kintu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 542
- 136
Kumekuwa na utitiri wa wafanya biashara wanao agiza bidhaa China kupitia Mitandao ya kijamii au kwa kuwa na ofisi hapa mjini Dar es salaam Hasa Mwasiti na Biashara zake.
Watu wengi wamekuwa wakidhurumiwa na wasijue wapi pa kuanzia maana unakuta magroup yao wamedunga hakuna vomment hivyo huwezi kuweka mchango au malalamiko yako.
Wanachukua hela ya mzigo kabla na pia wanakisanya usafiri lakinizigo unachukua zaisi ya mwaka haujapata.
Kuna huyu anajulikana kama Mwasiti na Biashara zake yupo kwenye mitandao ya kijamii na ofiso zake pale karibu na Hospitali ya Masana,amekuwa akitapeli watu wengi bila kuleta mzigo.