utani

  1. C

    JamiiForums Tanzania Utani Mbaya Kwa Rais Wetu...

    Hii nimeikuta huko Twitter kwa member anayejiita Professor Kirusi19
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  3. JamiiForums Tanzania Kama kweli vile

    Kama kweli vile
  4. JamiiForums Tanzania Uzi wa upatanisho, utani na urafiki kati ya wana JamiiForums walio na mirengo tofauti ya kisiasa

    Uzi huu ni maalum kwa cc members wa jf ambao hatupendani kabisa na tunapingana na kukinzana kweli kweli katika siasa. Lengo lake ni ku absorb machungu yetu na TOFAUTI zetu. Ule mkinzano tulionao kwenye majukwaa ya KISIASA tuupunguze humu kwa kutaniana na kutakiana heri katika maisha. Natambua...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Tuacheni utani, Kabendera anatia huruma

    Jaman daaah Tuacheni utani , huyu jamaa amechakaa sana anatia huruma. Basi tu Video sekunde 16
  6. JamiiForums Tanzania CAF awards 2019: tuacheni utani hata Ulaya awawezi kuifikia Egypt

    Direct to the point Leo ndio tuzo zile kubwa za kuwatunuku wanasoka Bora wa Africa. Ndani ya nyumba namuona mnyama kutoka Tanzania kipande Cha Madale Diamond himself ambaye Leo atatumbuiza kwenye tuzo hizo. Mbali na Diamond namuona pia aliyekuwa kocha wa arsenal mzee baba Wenger, pia Sedio...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kubwa kati ya utani na udhalilishaji

    "Kitwanga umemuacha mke wako, umeenda kwa mwanamke mweupe," alisikika mzee baba akimwambia aliyewahi kuwa waziri kwa kukaa pembeni ya mama mmoja mwenye rangi ang'avu. Kwa jamii iliyostaarabika utani wa namna hii unavuka mipaka. Kitwanga alidhalilishwa na yule mama alivunjiwa heshima. Aghalabu...
  8. JamiiForums Tanzania Kijana afanya utani wa kutaka kumuua Rais Magufuli, aambuliwa kifungo cha miaka 2 jela

    Rais John Magufuli. MAHAKAMA ya Mwanzo ya Ipembe mjini Singida, imemhukumu mkazi wa mtaa wa Minga, Bahati Martin (39), kifungo cha miaka miwili jela baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kutamka maneno ya kwamba atamuua Rais John Magufuli. Mshtakiwa anadaiwa kuropoka maneno hayo Novemba 26...
  9. JamiiForums Tanzania Mkuu wangu wa mkoa wa Tabora punguza utani hasa ukiwa kikaoni wa chini watashindwa kutekeleza uliyotoa

    Awali ya yote shikamoo afande WANGU mkuu WANGU WA mkoa Kiufupi tu nimekusikiliza kwa millardayo NAAMINI akuwepo kikaoni ila kama alikuwepo mwakiloishi nalo jema Kiufupi naomba nishauri tupunguze utani zaidi hasa pale unapokuwa na watu kama madiwani wakitoka hapo wanatakiwa kutimiza majukumu...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani watz mna dhiki kweli, yaani hamna utani kabisa, hata na wachekeshaji

    Yaani hii picha 'photoshop' ya kawaida sana ndio ilifanya vitengo vya usalama vikamkamata huyo mchekeshaji kwa jina Idris Sultan? Hadi akahojiwa kwa saa tano na nyumba yake ikapekuliwa na polisi wakaamrisha kwamba aripoti kwao siku ifatayo? Like seriously? [emoji15] IDRIS SULTAN AACHIWA KWA...
  11. JamiiForums Tanzania TUNAWAONA WAZURI SABABU TUNAWAPENDA

    Kinachofanya wajione wao bora na wazurii ni Sisi wanaume tunapenda kuwasifu lakinii ukweli ni kwamba hawana uzuriii wowote ndo maana vitu vya urembo vimekuwa vingi kwao ili wapendeze waonekane wazurii. Ila Men tupo really bado tunapendeza na tunavutia
  12. JamiiForums Tanzania Wachuna Ngozi

    Watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo moja tu la kufanya kama kuomba dua au kuandika wosia. Jamaa wa kwanza akasema ye aomba auliwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…