Aliyegundua kwamba pakiti ya condom zikae tatu nani? Nafanya utafiti wangu hapa kuona kama moja inaweza tumika bao zote

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,273
21,387
Leo nimeamua kuendeleza utafti wangu kuchunguza nani aliyegundua kwamba lazima pakiti ya condom zikae tatu.

Nahisi utafiti wake umepitwa na wakati. Kwanza Mimi mwenyewe tangu nizijue condom zijawahi kuzimaliza zote tatu.

Kwanza malengo ya huyu mtu nahisi ilikuwa ni kuuwa fikra za vijana wa kiafrika, kwanini kutuwekea kondom tatu? Inamaana alitaka tutumie muda mwingi kuwaza ngono kuliko kuwaza maendeleo?

Hivyo kwa kulitambua hili niko naendeleza ubunifu wangu ili kuwe na condom moja tu, ambayo haitaruhusu uume kulala baada ya bao moja. Hivyo itamfanya mtumiaji aunganishe bao zote hadi atakapochoka mwenyewe(One4All).

Condom hii ninayoibuni itakuwa inauwezo wa kuzuia au kukata mawasiliano ya ubongo na uume ili ubaki umesimama hata baada ya bao moja.

Kama kuna maboresho mengine naomba ushauri wenu wadau wenzangu wa ngono kufanikisha hili.
 
Jumapili kama hivi ukijiona una issue jaribu kujichanganya kwenye mikusanyiko mfano kama coco beach Kwa watu wa Dar hii itakusaidia kutokuwaza mawazo ya kipumbavu.

Coco beach ni free hakuna kiingilio, mihogo jero tu Mishikaki jero, soda buku.

Yani ukiwa na elfu tano tu unakwenda out.
 
Aliyebuni condom angewaza mihogo hadi tungekuwa tufanya kwa mifuko laini ya plastic
 
Jumapili kama hivi ukijiona una issue jaribu kujichanganya kwenye mikusanyiko mfano kama coco beach Kwa watu wa Dar hii itakusaidia kutokuwaza mawazo ya kipumbavu.

Coco beach ni free hakuna kiingilio, mihogo jero tu Mishikaki jero, soda buku.

Yani ukiwa na elfu tano tu unakwenda out.
Tafiti hupingwa kwa tafiti mkuu
 
Mkuu mimi huwa natumia moja ila huwa naitoboa kwa mbele ili wazungu wasibaki kwenye ndomu!,watu wengi hawajui tu ila wajiulize hivi unawezaje kuvaa mask na ujizibe pua...?
Mi ujinga sitaki lazima nipate pa kupumulia!.
Hahah hiyo haifai! Ni hatari kwa afya yako na mwrnzako
 
Mkuu mimi huwa natumia moja ila huwa naitoboa kwa mbele ili wazungu wasibaki kwenye ndomu!,watu wengi hawajui tu ila wajiulize hivi unawezaje kuvaa mask na ujizibe pua...?
Mi ujinga sitaki lazima nipate pa kupumulia!.
UMETISHA SANA TAFADHARI NAOMBA NAMBA YAKO UPATE HATA SODA AISEE
 
Mkuu mimi huwa natumia moja ila huwa naitoboa kwa mbele ili wazungu wasibaki kwenye ndomu!,watu wengi hawajui tu ila wajiulize hivi unawezaje kuvaa mask na ujizibe pua...?
Mi ujinga sitaki lazima nipate pa kupumulia!.
Sasa hapo unamkomowa Nani? ukianza kupiga gita la Dally Kimoko ndio utajuwa hujui.
 
Binafsi naona mtafiti alizingatia usafi na ulaji wa kistaarabu ila wewe unataka kutuletea ulaji wa king'urue anapojisaidia ndipo anapokula.
 
Mkuu mimi huwa natumia moja ila huwa naitoboa kwa mbele ili wazungu wasibaki kwenye ndomu!,watu wengi hawajui tu ila wajiulize hivi unawezaje kuvaa mask na ujizibe pua...?
Mi ujinga sitaki lazima nipate pa kupumulia!.
Unauza mechi rafiki
 
Mkuu ninauwezo wa kukuunganisha na sponsors waka fund mradi wako.nitakuPM
 
Back
Top Bottom