usiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukweli uliofichwa makusudi

    UKWELI ULIOFICHWA MAKUSUDI Kuelimika siyo kufaulu kwa vyeti vya alama za juu, bali kuwa na uwezo wa kuhoji mambo na kuyaelezea katika upeo mwingine wa uelewa. Wakati nasoma moja ya shida nilikuwa napata ni kutopewa nafasi ya kuekezea mambo niyoaminishwa kwa namna nilivyokuwa nikiyaona mimi...
  2. JamiiForums Tanzania Mdomo huwa unaanza kunuka wakati gani?

    Bado sijapata jibu maana kuna wakati naamua kutolala ili nijue ni muda gani mida ya usiku ndio mdomo unaanza kutoa harufu. Mwenye uzoefu na hili atueleze mdomo unaanza kunuka sangapi usiku.
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure: Madereva wa private cars tembeeni usiku kama unafanya Safari ndefu

    Imekuwa desturi na mazoea kwa madereva wengi wanaoendesha magari yao binafsi kufanya safari zao ndefu muda wa mchana ingawa ni jambo jema ila kwa mtazamo wangu mimi naona ni shida na usumbufu mwingi njiani. Naongea hivyo kwasababu ndani ya mwezi Machi nilifanya safari ndefu ya kwenda Mwanza na...
  4. JamiiForums Tanzania Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

    Wana bodi, naomba niwapashe habari ya tukio la hatari sana nililokutana nalo siku chache zilizopita. Kweli Waswahili hawakukosea waliposema: "duniani kuna mambo... tembea uone." Siku hiyo ya tukio, mimi na marafiki zangu wawili tulikuwa tunafanya kazi fulani nyumbani kwangu kuanzia jioni. Kazi...
  5. JamiiForums Tanzania Ogopa sana mwanaume ambaye anachati nawe mpaka saa 8 Usiku

    Kama kuna mwanaume ambaye mmekutana online na anaweza kuchat nawe mpaka saa nane usiku basi jua kua huyo mwanaume si wako, anaweza kuwa mume wa mtu au ana mpenzi wake ambaye anampenda na wewe ni kama dawa yake. Huyo mwanaume ni mgonjwa na nikuhakikishie, narudia najua mnadhani mnapendwa lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Kisimiri, Arusha: DC Muro afuatilia wakulima wa bangi usiku wa manane

    Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi. Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi iliyopelekea OCD na RPC kuondolewa. Eneo hili ni eneo korofi kufikika kwani ndio eneo lililoko juu...
  7. JamiiForums Tanzania Mainjinia wa Maji wa Mikoa watakuwa wameenda field usiku huu kuhakikisha sehemu zote hatuna shida ya Maji

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kuna watu usiku huu hawatalala ni Mainjinia wa Maji na wilaya katika mikoa mbalimbali nchini, kauli ya Rais, Mama Samia kuwahusu itawakosesha amani kabisa hasa kama kwenye maeneo yao ya kazi kuna miradi inasuasua. Joto lao wengi...
  8. JamiiForums Tanzania Comoro: Ofisi za ATCL Mjini Moroni zimevunjwa na mauzo yote kuporwa

    ATCL Mjini Moroni imevunjwa na kuibwa fedha zaidi Milioni 400 za Kicomoro Jumapili ya tarehe 18/4/2021 Taarifa zinabaini Ofisi hizo hazina ulinzi wala kamera. Dulu zinabaini milango minne ya ofisi hizo hadi kuifikia Safe imevunjwa inaamika wafanyakazi wa kampuni ya uwakala wa Shirika hili la...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama Wabunge wana Magari yao ya 'Kifahari' unadhani ni kwanini hupenda Kutumia 'Bodaboda' na 'Bajaji' tena Nyakati za Usiku tu wakiwa Dodoma?

    Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu. Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
  10. JamiiForums Tanzania Sioni vifurushi vya usiku katika menyu za mitandao ya simu, au navyo ndiyo kwaheri?

    Habari zenu wanajukwa. Naomba kujua vile virushi vya kuanzia saa sita usiku vilikuwa vinalundo la dakika, sms na mb havipo tangu bei za vifurushi kupanda? kama vipo vinapatikana kwa menyu zipi kwa mtandoa wako unaotumia.
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini ngumi zinachezwa usiku wa manane?

    Mimi ni mshabiki mzuri wa ngumi. Hivi karibuni kumekua na mwamko mkubwa wa ngumu za kulipwa nchini. Shida kubwa inakuja pale panapokua na pambano zuri lakini muda unakua sio rafiki kabisa. Tukiangalia ngumi za Marekani ambazo nyingi wanapigana Las Vegas huwa zinakua masaa ya alfajiri kwetu. Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Usiku wa Vitasa, Kiduku Vs Hannock Phiri

    Kutakuwa na bouts nane. Wako wapambanaji kutoka Congo, Malawi n Uganda Bouts Boxers: Halima Bandola Vs Naji Isike Rounds: 3 Winner: Halima Bandola Boxers: Emmanuel Elias Vs Justine Mohamed Uzito: Super feather Rounds: 6 Winner: Emmanuel Elias Boxers: Charles Chilala Vs Mohamed Kashinde...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natumai mbobezi wa sheria Profesa Kabudi atatudadavulia namna Nusrat Henje alivyotoka jela usiku na asubuhi kuwa mbunge!

    Nikuombea tu Waziri wa katiba na sheria Prof Palamagamba Kabudi utuwekee sawa hili la mbunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA Nusrat Henje namna alivyoupata ubunge. Hili swala lina utata mwingi na ni doa kubwa kwenye chombo kitukufu kama bunge tena kinachoongozwa na daktari wa sheria Tulia...
  14. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021

    Kwa mjibu wa TCRA, mabadiliko ya vifurushi kuanza tarehe 02/04/2021. Pia mitandao itawatarifu watumiaji wake mabadiliko hayo. Baadhi ya mitandao unachanganya taarifa hizo kwa mfano rejea hapa. Vodacom Tanzania Habari, kuendelea kutoa huduma bora zaidi tutafanya marekebisho kwenye vifurushi...
  15. JamiiForums Tanzania Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Kitaalam inashauriwa unapoenda Kulala Usiku ndiyo uhakikishe Unajamba sana ikibidi hata Kuutafuta na Mjambo wenyewe kama uko mbali?

    Kuna Mtaalam Mmoja wa Masuala ya Lishe nimemsikia mahala akisema hili ( haya ) huku akihimiza mno kuwa tunapoenda Kulala Usiku ndiyo tujitahidi tuwe tunajamba sana ( mno ) akisema kuwa Kiafya kwa Nyakati hizo ina Faida zaidi. Je, hii ina ukweli? Ina Manufaa gani pia?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

    Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
  18. JamiiForums Tanzania Nakutakia usiku mwema CEO Barbara

    Moyo wangu unanipigia kelele
  19. JamiiForums Tanzania Dar es salaam night skies

    Picha za majengo na maeneo mbalimbali ya jiji la DAR ES SALAAM zikionesha mandhari ya usiku. DAR ES SALAAM ni ndogo, usiku hutanuka. Peleka utamu nyumbani
  20. JamiiForums Tanzania Mwizi aliyekuja kuiba saa tisa usiku

    Usiku wa kuamkia leo kibaka aliingia ndani na akafanikiwa kuchomoka na decoder ya Dstv, uzuri tukashtuka tukaanza kupiga kelele za mwizi huku tukimfukuza. Tukiwa tunaendelea kumfukuza mwizi wetu, tukasikia tena kelele zikitokea kwenye nyumba jirani, mwizi huyo anaruka kaiba simu!!!! Majirani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…