utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Afungwa Miaka 15 kwa kufake CV na kujipatia zaidi ya Tsh. Milioni 425 kwa Mwaka

    Daniel Mthimkhulu, alidanganya kuwa na Shahada ya Uhandisi wa Mitambo kutoka Chuo Kikuu cha Witwatersrand na Shahada ya Uzamivu (PhD) kutoka Chuo Kikuu cha Ujerumani Aliajiriwa na PRASA mwaka 2000 na kupanda Cheo hadi nafasi ya Mkuu wa Uhandisi kutokana na CV yake ya kughushi, huku akipokea...
  2. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Fahamu jinsi matapeli wanatumia noti ya Shilingi 500 kuibia watu

    Huenda sio Mara yako ya kwanza kukutana na matangazo ya kwamba hizi noti zinatafutwa na zinanunuliwa kwa bei kubwa Sana. Huu ni utapeli ambao unafanyika kwa njia zifuatazo👇🏿 👉Baada ya wewe kuzitafuta na kuwa nazo mfano mbili, utampgia huyo aliyesema anazinunua, labda moja Tsh 20k, hivyo atakupa...
  3. USSR

    JamiiForums Tanzania Je, kuna namna Kiboko ya Wachawi anaweza kuletwa tena Tanzania ili afunguliwe mashitaka ya utapeli?

    Hilo ni swali tu kama huna jawabu kaa mbali na huu uzi . 1.Kwakuwa sasa ni dhahiri kuwa alikuwa nabii feke na ewatapeli watanzania wengi pesa na mali zao anaweza kuletwa ajibu? 2. Je, sisi na DR Congo tunamkataba wa kubadilishana waharifu? 3. Kule Congo yupo na watanzania kadhaa aliondoka nao...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame asema anafikiria kuanzia Kodi ya Makusanyo ya Kanisa kutokana na Utapeli unaofanywa na Viongozi wake

    Rais wa Rwanda, #PaulKagame amesema ongezeko la Makanisa ambayo mengi kati yake yamekuwa yakichukua Fedha za Waumini na kuwatajirisha Viongozi wa Madhehebu utailazimu Serikali kuanzisha Kodi ya Makusanyo ya Kanisa. Pia Soma: Kagame ni muongozo sahihi katika masuala ya kidini nchi za Afrika...
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa wasanii wa bongo movie: Diamond ni mhanga na aliwasema waziwazi

    Nina uzoefu binafsi na hawa watu.. Sio wakuwaendekeza hata kidogo. Ni wabinafsi, ni wachoyo, ni ombaomba hawaridhiki na hawana shukrani.. Ni waongo sana pia na huwa wanajiona ni wajanja kukuzidi Unaweza kujitoa kuwasaidia sana. Watakupamba sana na kukuganda lakini nyuma ya pazia wanakuona...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Forex na uwekezaji katika hisa inaonekana ni Utapeli?

    Forex na uwekezaji katika hisa mara nyingi huonekana kama utapeli kwa sababu ya sababu hizi hapa: Udanganyifu na Ahadi za Faida Kubwa: Watu wengi wanavutwa na matangazo yanayodai kuwa unaweza kupata faida kubwa kwa muda mfupi bila juhudi nyingi. Mara nyingi, haya ni matangazo ya udanganyifu...
  7. DeMostAdmired

    JamiiForums Tanzania Hivi utapeli wa namna hii huwa inakuwaje?

    Habari zenu wanaJF Naomba msaada hapa. Kuna rafiki yangu ana ofisi ya kutoa huduma za wakala wa fedha, kama m-pesa, halopesa na tigopesa. Sasa anabinti amemuajili pale, jana Binti katapeliwa lakini kwa jinsi anavoelezea na kama huu utapeli una uchawi ndani yake. Yani kuna binti mdogo kwa...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Hii nchi utapeli upo kila mahali

  9. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa mchungaji ananitia majaribuni, ama kwa hakika vijana tukatae ndoa. Ndoa ni utapeli

    Hawa wanawake sijui wana shida gani!? Wakiwa hawajaolewa wanahangaika kwa manabii na waganga ili wapate ndoa. Ila wakishaolewa kutwa kuhangaika kurukaruka kutaka kugawa utamu wa ndoa kwa sisi mabachela. Imagine mke wa mchungaji, status zake ni makongamano na semina za kibiblia na neno la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli kwenye dini ni sawa na utapeli kwenye shule hizi za english medium, wazazi stukeni dunia imebadilika,

    Jinsi watu wanavopigwa kwenye hayo makanisa, ndio hizo shule nazo wanavotupiga pesa ndefu, Shule hizo nyingi tofauti na majengo na kumiliki magari ya njano hawana ule ubora ambao dunia ya sasa inahitaji, Dunia iko kasi inahitaji sio kiingereza tu, inataka fani, ubunifu na vipaji ili maisha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya wachawi aingia mtegoni

    Nabii kiboko ya wachawi aingia mtegoni na kuthibitika kua kweli ni tapeli baada ya Mwandishi kutoka Mwananchi Digital kupiga simu kwa kiboko ya wachawi na kujifanya mgonjwa na kiboko ya wachawi aliomba shilingi milioni kumi ili amponye. Licha ya Serikali kulifungia Kanisa la Christian Life...
  13. LICHADI

    JamiiForums Tanzania Usifanye biashara na mtu aliyeondoa blue tick WhatsApp

    Ukiona Mfanyabiashara hana bluetick ogopa sana huyo ni tapeli hata ukinunua mali kwake ukikuta mbovu jua ndio bye bye. Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na kujisikia,ubinafsi,utapeli na roho mbaya be carefull mtandao unauwezo wa kukutambulisha tabia ya mtu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matapeli wa Dar es salaam wachukuliwe hatua

    Habari wanajamvi, Kwa muda sasa Kuna mambo ya kitapeli hufanyika waziwazi bila matapeli hao kuchukuliwa hatua Kwenye Kona mbalimbali ya jiji hili hususan karibu na maeneo ya stand kuu, Kuna watu huwa wanaofanya utapeli wa kitapeli watu Kwa kutumia michezo ya bahati nasibu kama kinga For...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Facebook Yafuta Akaunti 63,000 Nigeria Zinazojihusisha na Utapeli wa Kingono

    Kampuni ya Meta imefuta akaunti 2,500 zilizokuwa zinaendeshwa na kikundi cha watu 20 ambao walikuwa wakifanya utapeli kwa wanaume na watoto chini ya miaka 18 nchini Marekani kwa kuwatishia kuvujisha picha zao za utupu. Pia, imefuta akaunti za matapeli wa mtandaoni wanaojiita "Yahoo Boys" na...
  16. Gai da seboga

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa Utapeli gani ambao hautasahau maishani?

    Shikamoooni wakubwa, wadogo marahabaa.. Katika maisha kuna vitu vingi mwanadamu hupitia vingine vinakuumiza, ila mwisho wa siku unapata la kujifunza. Ule usemi wa mjini Shule nikadhani kuna madarasa na walimu kumbee laah nikagundua kuwa walimwengu wanaweza kukupa mafunzo mjini bila kutumia...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, muondoe mara moja Nape kwenye Baraza lako la mawaziri. 4Rs unazozihubiri zinaonekana ni utapeli wa kisiasa.

    Kwa maneno aliyoyazungumza waziri wa habari Nape Nhauye wakati akiongea na wanaccm huko Bukoba mkoani Kagera ni ishara tosha nchi hii inaongozwa na wahuni. Waziri mzima tena mkuu wa wizara ya habari unaongea ujinga mbele ya watu wazima. Tume ya uchaguzi inapewa pesa nyingi Kila mwaka kuhakikisha...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Moshi kwa nini mnaamua kupandisha kodi za Maroli bila kujadiliana kwa kina na wahusika?

    Wafanyabiashara wa Moshi wenye malori wamegoma kuingiza malori barabarani baada ya sitomfahamu ya kodi iliopanda pasipo kushirikishwa Wakiongea kwa uchungu wamesema wao waliitwa wakajulishwa upandaji wa kodi hivi karibuni wakaahidiwa wataitwa viongozi watajadiliana na kuona sh ngapi ya...
  19. The Lost Boy

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali wanazotumia matapeli kutapeli watu

    Mwaka 2012 saa tatu usiku hivi, nikitembea pale Zakhem nikitafuta daladala za Chamazi. Na ule uharaka wa kutembea ghafla nikajikuta kama nimemkanyaga bwana mmoja (alijikanyagisha sikujua). Basi akanishika begani huku akitweta kwa ghadhabu kuu "kwanini unanikanyaga bro, wajikuta nani labda... "...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mabasi ya Ally's Star acheni utepeli

    Leo tar. 05 July 2024 Katika hali isiyo ya kawaida nikiwa eneo la tukio (nilimsindikiza ndugu yangu ambae nae ni muhanga wa hii habari) abiria waliotakiwa kusafiri na gari kampuni ya ALLY'S STAR T644 kutokea DAR ES SALAAM (Urafiki) kuelekea MWANZA walikumbwa na sintofahamu baada ya...
Back
Top Bottom