Naviomba Vyuo Vikuu vya Tanzania vije na huu Utaratibu kwa Members wa JamiiForums

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania.

Mfano hivi GENTAMYCINE ambaye hapa JamiiForums tu ana Utajiri wa Followers 166 na Mabandiko yake yanasomwa na Mheshimiwa Rais Samia, Wakuu wa Vitengo Nyeti nchini, Wanataaluma, Viongozi mbalimbali, Mabalozi kama Dk. Wilbroad Slaa ambaye alinifagilia TBC1 kuwa I'm his Fan, Wanamichezo, Wanahabari, Vijana, Wasanii, Wachezaji wa Mpira akina Jonas Mkude na Said Ndemla niliyewafundisha Mpira / Fabo / Ndiki Mwenyewe, 75% ya Watu wa TISS na 60% ya Watu wa JWTZ ( hasa CMI ), Makomandoo wakiongozwa na akina Walter na Mhaiki kule 92KJ Sanga Sanga Morogoro, Mademu Warembo JamiiForums, Watu wa Kawaida ila wenye Upeo na bila kuwasahau Mapopoma wakiongozwa na ngeti hivi nikitunukiwa na Moja ya Chuo Kikuu Udaktari wa Falsafa ( PhD ) au Uprofesa ( ambao ndiyo nauona ni Hadhi yangu ) kuna / kutakuwa na Kosa?

Nimejitolea tu Mfano ila naamini wako JamiiForums Members Wengi hapa wenye Michango mikubwa ya Kiuwasilishaji ambao nadhani Uongozi wa JamiiForums na Vyuo Vikuu husika vingekaa na kuangalia namna ya Kuwatunuku ili Kuwaheshimisha pamoja na kwamba tunatumia anonymous identities hapa.

Ni Ombi tu na Maamuzi ni Kwenu Ok?
 
Ungewajuwa walivyo na roho Mbaya wala usingeangaika kuwashauri hili.

Watu wanasotea degree zao chuoni na wanawadisco refer to law school ndio sembuse JF?

Hizo Honorary Causa ni kwa ajili ya wanasiasa tu wakubwa hasa Marais.

Kile Chuo chako cha SAUT madaktari tayari wapo kazini wanataka kuwapora degree zao, hawa ndio wakupe Honorary Causa JF? Sahau.
 
Hapa tukikujibu kibabe unaanza kutukana. Watakuheshimishaje tena hapo bwana popoma?
Mbona max hua wanamheshimisha?
We tuendelee kupambana tu humu majukwaani na ka digrii kako ka SAUT, hayo mengine wachana nayo.
 
Bakhressa pale buguruni vibarua anawalipa Elfu 3-4 huyo bado hana mchango. Chanya wakulikomboa taifa
Siamini kama hili ni la kweli, huyo Mohammed tu mzushi lakini vibarua wanaliopwa 7000 per day.

Halafu hapo buguruni Bakhressa mwenyewe hata security wa mlangoni hawamjui, kuna siku alikwenda hapo akazuiwa getini gari yake isiingie.
 
I was been there kibarua anakula 3-4 per day baada ya Kazi ngumu ya kubeba viroba vya ngano na pumba honestly huyo Bakhressa bado Sana , ukija kwa huyo MO dereva wa roli anampa 100k per month .

Nadhani PhD hawastahili kuipata.
 
Tatizo ambalo naliona kwa matajili wakubwa haya makampuni yao wao hawashuki chini wanapokea report tu.

Bakhressa ni mwislamu safi unaweza kukuta hajui hiki kinachoendelea asingekubali watu walipwe hivi kama ni, lakini Bakhressa hajui kinachoendelea.

Huyo Mo siwezi kumuongelea Wahindi ni washenzi tu.
 
Mtajiri Wa Tz kufanya Kazi kwao Bora ujiajiri , once nenda buguruni uone Bakhressa anachofanya it is hell hata hao ambao kawapa mkataba wanakula wana kula 12k per day honestly sioni sababu kuu za kuwapa maua hao Jamaa then Bakhressa usiseme hajui anajua
 
Siko hapa kumtetea Bakhressa lakini kuna Dogo nilimuunganisha kwa Bakhressa kule Mwandege kuwa supervisor wa matunda mshahara laki nane plus over time.

Dogo naye akazinguwa akaja kuacha ili afanye masters yake Udsm.

Kwahiyo SSB inategemea na position wanalipwa poa kibongobongo lakini issue ya vibarua hawa watu wa kati ndio wanaowatesa vibarua, Bakhressa hapangi malipo ya vibarua.
 
Unazungumzia upewe heshima ya juu ya kielemu, mbona hujaongelea na wanaostahili kutunukiwa certificate na diploma za heshima kwa michango yao?
 
I was been there kibarua anakula 3-4 per day baada ya Kazi ngumu ya kubeba viroba vya ngano na pumba honestly huyo Bakhressa bado Sana , ukija kwa huyo MO dereva wa roli anampa 100k per month .

Nadhani PhD hawastahili kuipata.
I was been there ndiyo Kiingereza cha wapi hiki Boya Mmoja Wewe? Hi ni Grammar ya wapi? Umemuaibisha kweli Mwalimu wako wa Kiingereza.

Halafu nakushangaa na Wewe Dr Matola PhD hujaiona hii Broken English iliyotukuka ya Jamaa. Mimi nilidhani asiyejua vyema Kiingereza hapa JamiiForums ni LIKUD tu peke yake kumbe wapo Wengi tu wanaofanana nae.

Eti I was been there hovyo kabisa. Kwani mkiandika tu kwa Kiswahili kama Mimi GENTAMIYCINE bado hantajulikana kuwa mmesoma na mna Akili?

Nikiwadharau hapa JF mnaninunia.
 
Back
Top Bottom