tangu kuanza kwa ligi klabu ya Yanga imekuwa ikipata matokeo kipindi cha pili. wasipobadilika itawacost siku moja hasa katika mashindano ya CAF coz timu zijazo sio za kitoto.
Nimejaribu kufikiria hivyo, baada ya kuona picha za wanajeshi walio-uwawa huko kwenye vita ya Ukraine na Urusi.
Naona vijana wameangamia, huku wakiwa wameacha tegemezi, watoto, wake n.k; huku wanaofanya maamuzi wakiwa ofisini wakipulizwa viyoyozi.
Inawezekana, wakuu? Uhai kwanza, mengine baadaye.
Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani imekufa hiyo taasisi.
Lengo juu ya huu uzi ni kuwa endapo kijana anapokuwa na wazo ambapo ataona...
Wanabodi,
Jamani, Jamani, jamani, tupieni jicho maelezo yaliyopo kwenye katiba yetu (ibara ya 99 na 138) kufahamu utaratibu ambao unatakiwa kufuatwa kabla ya kutoza ushuru wowote, kodi au tozo.
Mgogoro wa Ardhi.
Jamaa amepewa ushindi mahakama kuu, awali nilishinda kesi mahakama ya Ardhi. Yeye alikimbilia high court, akapewa ushindi. Hapa natakiwa nifanyeje.
Msaada wa utaratibu. Ninahofia atakuja kubomoa nyumba yangu
Na WyEST,
DAR ES SALAAM
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Septemba 5, 2022 ameitambulisha rasmi kwa Bodi na Menejimenti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) timu itakayofanya mapitio ya utaratibu wa utoaji mikopo kwa miaka mitano...
Katika mishahara ya watumishi wa umma, kuna makato ya lazima ambayo ni PAYE, Bima ya Afya, Makato ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii na makato mengine ya kujiunga kwa hiari kama ya vyama vya wafanyakazi, nk.
Nachojiuliza, ni sahihi mshahara unapopanda na makato haya kupanda automatically?
kwa maneno...
KUPIGA MSWAKI, SAYANSI NA UTARATIBU? AU SHAGHALABAGHALA ALIMRADI MENO YAWE SAFI?
Wote tunaweza kukubaliana kuwa kupiga mswaki ni kati ya zoezi rahisi sana kufanya mithili ya kunywa maji au uji, lakini licha ya zoezi hili kuwa rahisi bado magonjwa ya kuoza kwa meno na magonjwa ya fizi yamekua...
Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa.
-
Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
Habari wana jamvi,
Jana nimesikia kuwa JKT wanapokea vijana wakujitolea sasa nina kijana naka aende huko.
Je, utaratibu ukoje kwa mwenye taarifa kamili naomba tafadhdli.
Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking.
Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta unaotutenganisha. Hii sheria inatokea wapi?
Ningependa kuwa na uhakiki wa reference kama kuna member anafahamu. Pia...
Ni hivyo tuu, huu utaratibu urudishwe haraka. Sababu iko wazi, makato mapya ya kutoa na kuweka pesa bank hayavumiliki hata kidogo na yanamnyonya mfanyakazi directly sababu hajapewa option(s), yaani automatically anafosiwa kukatwa sababu hakuna njia ya kuuchukua huo mshahara bila kukatwa...
Habariii!
Utafata utaratibu gani endapo umemaliza chuo, cheti hujapata unapata sehemu za kufanya kazi lakini kinaitajika hicho cheti ambacho hakijatoka.
Hivi professional results uwa zinaruhusiwa kuombea kazi instead of cheti?
Wana ndugu naombeni kujua utaratibu wa kuanzisha Mnada. Nina mpango wa kufanya mchakato wa kuanzisha mnada mtaani kwetu (kwenye kata yetu) sababu hatuna utaratibu huo kwa sasa
1. Ningependa kujua utaratibu upoje katika kuanzisha, kwenye ngazi ya serikali
2. Ni nani wanaisimamia au wahusika...
Nasikia hata Tanzania utaratibu wa vitambulisho vya taifa haueleweki kwa sasa kuna watu wanapewa namba lakini card hazitoki. Kwa dispora hatujui utaratibu ukoje ! Najiuliza kwanini balozi waweze kufanya passport lakini washidwe vitambulisho vya taifa?
Kama kuna mtu anajua utaratibu naomba...
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (Mb), amekabidhi hati nne za milki ya ardhi kwa hospitali ya Kibong’oto mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mpango wakati wa uzinduzi wa maabara ya jamii hospitalini hapo. Mpango wa matumizi ya...
Mali imesitisha utaratibu wa Umoja wa Mataifa (UN) kupitia mpango wa amani wa MINUSMA kwa sababu za kisualama.
Hatua hiyo imefikiwa hadi makubaliano mengine yatakapofanyika japo haijawekwa wazi itakuwa lini, tamko ambalo limetolewa na Wizara ya Nje ya Mali.
Tamko hilo limetolewa siku nne tangu...
Habari ndugu zangu wa humu hjamiiforums, nina ndugu yangu wa kiume kamaliza degree ana ameingia miaka 23 mwezi huu,
Kwa sasa yeye anachotaka ni kuwa refa ila hana a,b,c,d za kazi zikoje.
Ningependa mnijuze haya..
- Ni sifa zipi zinatakiwa awe na sifa za kuwa refa,
- Ataanzia wapi na atatumia...
Kundi la Nchi Saba (G7)na Jumuiya ya Mkataba wa Atlantiki ya Kaskazini (NATO) hivi karibuni kwa nyakati tofauti vitafanya mikutano ya kilele. Nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani zinachukulia makundi hayo mawili kama majukwaa ya kupinga nchi nyingine, kitendo kinachokwenda kinyume na...