiusalama hapa Kaburu, kutokana na fujo zinazoendelea nchini. Baadhi ya nchi zenye utu, na upendo kwa raia wao zimetuma ndege na mabasi mengi ili kusaidia kuwatoa raia wao wanaotaka kurudi nchini kwao kwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Heche: Halima Mdee si Mwanachama. Akitaka kuwa Mwanachama utaratibu anaujua

    Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche alipoulizwa kuhusu status ya Halima Mdee ndani ya CHADEMA. "Sio mwanachama. Na hawezi kuwa mwanachama bila kufuata utaratibu ambao upo kikatiba, yeye anaujua. Akitaka kuwa mwanachama anajua hatua za...
  3. JamiiForums Tanzania Kamwe usivuruge watu au utaratibu

    Utakapofanya kosa la kuvuruga watu au utaratibu mwisho wake maji utaita mma
  4. JamiiForums Tanzania Nimeenda kukodi ambulance nikaambiwa hakuna utaratibu huo

    Habari wana jukwaa, nina mgonjwa(mama mjamzito) mda wake wa kujifungua umekaribia na ninapokaa kuna umbali kidogo mpaka hospitali kwa hofu ya kuhofia asije akapata uchungu usiku ikanibidi niende hospitali ya Vijibweni(Kigamboni) kwenda kuongea nao walau niweze kukodisha ambulance ili mda ukifika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Tukijenga Utaratibu wa kuwa wakweli, Tukijenga utaratibu wa kutoa mawazo yetu kwa nia njema, tutajenga Nchi kwa kiwango kikubwa sana

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki mazishi ya Marehemu Boniface Makene, aliyewahi kuwa Mwandishi wa Habari wa Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mohamed Gharib Bilal, yaliyofanyika katika Kijiji cha Mabui...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Utaratibu wa abiria kupanda Magari ya Mwendokasi kituo cha Ilala-Boma sio mzuri unahatarisha usalama wa abiria

    Katika kituo cha Ilala-Iboma amabacho ndo cha mwisho kwa 'Route' ya Mbagala-Ilala BOma kumekuwa hakuna utararibu mzur wa kuwapanga abiria kwenye foleni ili kusubiri kupannda magari, hali hiyo imekuwa ukisababisha vurugu wakati wa kupanda kwani kila abiria anataka kuwahi kukakaa kwenye siti hii...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu gani wa kufungua biashara ndogo-ndogo chini ya 5M?

    Ndugu zangu habarini za wakati huu. Naomba mwenye kujua taratibu za kufungua biashara yoyote ndogo-ndogo anifahamishe hataua kwa hafua kwa mjibu wa sheria.
  9. JamiiForums Tanzania Ni utaratibu gani wa kufuata ili kuanzisha nchi?

    Nimepata wazo la kijasiliamali la kuanzisha nchi eneo na watu nipo nao ni mimi tu kupata kibali cha kusajili na kupata seat UN ili nianzishe sarafu yangu na mambo mengine ya kiserikali Naombeni muongozo kwa anaejua nianzie wapi ili kuisajili nchi yangu itambulike kisheria Nawasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Malezi magumu ya utotoni ndiyo yaliyonijenga kuwa mtu wa kanuni na utaratibu mpaka leo

    Mimi ni Mchaga kwa asili, japo nilizaliwa Same na kukulia kijiji cha Same. Nimekulia kwenye familia ya kawaida sana ya wakulima na wafugaji. Utoto wangu haukuwa wa anasa wala uhuru mkubwa kama watoto wengi wa sasa. Maisha yetu yalijengwa kwenye kanuni, utaratibu na nidhamu kali sana. Mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani?

    Nini kimeondoa utaratibu wa wageni kuja nyumbani ?
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  13. JamiiForums Tanzania Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani. Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Je, unaujua utaratibu wa kupata cheti mbadala kwa waliopoteza vyeti?

    Sikiliza Maelezo kutoka kwa kamishina Kutoka necta mda akiulizwa swali na Naibu waziri wa Elimu Wanu Hafidh Mara baada ya kutembelea Necta Soma: PostGE2025 - Waziri Mkenda na Wanu, wasisitiza kuendeleza mageuzi sekta ya elimu
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa vijana weka utaratibu maalum ulio wazi wa kusajili vijana platform online kila mkoa Ili kuepuka kujaza UVCCM tu ambao ndio wanakupokea

    Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha, Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
  16. JamiiForums Tanzania Utaratibu mgumu ni walio nje ya mfumo tuu

    Huko TRA,TANESCO na ofisi nyingne za serikali utaratibu unatakiwa ufuatwe na maskini tuu au walio nnje ya mfumo. Walio ndani ya mfumo ni meseji tuu isiozidi maneno 10 MAMBO YANANYOOSHWA KAMA MHUSIKA ANAVYOTAKA.
  17. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa PSO Mahabusu na Wafungwa watakula Chakula Gerezani

    Wadau naona wengi mna hamaki kusiana na suala la mtu kunyimwa chakula, Utaratibu wa Prison Service Order (PSO) ni kwamba mfungwa au mahabusu atakula chakula gerezani. Gerezani kwa mujibu wa sheria za kimataifa panajulikana kama sehemu salama. Akipewa chakula popote wapo wanaompenda na...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  19. JamiiForums Tanzania Nifahamisheni utaratibu wa kukokotoa mshahara wa mfanyakazi kwa siku

    Habari wakuu. Utaratibu rasmi wa kukokotoa mshahara kwa siku ni upi? Kuna mvutano umetokea sehemu na jibu likakosekana. Kwenye sheria za kazi kuna kifungu kinachozjngumzia idadi ya siku ambazo mfanyakazi anapaswa kufanya kazi kwa mwezi?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mishahara upoje iwapo kama mwajiriwa akiajiriwa na serikali tarehe za mwisho wa mwezi?

    Habarini wanajukwa? Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…