utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Bodi ya Mikopo (HESLB) unatia shaka

    Utaratibu wanaotumia bodi ya mikopo ya wanafunzi HESLB inaleta maswali mengi sana katika jamii. Utaratibu wa kusema kila mwanafunzi aangalie kwenye akaunti yake inaleta kigugumizi kidogo. Kwa nini wasitumie utaratibu kama vifanyavyo Vyuo wa kutoa orodha ya majina yote ya waliofanikiwa kupata...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyo ndoa za kiserikali, sasa ni muda serikali ije na utaratibu wa Mazishi ya Kiserikali

    Hizi ni dini za mchongo zilizojaa unafiki na utapeli, zimekuwa zikimantain wafuasi wake kwa kuwajengea hofu ya kutokuswaliwa pindi watakapokufa. Tumeona hili limekuwa likileta sitofahamu kubwa sana kwenye jamii pale ambapo kiongozi wa dini kwa makusudi kabisa anakataa kumfanya ibada ya msiba...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

    - Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem? - Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
  4. JamiiForums Tanzania Je, huyu mrithi amepigwa au utaratibu ndio upo hivi?

    Habari za wakati huu wakuu? Nimekuja kwenu naomba muongozo juu ya hili jambo. Rafiki yangu alifiwa na Mama yake mwaka jana mwezi wa nne, mama yake alikuwa ni mtumishi wa serikali na alikuwa amebakiza miezi michache kustaafu. Kimsingi huyu binti wa marehemu kwao alizaliwa peke yake na Baba yake...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kufungua kituo cha mafuta ukoje?

    Moja moja niende kwenye mada, naomba kuuliza utaratibu wa kufungua sheli ukoje? Nahitaji vibali kutoka taasisi ipi na ipi? Na je inaruhusiwa kufungua sheli katikati ya makazi ya watu? Nauliza hivi kwasababu kuna sheli nimeiona njia ya kuelekea chuo kikuu UDSM kule Ubungo Msewe ipo katikati...
  6. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo(HESLB) kwanini mnawakata Watumishi wapya tofauti na utaratibu?

    Wakuu habari za wakati, Iko hivi, kipindi cha maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwenye mkataba ulisema kuwa HESLB wataanza kumkata mkopaji baada ya miezi 24 toka tarehe ya kuhitimu kwake mafunzo, iwe ameajiriwa ama amejiajiri. Sasa kinachoshangaza HESLB wameanza kukata pesa kwa vijana...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

    Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi. Sasa tuizungumzie "mahari" 1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari...
  8. JamiiForums Tanzania Bonusbet Kwa Utaratibu Huu Hamtopata Wale wa Kujilipua

    Za weekend Wakuu, Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bonus bet. Nliona wamekuja vizur na offer zao za ku deposit plus odds unaweza kujiongezea kidogo. Ila Sasa tabu yao Ukitaka ku deposit stake Maximum ni TZS 10,000,000/- Lakini ikitokea stake hiyo ukala labda odds 2 ukitaka ku...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mbona Rais Samia kabadilika hivi!? Baadhi ya Mambo yaliyonichanganya sana kwenye hotuba yake leo!

    Leo nimemsikia mwenyekiti akisisitiza kwamba watu waelimishwe kwanza kuhusu katiba ndipo tuzungumzie katiba mpya. Kisha akasema mchakato wa katiba sio wa wanasiasa kana kwamba hata yeye haumuhusu maana na yeye ni mwanasiasa. Kama ni hivyo basi katiba hii iliyopo haina sifa kabisa kutuongoza Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Naviomba Vyuo Vikuu vya Tanzania vije na huu Utaratibu kwa Members wa JamiiForums

    Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania. Mfano...
  11. JamiiForums Tanzania Kufananisha Utaratibu wa Majeshi ya nchi zingine na wa Tanzania ni Upumbavu usiovumilika

    Sasa kama mnalisifia na mnalipenda Jeshi la Marekani kwa Utaratibu wake wa hasa Uniforms (Sare ) zao na Uvaaji wa Raia wa hizo Sare zao na Uzuri wa nchi yoo kwanini hasa hamhamii huko mkaishi na badala yake Sote tu tuko hapa hapa Dar es Salaam Tanzania tunasaka zetu Nyoka tu ili Kupambana na...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga tayari mechi na El Merreck comfirmed itachezwa, Kigali Rwanda, uongozi utowe utaratibu wa safari sasa, Simba pia mnahusika

    Ni aibu kwa Watanzania mechi kama Simba na Power Dyanamos na Yanga na El Merreck zote zinapigwa kwenye nchi Jirani border to border kama viongozi wanashindwa kuwaandaa mashabiki wa timu hizi kuhudhuria kwa wengi mechi hizo kwa kuwawekea utaratibu rafiki badala ya kuwageuza fursa ili kuwapiga...
  13. JamiiForums Tanzania Wanao wa 'La Watu Nchini' wanalalamika kukatwa 'Mawokoto' yao ya July - August bila Utaratibu na Kujulishwa

    Ngoja GENTAMYCINE niendelee kukagua Nguo zangu Makabatini kama kuna ambazo zinafanana nao, ili Hasira zao za Kupunjwa kwa 'Mawokoto' yao Kiholela zisije Kuniangukia na nikajuta Karibuni Ukumbini Kwao MZIZIMA SERVICE PARK Cow Way ili tutizame Mpira pamoja katika Screen yao Kubwa ya Tambara Kuu...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kumiliki ndege ndogo Tanzania ukoje?

    Ninamaanisha dege ndogo ya kawaida (aeroplane) yenye uwezo wa kubeba abiria watatu na helikopta yenye uwezo wa kubeba abiria watatu. Naomba kufahamishwa: A. Bei yake ikijumuisha gharama za ununuzi, usafirishaji na usajili B. Makadirio ya gharama za kuihudumuia kwa mwezi. Wastani wa safari...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ikikosea (grammatical errors) kwenye barua za kizungu zinazokwenda kwa umma; utaratibu wakuifuta mitandaoni ni upi?

    Endapo ikatokea serikali imetoa barua na kuirusha mkutanoni lakini ikabainika ina tatizo la kiufundi kwamba mwandishi alikosea lugha ni hatua zipi ufuatwa kuiondoa mtandaoni na kuweka barua iliyo sahihi? Lazima iandikwe barua ya kuifuta? Au ndio zile zinaandikwaga puuzeni ujumbe huu? Je , ni...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Ulaya kuna utaratibu wa kuulizwa jina la balozi wa mtaa/mtendaji kata, diwani au mbunge ili kuthibitisha kama ni mkazi wa sehemu husika?

    Nikiwa narudi zangu ghetto imebidi nipite shortcut bahati mbaya nimekosea njia nakujikuta napita njia ya kwenda uhani kwa mtu sio mzuri kwenye vichochoro vya mjini sasa wahusika wakaanza kuwa na mashaka na mimi. Wakaniweka mtu kati nakuanza kuniuliza maswali with confidence nikawaelezea kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania SI KWELI NHIF yarejesha utaratibu wa kusajili watoto kupitia Mpango wa Toto Afya Kadi

    Kumekuwepo na taarifa inayosambaa mtandaoni ikionesha kuwa mfuko wa Taifa wa bima ya Afya (NHIF) umerejesha mpango wa kusajili watoto kupitia kifurushi cha Toto Afya Kadi. Taarifa hii ina ukweli kiasi gani maana naona kuna mvutano mkubwa, baadhi wanadai ni kweli na wengine wanasema si kweli.
  18. JamiiForums Tanzania Je serikali imebadili nembo ya taifa kimyakimya bila kufuata utaratibu wa Kikatiba na kisheria?

    Na Yericko Nyerere Rais wetu Samia anatumia hii nembo ya taifa gani katika nchi ya TANZANIA? Je watu wanaelewa kweli hatari ya jambo hili? Nani katwaa Urais wa Rais Samia? Tunamtaka aliye twaa Urais wa Samia aurejeshe haraka sana! Kwamjibu wa Sheria ya Nembo ya Taifa ya Mwaka 1971 na Katiba...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa DP World una nia nzuri lakini haukufuata utaratibu

    Nia ya mkataba wa DP WORLD ulikuwa na nia njema ya kuiongezea Tanzania mapato makubwa na baadae kuwekeza fedha hizi katika miradi ya maendeleo lakini kwa nia njema kabisa utaratibu haukufuatwa. Kutokana na mapungufu hayo nashauri mkataba huu UFUTWE MARA MOJA na tuanze upya kutafuta wawekezaji...
  20. JamiiForums Tanzania Tusipoweka utaratibu wa kuwawajibisha wanasiasa tumekwisha

    Kusema kweli maamuzi wa Rais Magufuli kuvunja mikataba tuliyoingia b yanatugharimu sana kama Taifa. Na yatatugharimu sana kama Taifa. Hizi kesi tunazoshtakiwa na sasa tunalipa mabilioni zinatuumiza sana na itachukua muda mrefu sana kama Taifa kuanza kuaminiwa. Mbaya zaidi zinatufedheesha sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…