#COVID19 CDC: Waliochoma chanjo ya Corona wavae barakoa katika mikusanyiko ya ndani

MEXICANA

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
1,772
2,032
Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.

Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa.

Maamuzi ya CDC kutaka waliochanjwa kuvaa barakoa yametokana na kuongezeka kwa watu wenye maambukizi ya Corona katika miji kadhaa nchini humo ikiwemo Florida na Missouri vilevile kutokana na kuongezeka kwa ripoti ya maambukizi ya virusi hatari zaidi aina ya Delta kwa watu ambao wamekwisha pata chanjo zote mbili.

Mamlaka hiyo imeongeza kuwa kila mtu anapaswa kuvaa barakoa na kuweka msisitizo kwa Walimu, wafanyakazi, wanafunzi na wageni katika shule zote bila kujali wamechanjwa au bado.

Source: BBC SWAHILI
 
Afrika tuna advantages nyingi katika kupambana na covid, vyakula tunavyokula ni organic hivyo vinatuongezea kinga.

Tunafanya mazoezi kama sehemu ya maisha yetu. Kulima, kutembea, sisi hatuembei kwa kupenda bali mwendo wa miguu kwa wengi wetu ni njia ya usafiri.

Hatuishi kwa kubanana, hasa nje ya miji mikubwa unakuta nyumba moja mpaka nyingine ni katia 5-10.

Tukiongeza na maagizo ya wizara ya kunawa mikono kila mara, vaa barakoa, epuka misonamano na upate chanjo. Tunaweza kuwa na mafanikio makubwa katika janga hili.
 
Mbona ni kawaida tuu huoni wakina Ramaphosa walichanja kitambo ila kwenye media muda wote na barakoa wenzetu wapo mbele ya muda huku tupo nyuma ya muda hata kujua huu ugonjwa upepo wake ni muda gani unakaa kwa kila level hatujui unazungumzia USA...
 
Tutaelewana tu, wanakwambia chanjo ili tengenezwa kabla ya kilusi cha mwanzo kujibadilisha sas sijui watu wanashindwa je kuelewa
 
Afrika tuna advantages nyingi katika kupambana na covid, vyakula tunavyokula ni organic hivyo vinatuongezea kinga.

Tunafanya mazoezi kama sehemu ya maisha yetu. Kulima, kutembea, sisi hatuembei kwa kupenda bali mwendo wa miguu kwa wengi wetu ni njia ya usafiri.

Hatuishi kwa kubanana, hasa nje ya miji mikubwa unakuta nyumba moja mpaka nyingine ni katia 5-10.

Tukiongeza na maagizo ya wizara ya kunawa mikono kila mara, vaa barakoa, epuka misonamano na upate chanjo. Tunaweza kuwa na mafanikio makubwa katika janga hili.

You are stable upstairs! I love your line of argument you lady.
 
Today I was vaccinated, and now I don't feel any side effects. Although one strange factor has appeared, it seems that my attitude towards Bill Gates is starting to improve.

To Zuckerberg unchanged (no better).

P.S. I'll keep you informed about any changes in my attitude towards these guys.
 
Haya mambo upangwa tangu unapozaliwa. UKIPANGIWA UTAPATA KORONA UTAPATA TUU. UKIPANGIWA UTAPATA NGOMA UTAPATA TUU HAMNA NAMNA NDO MAANA VITOMBI VILIVYOKUBUHU WAKO FRESH HAWANA NGOMA WAKIENDA KUPIMA HOLAA UNABAKI KUSEMA WTF KUMBE NI FORCES IF NATURE TANGU AWALI.

Kingine ukipangiwa kuwa tajiri utakuwa tu. Na ukipangiwa kuwa maskini hata ufanyaje ndo imetoka iyo. Kwa iyo maskini yeyote akikuomba hela mpotezee kwasababu ukimpa utakuwa umeingilia kazi ya Mungu na utapata pigo. Mpe chakula, matumaini na maombi.
 
kwa hyo ukimpa hela maskini inakuwa sio mpango wa Mungu,,
uoni kauli yako ya kila ktu kimepangwa inajipinga
 
Tatizo lako unaishi kwa kubahatishabahatisha tu. Jaribu kupambanua mambo katika ulimwengu wa uhalisia. Utajikuta kwenye mazingira kuntu ya kuleta tija kwenye jamii husika.
 
Afrika tuna advantages nyingi katika kupambana na covid, vyakula tunavyokula ni organic hivyo vinatuongezea kinga.

Tunafanya mazoezi kama sehemu ya maisha yetu. Kulima, kutembea, sisi hatuembei kwa kupenda bali mwendo wa miguu kwa wengi wetu ni njia ya usafiri.

Hatuishi kwa kubanana, hasa nje ya miji mikubwa unakuta nyumba moja mpaka nyingine ni katia 5-10.

Tukiongeza na maagizo ya wizara ya kunawa mikono kila mara, vaa barakoa, epuka misonamano na upate chanjo. Tunaweza kuwa na mafanikio makubwa katika janga hili.
Unakuta mama wa kiafrika anakula bamia, mchunga, mlonge hata ukimgusa tu ana joto ila wazungu baridiii
 
Haya mambo upangwa tangu unapozaliwa. UKIPANGIWA UTAPATA KORONA UTAPATA TUU. UKIPANGIWA UTAPATA NGOMA UTAPATA TUU HAMNA NAMNA NDO MAANA VITOMBI VILIVYOKUBUHU WAKO FRESH HAWANA NGOMA WAKIENDA KUPIMA HOLAA UNABAKI KUSEMA WTF KUMBE NI FORCES IF NATURE TANGU AWALI.

Kingine ukipangiwa kuwa tajiri utakuwa tu. Na ukipangiwa kuwa maskini hata ufanyaje ndo imetoka iyo. Kwa iyo maskini yeyote akikuomba hela mpotezee kwasababu ukimpa utakuwa umeingilia kazi ya Mungu na utapata pigo. Mpe chakula, matumaini na maombi.
 
Ifike mahali lockdown iwe kwa wenye umri kuanzia 55 kuendelea na walio chini ya huo umri washike hatamu kuliongoza taifa mpaka Corona iishe ulimwenguni kote ndo tuwarudishie madaraka
 
Back
Top Bottom