Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,934
- 8,732
Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya covid iliyochangia kwa kiasi kikubwa uchumi kuyumba.
Mimi kwa kipindi kile nlikua na wanawake kama wa nne hivi, kati yao wawili ndo nlikua nawaelewa sana hawa wengine ilikua ni vipoozeo tuu, Sasa baada ya kuona kampuni nyingi zinapunguza wafanyakazi wake, nkapata wazo la kuwapima hawa wanawake kwa kuwatenga kwa makundi mawili,
Kundi la kwanza
Wale wanawake wawili nliokua nawakubali sana na wananipa ushirikiano
Kundi la pili
Wale wawili wa kuzuga nao tuu nakula mzigo mara moja moja sana na pia wao hawako active sana na mimi
Nlichokifanya Ilikua hivi, Hili kundi la kwanza ambao ndo nliamini future yangu iko katika mmoja wao hao wawili, Nkawadanganya kwa kuwaambia wote kuwa kuwa kutokana na changamoto ya covid, Ofsini kwetu wameamua kupunguza wafanyakazi, bahati mbaya na mimi ni mmoja wa wafanya kazi nliopewa barua ya kuto endelea kufanya kazi pindi mkataba wangu utakapoisha, hapo ilikua mwezi November mwishoni na kwenye mkataba ilibaki mwezi wa December peke yake
Kundi la pili nkawadanganya kinyume chake, Kuwa kutokana na performance yangu kuwa nzuri kazini Boss wangu ameniamini sana na ameniahidi pindi ntakapo renew mkataba mpya mwezi January mwaka unaofuata ntaongezewa sallary na bonus nyingine
Makundi yote haya mawili nliwapa ujumbe kwa njia ya sms nliwatumia WhatsApp
Kumbuka hapa nlikua nawazingua tuu ili nione response zao, Majibu yakawa kama ifuatavyo 👇🏻
Kundi la kwanza
Baada ya kutuma sms, mmoja alinipigia kwa mshangao sana, Nkajifanya kama nimechanganyikiwa hivi, mwingine hata simu hakupiga zaidi ya kuniuliza nna plan gani baada ya mkataba kumalizika,mimi nlionyesha hali ya kuchanganyikiwa so nikawa kama mtu ambae amepata msongo wa mawazo na anahitaji mtu wa kumpa faraja, Ila kwa kifupi baada ya siku kama mbili, Mawasiliano yalianza kupungua kwa kasi ya 5G kwa wote wawili,
Kundi la pili
Hawa baada ya kuwapa hizi habari njema za kuongezewa sallary na bonus , kwanza ni kama nlikua nimewavuta karibu zaidi coz, kila mmoja kwa wakati wake alikua anaongeza ukaribu na mimi na mawasiliano yakaongezeka maradufu
Baada ya utafiti huu mdogo nkapata jibu kuwa kwa mwanaume financial freedom ndo itakuweka salama kwenye maisha ya mahusiano bila ya hivyo utaishi kwa pressure sana