usimamizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Resolution Insurance Placed Under Statutory Management For 12 Months

    Underwriting firm Resolution Insurance has been placed under statutory management owing to operational and financial difficulties. The Policyholders Compensation Fund (PCF) has been appointed Resolution’s statutory manager for a period of 12 months effective Tuesday. According to the...
  2. Thread Starter

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoisimamia tena Mloganzila, sasa Mloganzila kujiendesha yenyewe kuanzia Julai 2022

    Hospitali ya MLOGANZILA itasimama yenyewe na kutoka chini ya usimamizi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kuanzia Julai 2022. Hayo yamesemwa leo 18/3/2022 na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu alipoitembelea Hospitali hiyo na kusema kuwa serikali imejiridhisha na jinsi hospitali hiyo inavyojiendesha...
  3. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni haki ya msingi kwa kila mtu; usimamizi sahihi wa ulinzi huo ndio mfumo fanisi wa kuilinda haki hiyo

    Haki za Kidigitali kimsingi ni haki ya binadamu katika enzi hizi za mtandao. Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, kuwatenganisha binadamu na mtandao ni ukiukaji wa haki hizi na ni kinyume na sheria za kimataifa. Kadiri tunavyoendesha maisha yetu mtandaoni - kununua, kushirikiana kijamii na...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kuungua masoko: Kukithiri usimamizi mbaya wa Halmashauri zetu

    Sasa hivi kuungua masoko huria si kitu cha ajabu. Masoko yanaungua kila leo. Soko Kuu Kariakoo Soko la Karume Soko la Mbagala Soko la Moshi Soko la Geita Soko/Mall ya Mwanza Haya ni ndani ya hiki kipindi kifupi tu. Nenda Masoko mengine hapa Dar, hali ni ile ile. Uchafu wa wiki iliyopita bado...
  6. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaonekana si mtu wa kujisifu; shida kuna walakini kwenye usimamizi wa fedha za umma

    Jambo la kuweza kumsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan inaonesha dhahiri ni mpole sana na ni rais asiyependa makuu kwa viongozi wa chini yake anaowaongoza hili kwa kifupi yeye linampa heshima kubwa kwa kusifu na kuabudiwa kuwa anaupiga mwingi huku wahuni wakila...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Project management (Usimamizi wa miradi)

    Project management (Usimamizi wa miradi) ni matumizi ya ujuzi maalum(skills) na zana(tools) ili kufanikisha malengo kwenye muda uliopangwa. Ujuzi wa Project management unakusaidia kuboresha mchakato wako katika mambo kama vile ujenzi wa majengo, juhudi za misaada, upanuzi wa mauzo katika soko...
  8. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi

  9. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro anastahili pongezi kwa kuiweka nchi chini ya usimamizi makini

    Tanzania tunapaswa kushukuru kwa kumpata IGP. Simon Sirro kwa kuweka kila kitu under control kuanzia zile siku za sintofahamu mpaka sasa tunafungua mwaka 2022 anastahili pongezi na kuombewa maisha marefu na kila Mtanzania mwenye nia njema hasa linapokuja suala la ulinzi na usalama nchini. Usiku...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa kidigitali wa usimamizi wa taarifa za kanisa

    Kwa kipindi kirefu taasisi nyingi za kidini hasa makanisa hayajawa na mfumo rasmi wa usimamizi wa taarifa zake. Hivyo nikaamua kuunda mfumo ambao utawezesha hilo. Sasa nimetoa toleo la kwanza ambapo kwa kutumia hilo utaweza kufanya yafuatayo 1. Kusimamia taarifa za washirika/waumini 2...
  11. mfate42

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi katika kazi maalumu za NECTA (usimamizi na usahihishaji): Haki haitendeki ngazi za Wilaya

    Habarini ndg zangu, Najua katibu wa baraza atapitia na kusoma uzi huu. Kiukweli katika kazi hizi maalumu za NECTA (usimamiz na usahishaji). Huku ngaz za wilaya huwa panakuwaga sio fair kabisa katika upendekezaj wa watu wanaosimamia na wanaoenda marking Hivi ni kweli mtu yupo kazini huu ni...
  12. Mwalimu-Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mfumo unaotoa tathmini ya Tija ya tution inayofanywa na walimu Nyumbani

    Habarini wana bodi. Thred hii iende kwa wazazi wote ambao wanajituma kwa mali na hali kuhakikisha kuwa watoto wao wanapata elimu yenye ubora na viwango kwa kuzingatia mafunzo muda wa ziada/tution. Kwa muda mrefu nimeshiriki katika kutoa tathmini ya maendeleo ya watoto ya kielimu kama...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania CAG 2019/20: Mapungufu katika Usimamizi wa Mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    CAG ameonesha mapungufu yafuatayo katika usimamizi wa mali za Mamlaka ya Serikali za Mitaa; 1. Kutokuwepo kwa Hati za Umiliki wa ardhi zenye thamani ya TZS. 1.14 trilioni katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa 27, kutokana na uzembe wa menejimenti za Halmashauri husika kutokupima ardhi...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uwajibikaji: Changamoto za Usimamizi wa Rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa

    Katika ukaguzi wa mwaka 2019/20, CAG ameonesha changamoto zifuatazo katika usimamizi wa rasilimali watu katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa; Idara ya Ujenzi, Sekta ya Elimu na Afya kuathiriwa na Upungufu wa Watumishi 119,753 Katika mapitio ya idadi ya wafanyakazi katika Halmashauri 123, CAG...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote. Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Fedha za kupambana na UVIKO19: Tenda ya Sept 29 na mwisho wa maombi Sept 30?

    Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana na UVIKO19 alisisitiza matumizi sahihi ya fedha za hizo huku akiwataka wasimamizi kuzingatia sheria...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini madereva wetu wa Kiafrika hawawezi kufuata sheria za barabarani hadi wasimamiwe?

    Niko barabarani kwa mguu natoka mahali kwenda mjini kuna basi ya abiria imepita kwa speed sio nzuri sana eneo ambalo halitakiwi. Sijajua hivi vibao vinavyoonyesha speed ya gari ya kutembea eneo husika vina maana gani kwa sisi madereva wa kiafrika.Sijajua alama za pundamilia za kuvuka watembea...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kilimo na Usimamizi

    Mtazamo kuhusu kilimo imepelekea watu kufanya kilimo kama kazi ya ziada au shughuli ya zaida katika kupata faida ili kuendesha maisha au naweza kusema hawachukilii serious ulimaji wao, Ni kweli sawa umebanwa na kazi au shughuli za hapa na pale lakini kamwe usije kufanya kilimo cha simu...
  19. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAMISEMI haitoi hela ya usimamizi wa miradi yake?

    Sote tunashuhudia mabilioni ya fedha za miradi ya TAMISEMI kwenye Halmashauri kadhaa hapa nchini. Ni hatua kubwa sana kwa maendeleo ya nchi. Tuna miradi ya shule, mabweni, vituo vya afya, Hospitali, nyumba za watumishi, majengo ya utawala n.k n.k Unakuta TAMISEMI Makao Makuu wanaleta fedha...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi yoyote ya kusimamia biashara. Nitafanya kwa juhudi kubwa

    Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 23 nilikuwa naomba msaada wa kazi yoyote halali ya kusimamia biashara au ofisi yoyote. Ninaishi Ilala Dar es Salaam. Nitakusaidia na kufanya kazi kwa jitihada kubwa. Mungu akubariki sana
Back
Top Bottom