Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali
Nahitaji kuwa na nini na nini maana mwanamke ninaye. Lengo kuu ni kutaka kufanya mambo mengine nikiwa na huyu mwanamke maana Kuna vitu nashindwa kumkamilishia mpaka awe ndani ya ndoa ya serikali.
Na njia gani naweza kutumia Ili nifanikishe...
Nawasalimu wote
Nipo Ndani ya Taasisi Binafsi Iliyopo katika moja ya Mikoa ya Kusini mwa Tanzania
Tunataka kuanzisha Powerfull Jogging club katika eneo tulilopo na ilipo Taasisi yetu
Nataka Kufahamu Utaratibu Upoje kuanzia Kuisajili na Process zote mpka tutakapo pewa Ruhusa ya Kuanza as...
Habari wanajamii wenzangu,
Baada ya salamu niwapeleke moja kwa moja kwenye hoja
Kuna hili swala ya kuthibitisha vyeti kwa kutiwa muhuri wa mwanasheria, vyeti hivyo ni kama;
(cheti cha kuzaliwa na vyeti vya elimu katika ngazi mbalimbali utakazo kuwa umepitia kama astashahada, stashahada...
Naona Kuna south Africa, Wana promoted tweets nyingi kweli, nadhani Kuna namna wanalipia, Kila ukifungua mtandao, lazima ukutane na tangazo lao la utalii.
Nadhani wizara ilione hili ili kuvutia watalii na uwekezaji
Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono .
Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani.
Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono .
Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
Tangu mapema mwaka 2020 wakati ugonjwa wa COVID-19 ulipolipuka na kushuhudia watu wengi wakiathirika duniani, juhudi mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kuhakikisha ugonjwa huu unadhibitiwa ama kutokomezwa kabisa. Juhudi hizo ni pamoja na kila nchi kuweka kanuni na zuio la aina mbalimbali, na...
Hawa diplomasia ambao hawajui chochote kuhusu mambo ya Fedha kuwapa majukumu ya kujua kila kitu kuhusu pesa na budget zao ni tatizo. Hiyo ingetakiwa kuwa kazi ya watu wengine na inawezekana kabisa serikali ingetoa kazi hii kwa chombo kimoja badala ya kuwapa kazi ambazo hawaziwezi. Yaani kuwa...
Heri ya mwaka mpya 2023.
Moja kwa moja kwenye mada
Mwaka jana 2022, kama majobless wengine niliendelea kuhudhuria interview mbalimbali za utumishi na sehemu nyingine nyingi sana. Kitu nilichoona naona majobless wanaongezeka sana sio kama zamani nilivyokuwa nikiwaona. Yaani naona makutano na...
Hapa naongelea kivutio cha NGorongoro
Naona kuna usumbufu usio wa lazima ambao unaweza kupatiwa ufumbuzi kama mamlaka wataamua kufuata ushauri wa wadau wanao waletea wageni
1. Mgeni akibadilisha tarehe ya kuingia Ngorongoro hata kwa siku moja, kwa sababu zozote zile
Haruhusiwi kuingia hadi...
Kuna hoja kuwa shirikisho la soka la Amerika ya Kusini (CONMEBOL) waliandaa michuano ya Copa America mara nne katika kipindi cha miaka sita kinyume na utaratibu ili tu mchezaji fulani aweze kushinda kombe akiwa na timu yake ya taifa.
Kwakawaida, Copa America huwa inafanyika kila baada ya miaka...
Ripoti iliyotolewa wiki hii na kituo cha Yuyuantantian, kinachomilikiwa na shirika kuu la Habari la China (CMG) inaonyesha kuwa Mwitikio wa China wa miaka mitatu wa COVID-19 ni endelevu, wa kimfumo na unaendana na nyakati na pia umeokoa maisha ya watu.
Pamoja na hatua za kuzuia na kudhibiti...
Ndugu zangu Nipo Dar es Salaam,
Nataka kufahamu utaratibu wa upatikanaji wa Kibali cha Muda cha kuingia Kenya najua njia za shortcut zipo ila mimI sitaki hizo nataka kufahamu utaratibu wakupata official temporally Permit ya kuingia Kenya.
Ofisi ziko wapi na kuna malipo au la, na nahitqjika...
Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote.
Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
Kumekuwa na tabia ya kampuni nyingi za simu kuingia ubia na baadhi kampuni ambazo wamekuwa wanatuma meseji taka mbalimbali mara kubeti, bahati nasibu, n.k. kwenda kwenye namba za wateje bila ridhaa ya wateja wenyewe.
Nasema ni kero kwakuwa, unaweza ukakuta kwenye simu yako msg kama 10...
Darasa la buree wafanya biashara wenzangu.
Utaratibu na vitu vinavyo hitajika.
1. Inatakiwa kuwa na tin namba na leseni ya biashara kutoka tra.
2.Inatakiwa uwe na leseni ndogo ya kusafirisha dagaa ndani ya tanzania.
3. Inataki kuwa na kibari ya kusafisha mzigo wa dagaa kutoka wizara ya mali...
TANESCO
Hivi kama nimelipa laki 5 au 7 na ushee bado afisa anahitaji nimpe pesa ili aje kuniunganisha na huduma ninaweza tumia mbinu gani kuipata haki hii ya msingi?
Kiukweli hili linachosha sana. Kuna muda unawaza umtege mtu kwa kumpa hela ya moto lakini unamuonea huruma atapoteza kibarua...
Habari wadau,
Nina maswali haya kuhusu usajili huu:
1. Ni idadi gani ya wachezaji inaruhusiwa kusajili kupitia dirisha dogo?
2. Wachezaji wa kimataifa watakaosajiliwa kupitia usajili huu, wataruhusiwa kucheza katika ligi za ndani?
3. Inawezekana kununua mchezaji ambaye bado ana mkataba na...
Hello wana JF,
Iatia hasira sana, tangu ni nunue his hiyo bank mwaka 2015 kwa tshs 500 mpaka leo haijawahi panda na zaidi inashuka leo hii ths 380 kwa hisa.
Naona hii bank itakuja ishia na pesa za watu. Kama wameshindwa kuiendesha basi bora ifungwe. Ninachoona kuna wajanja wanakula pesa...
Ili kuvutia ufungaji wa magoli mengi kwenye soka na kuongeza burudani, basi FIFA waanzishe utaratibu pale ambapo timu moja itafanikiwa kufunga zaidi ya magoli matatu bila basi waongezewe pointi moja zaidi.
Kwamba iwapo timu itafunga bao tatu bila Mpinzani kufunga goli basi badala ya point tatu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.