utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ladies mtaniambia kama utafiti wangu upo vizuri

    Nimekuja kugundua mabinti wengi ambao wanakutana na ugumu wa kuolewa, inafika hatua wanatamani tu walau kupata mtoto. Mabinti kumbe uwa mnatamani sana kulea, kuna ka feelings flani huwa mnakatamani ka kunyonyesha mtoto na kulea. Sasa na mimi nimewaza kutafuta binti wa kumtunuku mimba...
  2. JamiiForums Tanzania Watanganyika fanyeni utafiti watu wanaosema Mitano Tena! Wapuuzeni haraka 2030 mtalia na kusaga meno

    Wanapiga kelele na kusema mitano Tena Hawa hapa. Wapuuzeni na mwaepuke kama ukoma.
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Aagiza Leseni za Utafiti 45 Mkoani Rukwa Kurejeshwa Serikalini

    WAZIRI MAVUNDE AAGIZA LESENI ZA UTAFITI 45 MKOANI RUKWA KUREJESHWA SERIKALINI -Ni Leseni ambazo hazifanyiwi kazi na kuzuia maelfu ya wachimbaji kuchimba -Eneo lililorejeshwa la ekari 812,383 ni kubwa zaidi ya Wilaya ya Sumbawanga -Wachimbaji wadogo na wawekezaji waliotayari kupewa kipaumbele...
  4. JamiiForums Tanzania Traditional Medicine: Utafiti juu ya Changamoto za kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi Tanzania Bara

    Habari wakuu (English version below) Ninafanya utafiti juu ya Changamoto za Kisheria katika kulinda Maarifa ya Jadi katika Tanzania Bara. Ili kupata matokeo ya utafiti yenye thamani, naomba kuchukua dakika 5 za muda wako kujaza dodoso langu: Ulinzi wa Kisheria wa Maarifa ya Jadi katika Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

    Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi zenye wanafiki wengi zaidi duniani?

    Tumekuwa tukisikia mashirika kadhaa yakifanya tafiti kubaini mambo kama vile 1. Nchi yenye furaha zaidi. 2. Nchi yenye watu wenye IQ kubwa zaidi. 3. Nchi yenye uhuru wa kutoa maoni nk. Je, hakuna shirika linalofanya utafiti kubaini nchi yenye wanafiki wengi zaidi duniani? Hii record huenda...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa taasisi za utafiti za Marekani kuficha ukiukaji wa haki wa wachache wazidi kufichuliwa

    Kwa muda mrefu sasa Marekani imekuwa ikijinasibu kuwa ni kinara wa usawa duniani, ikijitangaza kwa msingi wa katiba yake na maadili yake, inatenda haki kwa watu wake wote bila kujali rangi, dini au wanakotoka. Na mara nyingi ikiwa ikitumia kisingizio hicho kama ni mamlaka ya kimaadili, na...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kufanya utafiti wa kina juu ya rushwa, wizi na ufisadi ndani ya nchi, JPM alitaka kujenga CCM mpya, wazalendo njaa wa upinzani hawakumwelewa

    Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio ndani, wape 10% zao. Vigogo wa chama na serikali ndio wamehodhi biashara zote kubwa kubwa, na...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali kuanzisha mradi wa vituo vya utafiti na maendeleo ya kilimo nchini

    MRADI WA KUANZISHA VITUO VYA UTAFITI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA. kulingana na changamoto zilizopo katika sekta ya kilimo Nchini. nikaona si vibaya kufikiria juu ya sekta hii muhimu, ambayo tunasema ni utii wa mgongo wa taifa la Tanzania. Hivyo basi nikaona kuna haja ya kuanzishwa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania UDSM Yawaalika wadau katika maonesho ya utafiti na ubunifu msimu wa 9 yatakayofanyika Juni 5-7, 2024

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam- UDSM kinakualika katika maonesho ya wiki ya Utafiti na Ubunifu msimu wa 9 - 2024 yatakayofanyika 5 -7, June 2024 katika ukumbi wa Maktaba Mpya. Akizungumza katika Ukaribisho huo, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo - Utafiti, Profesa Nelson Boniface amesema mwaka huu...
  11. JamiiForums Tanzania Jackson Mmari: Tatizo la Rushwa linaanza na Mtazamo wa Mwananchi mwenyewe

    JACKSON MMARI (Taasisi ya WAJIBU): Utafiti wangu niliofanya nimebaini tatizo la Rushwa linaanza na muono wa Mwananchi mwenyewe, mazingira yanaonesha anakuwa hatarini kutoa Rushwa kutokana na mazingira na tabia yake Huku mitaani kuna tabia nyingi ambazo zinafanyika mtu anakuwa anajitengenezea...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Hizi hapo title za kufanyia utafiti/ research kwa ajili ya wanazuoni na wadau wengine, title ambazo hazijafanyiwa kazi mpaka Sasa kwa sector zote

    Habari za Leo tena, karibu katika jamvi la story of change, jukwaa linaloibua mawazo mapya. Leo katika Uzi wangu huu, nataka wadau wote kutoka katika sector zote, tusaidie wadau na wanazuoni wanaotafuta titles za kufanyia research ambazo bado hazijawahi kufanyiwa kazi kabisa, naomba tuwe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa wao si wanene, kulinganana utafiti wa Kiitaliano ambao uliangalia mafuta ya mwili badala ya...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti wa Mwananchi ni matokeo ya ombwe la utafiti halisi wa maoni ya wananchi

    Kabla ya utawala wa awamu ya tano kuingia madarakani kulikuwa na taasisi binafsi za utafiti zilizokuwa zinafanya utafiti wa masula ya kijamii kwa raia na kutoa matoke ya hapa na pale. Waliokuwa wanafuatilia watazikumbuka Twaweza, IPSOS, Afrobarometer na REDET. Japo matokeo ya utafiti wa taasisi...
  15. JamiiForums Tanzania Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri...
  16. JamiiForums Tanzania Jaribio sahili unaloweza kulifanya na watoto kutengeneza upinde wa Mvua

    Habari wana JF, Leo ninawaleteeni sayansi ya upinde wa mvua. Hivi unafahamu ni kwa vipi upinde wa mvua hutokea? Na ni kwa nini watu wakiona upinde wa mvua husema bila wasiwasi kwamba "mvua haitanyesha, si unaona li upinde la mvua lilee" Naandika mada hii baada ya kusikia kisa cha bodaboda wa...
  17. JamiiForums Tanzania Utafiti: Bajaji ya mizigo inaporudi nyuma husema maneno gani?

    Utafiti wangu ulochukua miaka mingi hadi sasa umekuja na mkataa wa kudumu wa maneno ya hizi bajaji. Unaweza hisi inasema sijui nini " Gochionale kikachukattchu ka" 🤨🤨 Mwingine naye atasikia anavyojua yeye 😄😄 Ila ukweli ni kanasemaga "BE CAREFUL THE TRUCK IS BACKING UP" X2
  18. I

    JamiiForums Tanzania Maprofesa kumi na wanne wa Israeli walitunukiwa tuzo za juu za utafiti wa EU

    Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi. Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina thamani ya takriban euro milioni 2.5 (dola milioni 2.68), iliyotolewa kwa miaka mitano, na euro...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeona tofauti ya Pasaka na Eid. Nilikuwa nafanya utafiti

    Pasaka zote mbili hazikujaza watoto mtaani. Nlijaribu kupitia beaches kadhaa Kigamboni na Mbezi hadi Kunduchi. Watoto wengi walikuwa na wazazi wao na walikuwa wanachungwa sana. Hawapati sana nafasi ya kujiachia. Wapo. Chini ya uangalizi. Hii si nzuri sana mnawafanya watoto wanakuwa wapole sana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Habari wadau Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…