utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

    Habari za humu! Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha. Nimeishi Kusini yaani...
  2. JamiiForums Tanzania Msisafishe masikio kwa kutumia pamba, sikio lina utaratibu wa kujisafisha lenyewe

    Dkt. Jane Bazilio ambaye ni Daktari Bingwa wa Pua, Koo na Masikio kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi anaelezea kuhusu afya ya sikio. Anasema "Watu wengi wamekuwa na matatizo ya kupata fangasi kwenye masikio, natoa wito kwa Wananchi kuwa wakati wa kuoga wasiingize maji kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuwa na mtoto bila mama yake

    Wagwan, Chap kwenye point, Ni hivi nimekaa nikajitafakari na aina ya maisha ninayohitaji kuja kuyaishi maana sijioni kabisa nikija kuishi na mwanamke nyumba moja. Though kwa sasa muda unaruhusu bado nataka niweke kwenye mipango yangu ya baadae maana kuoa sio choice yangu kabisa kuja kuishi...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa

    Je, ni utaratibu upi mwanafunzi anapaswa kuufuata akichelewa kusaini fedha za kujikimu? na fedha hizo zinaweza kurudishwa.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu

    Habari, Ningependa kufahamu juu ya utaratibu ambao mwanafunzi anapaswa kufuata akichelewa kusaini fedha ya kujikimu na je fedha hizo zinaweza kurudi?
  6. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuingia stendi ya Magufuli kwa Kadi walalamikiwa kuchelewesha abiria

    Zikiwa zimepita siku mbili tangu tangu Manispaa ya Ubungo, ianze utaratibu mpya wa kuingia na kadi katika stendi ya mabasi ya Magufuli, mfumo huo umelalamikiwa kuchelewesha abiria, huku baadhi ya madereva nao wakilalamikia ucheleweshaji wa safari zao. Hatua ya matumizi ya N- Card yalianza...
  7. JamiiForums Tanzania Utaratibu mbaya wa Kulala unachangia kwa 33% madhara ya Afya ya Moyo

    Jarida la Journal of the American Heart Association limechapisha Utafiti unaoonesha Watu wenye miaka kuanzia 30 wasio na ratiba nzuri ya Kulala au Kupumzika Usiku, wanakuwa kwenye hatari mara 1.4 zaidi ya kupata matatizo ya Moyo. Utafiti umeonesha zaidi ya 80% ya Matatizo ya Moyo ikiwemo...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu utaratibu wa kutumia kadi ya kieletroniki Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli

    Tangu jana tarehe 20 Februari 2023 serikali imeweka utartibu mpya kwenye kituo cha mabasi cha Kimataifa cha Magufuli Bus Terminal pale Mbezi; ambao kimantiki ni utaratibu mujarabu unaoleta tija kwa jamii. Utaratibu wa kutumia kadi ya kieletronic ya N-Card kwa wananchi wanaoingia ndani. Mantiki...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda kwenye kaburi kule Chato tarehe 17 March. Naombeni utaratibu

    Nataka kwenda kulishughulikia lile kaburi. Nitalishughulikiaje? Naomba ibakie siri yangu tu. Lakini mpende msipende tarehe 17 nitakuwa huko kulishughulikia Ili iwe funzo kwa viongozi mliopo madarakani kuwatendea mema wananchi kama afanyavyo mama. Mama wa watu kaombwa 1. Katiba ... Kakubali 2...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
  11. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipwa fidia ya ardhi na Serikali upo vipi?

    Nimerudi nyumbani Iringa kusalimia mwezi uliopita sasa kuna ndugu yangu alinunuaga shamba maeneo ya Tagamenda Iringa Mjini miaka mitatu iliyopita muda mfupi Serikali walilihitaji hilo eneo kwaajili yakufunga mitambo ya kufua umeme wananchi walijenga eneo hilo na kununua mashamba walihaidiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hoja za Kihiyo uamuzi wa NECTA kuachana na utaratibu wa kutangaza top 10 na mwanafunzi bora

    Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
  13. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Hoja za NECTA kufuta utaratibu wa kutangaza shule bora na wanafunzi bora hazina mantiki kwa 100%

    Siku ya leo, Baraza la Taifa la Mitihani Nchini Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kufuta utaratibu wa muda mrefu wa kutoa orodha na mtiririko wa ubora wa shule kulingana na kiwango cha ufaulu na pia limefuta utaratibu wa kutangaza wanafunzi bora wa mitihani hiyo. NECTA...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali

    Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya Kiserikali Nahitaji kuwa na nini na nini maana mwanamke ninaye. Lengo kuu ni kutaka kufanya mambo mengine nikiwa na huyu mwanamke maana Kuna vitu nashindwa kumkamilishia mpaka awe ndani ya ndoa ya serikali. Na njia gani naweza kutumia Ili nifanikishe...
  15. JamiiForums Tanzania Nataka Kusajili Jogging Club. Utaratibu Upoje?

    Nawasalimu wote Nipo Ndani ya Taasisi Binafsi Iliyopo katika moja ya Mikoa ya Kusini mwa Tanzania Tunataka kuanzisha Powerfull Jogging club katika eneo tulilopo na ilipo Taasisi yetu Nataka Kufahamu Utaratibu Upoje kuanzia Kuisajili na Process zote mpka tutakapo pewa Ruhusa ya Kuanza as...
  16. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuthibitisha vyeti

    Habari wanajamii wenzangu, Baada ya salamu niwapeleke moja kwa moja kwenye hoja Kuna hili swala ya kuthibitisha vyeti kwa kutiwa muhuri wa mwanasheria, vyeti hivyo ni kama; (cheti cha kuzaliwa na vyeti vya elimu katika ngazi mbalimbali utakazo kuwa umepitia kama astashahada, stashahada...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka za utalii zije na utaratibu wa kulipia matangazo Instagram/Twitter/Facebook/tiktok

    Naona Kuna south Africa, Wana promoted tweets nyingi kweli, nadhani Kuna namna wanalipia, Kila ukifungua mtandao, lazima ukutane na tangazo lao la utalii. Nadhani wizara ilione hili ili kuvutia watalii na uwekezaji
  18. JamiiForums Tanzania Kila Mtu aliyekwama Maisha analaani Ngono je serikali kwanini isiweke utaratibu wa kuwaokoa vijana?

    Chanzo cha umasikini na kuishi Maisha ambayo hayana Future yapo Katika , Ngono . Inaonekana nchi masikini Kama TANZANIA ukiendekeza ngono Basi Mafanikio utaendelea kuyasikia nchi jirani. Basi naomba Elimu kubwa ielekezwe kwa vijana athari za ngono . Hawa single mothers jinsi wanavyogawa...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa maisha waanza kurejea kama kawaida baada ya China kulegeza sera za maambukizi sifuri ya COVID-19

    Tangu mapema mwaka 2020 wakati ugonjwa wa COVID-19 ulipolipuka na kushuhudia watu wengi wakiathirika duniani, juhudi mbalimbali zimekuwa zikichukuliwa ili kuhakikisha ugonjwa huu unadhibitiwa ama kutokomezwa kabisa. Juhudi hizo ni pamoja na kila nchi kuweka kanuni na zuio la aina mbalimbali, na...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tuweke utaratibu mzuri, wanadiplomasia wetu siyo Wahasibu/CPA's!

    Hawa diplomasia ambao hawajui chochote kuhusu mambo ya Fedha kuwapa majukumu ya kujua kila kitu kuhusu pesa na budget zao ni tatizo. Hiyo ingetakiwa kuwa kazi ya watu wengine na inawezekana kabisa serikali ingetoa kazi hii kwa chombo kimoja badala ya kuwapa kazi ambazo hawaziwezi. Yaani kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…