Utafiti: Watu 330 wamefariki kwa kupiga picha maeneo hatarishi

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,805
Utafiti wa AIIMS wa Nchini India umeeleza kuwa katika kipindi cha miaka 10 iliyopita Watu 330 wamefariki wakati wakiwa wanapiga picha kwenye maeneo hatari kama kwenye majengo marefu, Barabarani n.k kwa lengo la kupost kwenye mitandao yao ya kijamii.
 
Bora iwekwe TOZO humo
 
Wanaopiga picha wakiwa wanatafuna papuchi huku wanaendesha pikipiki high speed siku zenu zinahesabika

Back
Top Bottom