utafiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kukosa usingizi wa kutosha hupelekea kupungua kwa Nguvu za Kiume

    KUKOSA usingizi wa kutosha kunaweza kusababisha kufifia kwa nguvu za kiume. Madaktari wanasema kuwa mwanaume anachukuliwa kuwa amepata usingizi wa kutosha usiku iwapo atalala kwa kati ya saa saba na tisa. Hata hivyo, watu wengi huwa hawazingatii muda huo kutokana na aina ya kazi wanazofanya au...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Utafiti mwanaume unatakiwa uwe na angalao na kitu kimojawapo kati ya Fedha, Utanashati na Urefu

    Wadau hamjamboni nyote Hi ni kwa mujibu wa Utafiti na maoni ya wataalami wa masuala ya Kijamii Kwamba kuna vitu vifatu muhimu kwa Mwanamume yeyote duniani ili kuongeza thamani yake na mvuto Fedha - za kumudu mahitaji yote ya msingi na ziada Utanashati - Uhandsome Urefu kuanzia futi 6 kwenda...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti wetu na ugunduzi uendane na wakati....

    Nimekuwa nikisikia mwanafunzi wa Chuo kikuu anafanya utafiti au umefanya ugunduzi wa gari, au pengine ndege au hata helcopter bila kusema ni nini cha ziada kilichopo au kitakachokuwepo na kunipa wasiwasi kama vijana wetu wanajua tofauti ya kugundua na kujifunza. Kwa ufahamu wangu, kutengeneza...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Utafiti binafsi: Ukitegesha alarm usiku lazima uamke muda mfupi kabla ya alarm kulia

    Hili nimelifanyia utafiti muda mrefu sana toka niko shule Kila nikitegesha alarm lazima nitashtuka usingizini kabla ya alarm haijaniamsha Utakuta nimeset alarm ilie saa 10 kamili usiku lakini cha ajabu kwenye saa 10 kasorobo ama saa tisa na dakika 55 nakuwa nimeshtuka kutoka usingizini
  5. JamiiForums Tanzania Utafiti: Kuongeza chumvi kwenye chakula kilichopikwa tayari hupunguza miaka ya kuishi

    Utafiti uliohusisha Waingereza wapatao 500,000 umebaini kuongeza chumvi kwenye chakula kilicho mezani (Chakula kilichopikwa tayari) kunahusishwa na kifo cha mapema. Watafiti wamegundua kuwa kuongeza chumvi kila wakati kwenye chakula hupunguza zaidi ya miaka miwili ya kuishi kwa Wanaume na mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Utafiti: Nyumba za kupanga zinavyoharibu akili

    Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona. Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
  7. JamiiForums Tanzania Utafiti Binafsi: Wanawake wenye Simu za Gharama ndiyo wanaongoza kudoea vyakula, kukwepa kulipa nauli na kuachika na mabwana

    Yaani unamiliki Simu ya Tsh 700,000/= halafu unaingia Mghahawani Kula unakosa Hela ya 'Kiepe' na kusubiri 'Kudoea' kwa Shoga (Rafiki). Na ndiyo hawa hawa hata ukikutana nao katika 'Daladala' wanatumia muda mwingi kutafuta "timing' ya Kumkwepa Kondakta ili tu asimlipe Tsh 400/= yake. Na hata...
  8. JamiiForums Tanzania Utafiti: Virusi vya Zika na Dengue huwaachia waathirika harufu

    Utafiti uliofanywa na Chuo cha Tsinghua cha Nchini China ikishirikiana na Kituo cha Kupambana na Magonjwa nchimi humo umebainisha virusi hivyo hubadilisha harufu ya binadamu na panya wanaowaambukiza Katika majaribio tofauti, wanasayansi hao walipata molekuli zenye harufu kwenye ngozi ya panya...
  9. JamiiForums Tanzania UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

    Habari zenu wakuu, Hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu (wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi (umesimama). Nilifanya jaribio...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Utafiti: Umaarufu wa wagombea Urais Kenya, Raila 50%, Ruto 25%

    Mgombea wa Urais kupitia Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga ameendelea kuongoza kwa umaarufu kuliko wagombea wenzake katika Jiji la Nairobi, Kenya akifuatiwa na mgombea wa Kenya Kwanza, William Ruto. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Utafiti wa Shirika la Trends & Insights for Africa (TIFA)...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti: Vichungi vya sigara vinatumia hadi miaka mitano kuoza

    Vichungi vya sigara (vitako) ni kati ya vitu vyenye uchafuzi na sumu vinavyopatikana katika vyanzo vya maji, pia inachukua hadi miaka mitano kuoza vikitupwa ardhini, hiyo kuruhusu nikotini na kemikali kuingia kwenye mifumo ya ikolojia inayozunguka ambayo inaathiri maisha ya binadamu. Utafiti wa...
  12. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanawake wakikumbatiwa wanapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa kumkumbatia mtu kunaweza kuchangia kupunguza msogo wa mawazo kwa Wanawake. Wanawake 76 waliofanyiwa utafiti wa kisayansi na Kituo cha PLOS One wameonesha kuwa wanapowakumbatia wenza wao au watu wanaowapenda pindi wanapokuwa na msongo wa mawazo...
  13. JamiiForums Tanzania NIMR yaanza utafiti wa chanjo ya COVID-19, kongole kwao

    Katika hili sitakuwa mnafiki kama nitapongeza sekta ya afya.Sitakuwa mnafiki kama nitampongeza mama kwa kuupiga mwingi. Leo kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa Taasisi ya utafiti ya maswala ya tiba yaani NIMR wanaendelea na utafiti wa chanjo ya covid 19.hili ni jambo jema sana na linapaswa...
  14. JamiiForums Tanzania Utafiti: Ukatili wa kiuchumi kwa Wanaume umeongezeka, kunyimwa haki ya kuwa na mtoto pia ni Ukatili

    Msaidizi wa Mratibu wa Dawati la Jinsi na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, ACP Faidha Suleiman akiwa katika moja ya majukumu yake ya kutoa elimu kwa wananchi. Licha ya kuzoeleka matukio ya wanaume kuhusika kuwafanyia ukatili wanawake mara nyingi, utafiti umebaini kibao imegeuka na kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Wasomi wafanye utafiti wa madhara ya kutopandishwa mishahara kwa wafanyakazi, lobbyist wanaweza kutusaidia

    Ili mfanya kazi afanye kazi inayoleta matunda anahitaji kula vizuri, kuwa na afya njema, alale vizuri na pia afya yake ya akili iwe njema. Kwa wengi laki tatu mshahara wa kima echo chini tunafahamu una changamoto hasa kuishi mijini ambako unalipia kodi ya nyumba, unahitaji usafiri wa...
  16. JamiiForums Tanzania Utafiti: Asilimia 10 ya Watanzania wana Kisukari

    Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga, Dk. Omary Ubuguyu amebainisha kuwa kati ya Watanzania milioni 60, zaidi ya milioni 5.7 (takribani asilimia 10) wanusumbuliwa na ugonjwa wa Kisukari. Aliyasema hayo jijini Dodoma katika uzinduzi wa mpango wa kuzuia ulemavu wa kutoona unaoweza kusababishwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Mike Tyson amrushia ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya kurushiwa chupa

    Bondia wa zamani wa uzito wa juu Mike Tyson amempiga ngumi abiria mwenzake katika ndege baada ya mtu huyo "kumrushia chupa ya maji," msemaji wa Tyson amesema. Video iliyochukuliwa kwenye ndege hiyo inamuonesha Tyson akiwa ameegemea kiti chake huku akimpiga ngumi za mara kwa mara mtu ambaye...
  18. JamiiForums Tanzania TRA Kuanza Kuzitoza Kodi, Facebook, Instagram na Whatsapp

    TRA leo wamafanya mazungumzo na wawakikishi wa Mitandao hiyo ya kijamii kuona namna Mitandao hiyo inaweza kulipa kodi kutokana na hiduma wanazotumia wananchi. ===== DARESSALAAM: Timu ya Wataalam wa Kampuni ya meta inayomiliki mitandao ya @facebookapp instagram pamoja na Whatsapp leo 21...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti Tanzania: Mimba milioni moja zisizotarajiwa utungwa kwa mwaka, 39% huharibiwa

    Licha ya sheria kukataza utoaji mimba, vitendo hivyo hufanyika na mara nyingi kwa njia zisizo salama. Pamoja na kwamba takwimu zinaonesha tatizo la vifo vya uzazi linapungua, bado kuna baadhi ya mambo yanachangia liendelee kuwepo ikiwemo suala la utoaji mimba usio salama ambao unachangia tatizo...
  20. JamiiForums Tanzania UTAFITI: Nusu ya Wamarekani wanatamani kufuta akaunti zao mtandaoni

    Utafiti uliofanywa na NordVPN umeonesha kuwa 55% ya Wamarekani wanatamani kufuta kabisa akaunti zao mtandaoni. Huku 18% wakitamani kusingekuwa na internet kabisa. 60% wanatamani kufuta taarifa binafsi. Robo yao wanatamani kufuta picha, video na akaunti zao kwenye mitandao ya kukutana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…