wachuna ngozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wachuna ngozi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Deejay nasmile, Mar 30, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  watatu walikamatwa na wachuna ngozi. Wakaambiwa kuwa watauliwa kisha watachunwa ngozi na ngozi zitaenda kuuzwa Nigeria. Wale wachuna ngozi wakawaambia kila mmoja anapewa nafasi ya kuomba jambo moja tu la kufanya kama kuomba dua au kuandika wosia.
  Jamaa wakwanza akasema ye aomba auliwe haraka haraka sasa hivi bila maumivu makali. Wale majinamizi wakakubali ombi lake na kumpulizia nusu kaputi kisha wakamchoma sindano ya sumu. Jamaa wa pili akaomba karatasi na kalamu aandike salamu zake za mwisho kwa familia yake, naye ombi lake likakubaliwa. Jamaa wa tatu akauliza “kwani ngozi zetu zinatumika kufanyia nini?” wale wachuna ngozi wakasema “zinatengenezewa ngoma za kuleta utajiri” yule jamaa akatikisa kichwa kumaanisha ameelewa kisha akaomba kiwembe kikali, wale wachuna ngozi wakashangaa kwa nini anaomba kiwembe badala ya kuomba kitu muhimu kwa wakati kama huu, hata hivyo wakampa kama walivyoahidi. Yule jamaa akachukua wembe na kuanza kujichana chana mwili mzima huku akipiga kelele “x#@z sana nyie yaani ngozi yangu mnataka muiwambie ngoma, tuone sasa naitoboa yote kama mtapata mteja”
   
 2. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ah! jamaa wa tatu mkari sana
   
 3. g

  gody5m Senior Member

  #3
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  jamaa alikua genius kudadeki(japo hapo duh umetuuza kujichana mzee )
   
 4. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  JAMAA MKAREEEEEEEE ila kweli yataka moyo
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  that was real great
   
 6. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,497
  Likes Received: 5,977
  Trophy Points: 280
  true story: jamaa mmoja walitaka kumchuna huko mbozi mbeya akakuta shamba linatayarishwa kwa kuchoma moto si akajiingiza kwenye moto! eti anaharibu ngozi
   
 7. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Hii ni hatari aisee !
   
 8. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 331
  Trophy Points: 180
  Thitaki!
  Huku ni kutututhi watu wa Mbeya!
   
 9. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  duh hadi wewe network ime connect.kweli nimetisha hahahah
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh maimivu yake ni noma aisee lol
   
 11. driller

  driller JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hiyo ya mtu aliyejiingiza kwenye moto nilishawahi kuisikia mzeiya
   
Loading...