utapeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Jihadharini na utapeli wa mauzo kwenye maduka

    Tarehe 7/12/2024 kuna mteja alifika kwenye duka linalouza vifaa vya umeme kununua mojawapo ya bidhaa za umeme bahati mbaya akawa amekuja na kiasi cha pesa pungufu akaomba muuzaji aongee na bosi wake ambaye hakuwepo wakati huo amkubalie kununua kwa bei hiyo. Baada ya muuzaji kumaliza kuongea na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NBC waachiwa huru baada ya kesi ya utapeli TSh milioni 390 kufutwa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Beda Nyaki, Wakili wa Serikali...
  3. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haiwezekani kubaki mwaminifu kwenye Mapenzi!

    Siku zote utakutana na wanawake wenye mvuto kuliko mwanamke wako, utakutana na wanawake wenye vibes zaidi, utakutana na wanawake ambao wana habari zaidi, utakutana na wanawake wanaofanya kana kwamba wanamjali kuliko mwanamke wako. Pia ukiwa mwanamke utakutana na wanaume ambao ni matajiri sana...
  4. Nkarahacha

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya Utapeli ya kutoa Mikopo yashtakiwe

    Kampuni zilizokuwa zikitoa mikopo kwa wananchi bila vibali na kwa riba kubwa zinapaswa kushitakiwa kwani walichokuwa wakikifanya ni utapeli kama utapeli mwingine. Pia kwanini utapeli na wizi vimeongezeka kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita? Je,wahusika wa hizi kampuni wanaweza kuwa...
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Huu utapeli ni mpya au upo? Wauza Vyombo vya Mnada wawaliza kina mama Kimara, kuweni makini

    Aina ya risiti zao Leo asubuhi kina mama wa Mtaa wa Kilungule B Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wameamka na vilio baada ya kutapeliwa na watu waliokuja kufanya mnada wa vyombo mbalimbali kama masufuria na vifaa vingi vikiwa vya kieletroniki kama simu, laptop, sabufa, pasi na vitu vingine...
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msanii Mario na Abba meneja wake, wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media

    MSANII MARIO NA ABBA MENEJA WAKE,MARA BAADA YA KUJICHUKULIA FEDHA KWA NJIA YA UTAPELI WAMEUKANA MKATABA HUU WA MAKUBALIANO NA KISMATY MEDIA
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msanii Mario na meneja wake waukana mkataba wa makubaliano na Kismaty Media

    Msanii Mario na Abba meneja wake, mara baada ya kujichukulia fedha kwa njia ya utapeli wameukana mkataba huu wa makubaliano na Kismaty Media.
  9. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Shetani atakapochapisha Kitabu chake, utapeli wa dini utakoma, kila lawama kwake, yeye kimya tu!

    Vitabu vya dini kubwa zote vinamtaja shetani. Na kumsema mabaya yake. Cha ajabu shetani yeye amekaa kimya tu. Nimeota muda si mrefu shetani na yeye anashusha kitabu chake mapangoni.. kama waislamu wanavyodai Quran ilivyoshushwa ama kama Musa alivyopewa amri kumi pale mlima sinai. Kitabu...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania THREAD ya ku-expose aina tofauti za utapeli unaofanyika ili tusaidiane kutoingia kingi kirahisi.

    Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo: Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu. Wanaojifanya Afisa wa TRA: Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sympathizers wa hamas wanapenda kujipa moyo na vimaneno kama hivi ili tu wafunike aibu ya kushindwa na kutetea ugaidi na utapeli

    "wanajeshi wa idf wanabeba maiti zao huku wakilia" JIBU: ULITAKA WACHEKE "Mitambo ya kuzuia makombora ya Israel haikufanya kazi vizuri kipindi Iran waliporusha makombora" JIBU: WEWE HAPO ULIPO KWA SHEMEJI YAKO UMEISHAUNDA MTAMBO MGANI "Israel ni mashoga" JIBU: UMEJUAJE KAMA HAKUWAHI KUFANYA...
  12. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania TCRA: Utapeli wa "Tuma kwa Namba Hii" umepungua sana nchini

    Akizungumza kupitia Power Breakfasta leo Oktoba 30, 2024, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma amesema "Kwenye utapeli kabla na baada ya zoezi la usajili wa laini za simu tofauti ipo kubwa sana. Ukiangalia ripoti ya Robo mwaka ya performance ya mawasiliano kwenye takwimu za mawasiliano...
  13. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania Ukitumiwa ujumbe na Matapeli huwa unajibu nini?

    Ukitumiwa ujumbe mfupi na matapeli wa mtandao wale ambao wanaandika “tuma ile pesa kwenye namba ” Huwa unajibu nini? Na unachukua hatua gani?
  14. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikiliza kijana, mapenzi ni utapeli kwa mwanaume

    Leo nakufungulia hii code. Thamani za mwanaume na mwanamke zinaangaliwa katika vigezo tofauti. Thamani ya mwanaume ni mali/uwezo wa kifedha na thamani ya mwanamke ni mwili wake yaani ile purity. Mwanamke anaingia kwenye soko la mahusiano around miaka 15 hivi akiwa na thamani kubwa, hiki ni...
  15. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Angalizo: Utapeli na wizi kwenye maduka ya Pharmacy/ biashara ya dawa za binadamu

    Habari za wakati huu ndugu zanguni. Kama ilivyo ada na kawaida kuhabarishana habari mbali mbali zenye manufaa kwa ajili ya kuepushana na mambo yanayoonekana kutuathiri kwenye jamii na familia hii kwa ujumla wake. Nimepata bahati mbaya ya kumuuguza mgonjwa hapa nyumbani kwangu mwenye ugonjwa wa...
  16. Zegota

    JamiiForums Tanzania Hii Issue ya Utapeli wa "Tuma Kwa namba hii" nadhani wafanyakazi wa makampuni ya simu wanahusuka Kwa asilimia kubwa

    Habari zenu wakuu. Mzee Ayo huko Arumeru amemaliza safari yake ya hapa Duniani, ni chanzo kikitajwa ni utapeli wa mtandaoni maarufu " Tuma Kwa namba hii" Kwenye hili tuache unafikia hawa watu wa mitandao ya simu inawezekana wapo wengi sio waaminifu na wao ndio wanaoinjinia huu utapeli . Natoa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Manguruwe anyooshewa kidole akidaiwa kufanya utapeli kwa baadhi ya wateja walioitikia kuwekeza kwenye kampuni yake

    Haya sasa sema kimeumana Dr. Manguruwe akaliwa kooni adaiwa katapeli watu. Bwebwe nyingi huko mtandaoni kumbe nyuma ya camera anayake mambo =================== Katika hali isiyokuwa ya kawaida na isiyotarajiwa kampuni ya Pig Investment International (Kijiji cha Nguruwe) inayomilikiwa na Simon...
  18. Vanclassic

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaendelea mafundi kuweni makini hii imetokea leo

    Habar za muda Huu wana jamvi leo mida ya saa sita mchana ilinipigia Namba hii 0749935122 ambayo ni ya huyo tapeli alijitambulisha kwangu anaitwa Mr Elias alipata taarifa kuwa Mimi ni fund Kuchomelea kwaiy ana sait yake Ipo mtaa flani ambao upo KM 15 Hiv toka ninapokaa Mimi anataka ikapimwe...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bima za Afya za Mitandao ya simu ni utapeli. Hivi serikali ya Tanzania mbona imelala kiasi hiki?

    Hizi bima ni kampuni binafsi sasa ili kupata namba za Watanzania kirahisi wanajifungamanisha na kampuni za simu kama Tigo au Vodacom. So far sasa wamepewa ruhusa ya kutumia namba 100 ili wasionekane matapeli. Wale wahudumu wanamtumia mwanya wa Watanzania kutokujua mambo muhimu kuwalaghai...
  20. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Utapeli na wizi wa wachungaji ni marudio ya wamisionari wa kale

    Tunasikia vilio na malalamiko kuhusu wachungaji wenye kuwatapeli waumini wao na wasio waumini wao. Wenye kuamini miujiza ila utapeli huo wa kisasa zaidi mchungaji anatoa chupa ya maji na udongo ,wewe unampa pesa. Ukirudi nyuma utapeli huu haukuanza leo ulianza kale wamisionari...
Back
Top Bottom