utajiri

  1. Ukimsujudia shetani atakupa utajiri?

    Katika kusoma soma kwangu kwenye hiki kitabu 'biblia' nikakutana na maneno haya ''Kwa mara nyingine, ibilisi akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu na kumwonyesha falme zote za dunia na fahari zake, kisha akamwambia, “Nitakupa hivi vyote kama ukinisujudia na kuniabudu.’’ Sasa...
  2. Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!. Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo nimeyaishi na kuyapitia kama mwanadamu. Simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa JF imefahamika kama...
  3. Watu tunasherekea utajiri wa Elon Musk kushuka

    Ngebe, nyodo, madharau, majigambo, kiburi, kujiona na kujiinua vimefika ukingoni. Ni chereko na vifijo. Elon Musk (Mwafrika Uchwara) mmiliki wa Tesla, Space X na Twitter utajiri wake umeshuka kutoka dollar billion 230 hadi dollars billion 168 na kujikuta kupoteza nafas ya kwanza utajiri...
  4. Je, baraka za Mungu ni mafanikio ya kimwili kama utajiri au zipo nyingine tofauti na utajiri?

    Wakuu, habari za leo, natumai Jumapili iko poa kwenu, Kama kichwa kinavyosema, je, baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo, simu kali na mengine mengi au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui? Kwa...
  5. Jinsi Ya Kufanya Tathmini Kwenye Kiwanja/Nyumba Kwa Lengo La Kujenga/Kutunza Utajiri

    Tathmini hii inafanyika kwenye nyumba ambazo ni kwa ajili ya KUJENGA/KUTUNZA utajiri. Nyumba za kuishi jenga au nunua kwa kuzingatia mapenzi yako binafsi (au mapenzi ya familia yako) pengine hata bila kufuata misingi hii ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Viashiria vinne (4) vya kupata...
  6. Mwanza: Mama akamatwa kwa kumzika mwanaye akiwa hai ili apate utajiri

    Kutoka mkoani Mwanza Jeshi la Polisi inamshikilia Zawadi Msagaja (20) na wenzake wawili akiwemo mganga wa kienyeji, kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili akiwa hai, kwa lengo la kumtoa kafara ili apate utajiri. Watuhumiwa wengine ni dada yake Zawadi, Elizabeth Kaswa na...
  7. SBF hajapoteza utajiri wa USD 16 billion bali walomwamini ndo wamepoteza na yeye ame-gain, Hana tofauti na Ivar Kreuger "The Match King" wa 1920s

    Hello bosses... Kipindi cha nyuma TerraUSD na Luna zilipopata anguko niliandika uzi humu kwa sababu hilo tukio nlikua nategemea lije kutokea kutokana na mechanics za namna hizo coins zilivokua zinafanya kazi uzi uko hapa CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki...
  8. Taifa lolote linapokosa kiongozi mwenye msimamo thabiti na madhubuti raia wake huangaika hata kama kuna utajiri wa rasilimali

    Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana. Huko Afrika ya kati mataiafa kama Niger ni aibu kwa Africa yetu. Leo hii taifa kama Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali lukuki...
  9. Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo

    UTAJIRI WA NCHI NI AKILI ZA WATU, SIO RASILIMALI KAMA MADINI N.K. Anaandika, Robert Heriel. Huwaga namshangaa mtu anayesema nchi yetu ni Tajiri. Kwa kweli sio tuu anachekesha Bali pia anaonyesha jinsi alivyokuwa mjinga na asiyeweza kufikiri sawia. Kama nikiulizwa hivi leo sababu gani...
  10. Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  11. Kumbe deni linastahimili kutokana na utajiri wa mali kama madini, gesi

    Hakika kweli mabeberu wanatufanyia timing tu waafrika na watakaa tena kama walivyogawana makoloni safari hii watafanya minada kwa nchi za Afrika zikifikia madeni ya trillion zaidi ya 100. Tuendele kukopa kulipa mishahara minono na magari ya kifahari !!
  12. MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    Huyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa. Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje...
  13. Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

    Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza. Kuna mashoga kadhaa...
  14. SoC02 Siri ya wasanii na wanamichezo kuwa na utajiri mkubwa kuliko wasomi wa vyuo vikuu na maprofesa

    "SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA" ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA. Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...
  15. D

    Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  16. Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano

    Wanabodi, Kwa maslahi ya Taifa, inakuletea mfufulilizo wa makala elimishi kuwaelimisha Watanzania, kuijua Jumuiya ya Afrika Mashari na Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na fursa zake. Ambapo mtangamano ukikamilika, unakwenda kuunda Taifa kubwa kabisa Afrika Mashariki, ambalo litakuwa na...
  17. Elon Musk azidi kujiimarisha kwa utajiri duniani

    Kupitia orodha mpya ya Matajiri wa Dunia ya Bloomberg Billionaires Index, imeonesha nafasi kubwa na kiwango cha fedha alichowazidi matajiri wengine.
  18. F

    Aibu sana tajiri msomi kama Mengi kushindwa kuandaa succession plan ya utajiri wake. Bakhressa hana elimu ila ameweza

    Habari wadau. Nazani wote tunaona ona ugomvi wa mirathi wa familia ya mengi. Mtu unapata utajiri wa zaidi ya bilion 500 ila unashindwa kuandaa waendelezaji wa mali hizo. Mtu tajiri sana kama Mengi ila unaruhusu watoto wako wanakuwa wakubwa mpaka wanafika miaka 25 ama 30 bila kuoa hata...
  19. Utajiri wa ushirikina una masharti magumu sana

    Bwa Uyoga alikua mfanyabiashara wa kawaida lakini huku Kwamtogole tulimuona wa mboga saba, alikua na usafiri wa IST na mke wake hakupanda basi kwenda sokoni. Watoto walisoma English Medium. Katika kupambana na maisha alikutana na fundi aliyemuahidi utajiri wake utaongezeka akifuata masharti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…