utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Utafiti: Wanawake wanaongoza kwa utegemezi Tanzania

    Wakati jitihada mbalimbali zikifanywa na Serikali na sekta binafsi katika kuwainua wanawake kiuchumi nchini, ripoti mpya ya Wizara ya Fedha inaonyesha jinsia hiyo bado inaongoza kwa utegemezi. Ripoti hiyo inayohusisha ujumuishi wa masuala ya kifedha kwa wananchi inayoitwa Finscope 2023...
  2. OKW BOBAN SUNZU

    Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  3. JanguKamaJangu

    Utafiti: Katika Wanaume watano, mmoja ana Shinikizo la Juu la Damu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo. Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
  4. BARD AI

    Utafiti: Bara la Afrika kugawanyika, Tanzania kuhusika

    Shirika la Anga la Marekani (Nasa) kupitia utafiti wake mpya uliochapishwa Juni 2023 umeonyesha dalili za kugawanyika mara mbili Bara la Afrika miaka milioni tano ijayo baada ya bonde la ufa lililopo Kenya na Ethiopia kuzidi kuongezeka. Taarifa iliyochapishwa katika mtandao wa ‘Daily Mail’ wa...
  5. Boss la DP World

    Utafiti: Mitindo ya kujamiiana Inaweza kuvunja Uume Wako

    Utafiti wa Madaktari wa Idara ya Magonjwa ya Mfumo wa Mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa. Utafiti wa...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Utafiti: Kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi

    Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo; Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi. Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho...
  7. Sanyambila

    Zipi sababu za vijana wa sasa kukumbwa na mvi, hasa za ndevu?

    Wasalam wadau. Dunia ya Sasa imekumbwa na matatizo au changamoto ya vijana wadogo kiumri KUKUMBWA na MVI kidevuni na imekukwa Kama Natural modelling appearance (handsome) ukikutana na vijana kumi wa umri kuanzia 30 Hadi 40 vijana 6 au 7 Wana mvi kidevuni (white hair). Sasa baada ya MAELEZO...
  8. S

    Utafiti: Asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni wazuri/warembo kuliko wa upande wa pili

    Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Sexless unit imebainika pasipo shaka kuwa asilimia kubwa ya wadada wa kiislam ni warembo mno kuliko wale wa upande wa pili. Hata wewe mwanaJF fanya utafiti binafsi mtaani kwako kisha lete majibu.
  9. N'yadikwa

    Utafiti: Nyama ya mbuzi haisababishi gauti

    Hakuna ushahidi wa kisayansi unaosema kula nyama ya mbuzi inasababisha matatizo ya viungo. Nyama ya mbuzi, kama aina nyingine za nyama ya mwili, ni chanzo kizuri cha protini, vitamini, na madini, ikiwa ni pamoja na chuma na zinki. Virutubisho hivi ni muhimu kwa afya ya jumla, ikiwa ni pamoja na...
  10. Kyambamasimbi

    Utafiti: vijana wengi wanaogopa kununua condom madukani kisa eti wanaona aibu.

    Habari wanajf. Utafiti umefanywa na taasisi fulani umebaini kuwa, vijana wengi hasa wa kiume wanogopa kununua mipira ya kujikinga na maambukizi ya magonjwa mbalimbali na mimba zisotarajiwa kwa kigezo kuwa pindi wanapoenda kununua bidhaaa hiyo wanaona aibu na hasa wanapokuta wahudumu watu wazima...
  11. Equation x

    Wanaume inabidi tufanye utafiti kidogo

    Siku za karibuni kumekuwa na nyuzi za sisi wanaume kuwafungukia hawa warembo wetu wa humu jamvini. Wengi tunajiuliza kwa nini hizi nyuzi zinafuatana sana, kulikoni kuna nini? Au hawa warembo wameshatuendea kwa babu na kutupika kwenye vyungu nini? :D :D Mabaharia wenzangu, njooni kwenye...
  12. GENTAMYCINE

    Kama huu Utafiti wa Bangi kuwekwa katika Biskuti na Keki ni wa Kweli nahisi nitakuwa nimeitumia kuliko hata Mdau Mkuu Hayati Bob Marley

    Na wanaoiweka katika hizi Bidhaa pendwa Siku wakiwaza tu kuiweka pia katika Utamu wa Kibaiolojia wa Mwanamke au Mwanaume hapa ndiyo nitakuwa Teja kabisa kwani Wengine huo Utamu Tukuka wa Kibaiolojia wa Mwanamke ndiyo tunaupenda kuliko hata Klabu ya Simba SC na Tanzania yangu. Ewe Mwenyezi Mungu...
  13. B

    Chanjo ya Ukimwi baina ya wizara ya Afya Tanzania na Marekani yaonesha mafanikio

    Utafiti wa chanjo ya Ukimwi unaoshirikisha wizara ya Afya Tanzania na wizara ya ulinzi ya Marekani yaonesha mafanikio, majibu kutolewa mwakani Chanjo ya ukimwi itaanza kutumika baada ya wizara ya afya na WRAIR Walter Reed Army Institute of Research iliyo chini ya Idara ya Ulinzi ya Marekani...
  14. L

    Utafiti waonesha kuwa mikopo toka China kwa nchi za Afrika ina gharama za chini kuliko ile ya nchi za Magharibi

    Watafiti katika taasisi ya Uchumi wa Dunia ya Kiel ya Ujerumani, wamefanya utafiti na kufikia hitimisho kuwa mikopo inayotolewa na China kwa nchi za Afrika ni ya gharama nafuu kuliko ile inayotolewa na nchi za magharibi, au inayotolewa na wakopeshaji wa kibiashara. Hitimisho hilo limefikiwa...
  15. Uhakika Bro

    Je, kutumia jina bandia ni chanzo cha maudhui yasiyo na tija mtandaoni?

    Wazungu wanao huu msemo, "How you do one thing is how you do everything." Na sisi makazini na majumbani tunauishi huo msemo. Ukichelewa intavyuu, mabosi wanahisi hata kazini utachelewa tu, na kazi zako zitachelewa pia. Ukidanganya sana kazini, hata kwenye mahusiano utachepuka sana. Turudi...
  16. R

    Virus wanaodaiwa kumuua Membe waliondoka na viongozi wengi miaka miwili nyuma. Madaktari wawezeshwe wafanye utafiti, tusipuuze

    Nimemsikiliza Daktari wa Familia ya Mzee Membe, ameeleza kitaalam kwamba Membe alikuwa na mafua ya kawaida kwa siku tatu na mwisho kupelekea kifo chake baada ya virus kushambullia mfumo wa damu. Hawa Virus naamini kama wameweza kufanya damu kuganda hadi kusababisha kifo watakuwa hatari sana na...
  17. T

    Utafiti Marekani umeonesha kwamba watu waliozaliwa kuanzia mwaka 1997 ni wabishi, wajuaji na hawana heshima

    Marekani utafiti umeonyesha kwamba ni vigumu sana kufanya kazi na kizazi Z ama generation Z ambao wamezaliwa kuanzia mwaka 1997. Meneja na wakurugenzi wa wakuu wa utumishi walioulizwa kwenye utafiti wamesema ni ngumu sana kufanya kazi na kizazi Z kwani ni wabishi, wajuaji, hawana nidhamu wala...
  18. Shujaa Nduna

    Utafiti wangu ni huu ktk hili...

    Ktk tembea zangu mikoa tofauti hapa nchini nimegundua watu wanaoishi kwenye mikoa yenye joto sana hawaridhishani kimapenzi kwakuwa hawawezi wengi wao hawawezi kupiga show ipasavyo hata bao4 kwakuwa joto kali.Halafu jingine wanaume nashauri wanaume tuwatendee haki wanawake nao wafike kileleni...
  19. Teslarati

    Ushuhuda baada ya Utafiti: Acheni kuwatongoza wanawake kwa kutumia simu (kuchat), watongozeni uso kwa uso

    Niko fasta kidogo leo, nitaenda kwenye mada. Vijana mnakosa mbususu za bure kwa kukosa maarifa, kaka yenu nawapa somo leo baada ya utafiti usio rasmi nliofanya kwa muda mrefu. Usitongoze mwanamke kwa simu unampa muda wa kukujudge sana, wewe panga siku baada ya salamu za hapa na pale. Hio siku...
  20. benzemah

    Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa...
Back
Top Bottom